Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katibu mkuu wa UMOJA WA MATAIFA Antonio guterrez ameomba mazungumzo ya ana kwa ana na putin ili kumaliza Hii Vita ya UKRAINE

View attachment 2194761
US kashikwa ndipo eeh mpaka anaomba mazungumzo
Itakua huko MAURIOPOL kuna watu wao wamaana wamedakwa maana sio kwahuku kuhangaika kwao
Ila RUSSIA anachapika sana yaani sema wanatuficha tuuuu!!!!
 
Katibu mkuu maswala ya kisasa marekani Victoria Nulad anasema
" kuna matumaini flani flani Washirika wa NATO wanaweza kuhusishwa katika kuwaokoa Raia na wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa ndani ya jiji lililozungukwa pande zote na urus jiji la mariupol"
NATO wameshikwa pabaya tuliwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE
ila hawawezi wakafanya huu upuuzi labda wakawaokoe kwamazungumzo hapa sawa !!!!!
 
Hizo nchi zinakwenda kuunda ushirikz wa kijeshi kama ile wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.
Hakika,
Afu Belarus nilimsahau Apo [emoji4]
 
Putin ni mtu hatari sana linapokuja suala la Vita na ujasusi.
Kila phase ya operation ina general wake na kawapanga kutokana na akili zao za kutembeza kipigo, na hapo the great putin bado yupo kwa general wapili kati ya wanne, hao wawili naona kawaacha kwajili ya Vita, ikitokea USA na NATO wakatia timu kupambana na Urusi.

General wa kwanza kazi yake sasa hivi nikusimamia majeshi yaliyopo kwenye miji iliyo under full control of Russian army. Huyu mpya kazi yake nikuendelea kuwafurusha mashoga waliobakia Ukraine, halafu wa tatu na nne wamebak kama reserve kwajili ya ulinzi wa raia wa Russia na mipaka yake, pia kuendelea kusuka tactics za kivita endapo hii operation ikibadilika nakuwa Vita baada ya NATO kutia mguu vitani.

Kwa ambao bado hawajaelewa kuwa Russia [emoji635] siyo Lesotho [emoji1147] basi wasubiri kuona mwezi ujao pale mbabe wa dunia katika uwanja wa vita "Russia" atakapokuwa ana adhimisha siku yake ya ushindi A.k.A siku ya mashujaa Russia.

NAKAZIA: RUSSIA SIYO LESOTHO.
Kwakweli nami Nakazia,
URUSI sio LETHOTO[emoji16][emoji106]
 
Tatizo mnafanya propaganda za Kitoto. Ndo maana huwa nawaangalia tu mnavyojiliwaza. Hatuwaambii Silaha mpya tulizo nazo tukiwafyatua ndo mtajua.

Mnataka tuwaambie silaha mpya tunazopokea ili mjihami. Kama hatuna silaha mpya, nini kimewakimbiza katikati ya Nchi na kukimbilia Mashariki Mpakani Mwa Urusi kwenye Mikoa ya Donbas na Mariupol?

Au ngoja nikudokeze. Marekani katoa Silaha ambazo hata Urusi haijawahi kuona wala hawajui waizue vipi. Inaitwa Switchblades drone.
Sawa
FB_IMG_16505433022315053.jpg
 
Hujui geopolitics kijana la sivyo usingeweka Nchi zenye active military conflicts Katika defense pact. Huyo India juzi wanajeshi wake wameuliwa na wa China katika mpaka wa Himalayas. Huyo China ana ugomvi na urussi wa mipaka. Naona nianze kuitisha karo sasa
Usichokijua Ni kwamba mpaka sahv,

Dunia nzima China nchi mstari wa mbele kusimama na RUSSIA kwenye Hii Vita.

Na Jana kwenye Baraza la usalama la UN mwakilishi wa China kalaanj nchi zote zinazopeleka silaha Ukraine kua ndio zinachochea Vita.

Mwakilishi wa China kasema mipango ya Putin haiwez kuusimamishwa na vikwazo walivyoweka, zaidi zaid vinawaumiza raia wao wenyewe walioviweka.

Na wao China wamesema kamwe hawatafuata mkumbo wa kuiwekea vikwazo urusi, maana hawana maslahi yoyote na Hii Vita.

Sijajua Kama unafatiliaga habari za Mara kwa Mara, au umekalia kusoma vitabu vya historia mkuu[emoji4]
 
"The enemy can attack heavily. The main thing is to calmly assess the situation and launch a decisive counter-blow. Let him think to the last that everything is going according to his plan. Until it's late" (c) Moshe Dayan
 


The premium destination for oil supplies is Asia, Transneft president Tokarev told Putin.

This is "before, oilmen had to rack their brains, think, "bow" to walk in order to get somewhere with their oil for export or for an enterprise."

Here it is - the reverse side of Western sanctions and restrictions.
 
[emoji298]️ Putin calls storming of Azovstal steel mill in Mariupol impractical.

Vladimir Putin told Russian Defense Minister Sergei Shoigu that a full block of the mill is more rational. Shoigu said that except for the heavily fortified Azovstal, Mariupol had been occupied by Russia.
Jambo Jena Sana,
Naona sasa na Wewe PRO-NATO Umeanza kukubali UKWELI Sasa kwamba Russia wameichukua mariupol [emoji16]
 
Ndiyo maana nasema una elements za fanaticism....Mtu mzima unaamua kutuma au kusambaza picha za watu waliokufa...watu wa psychology wanaweza kuelezea vizuri ni Mtu wa Aina gani anayeonekana kufurahia kusambaza picha za waliokufa kwa kurudia na kurudia...yaani it appears ni hobby..siyo Jambo la kawaida kwa tabia ya Aina hiyo...
nafurahi sana kuona wanajeshi wa kirusi wakifa kwa namna yoyote ile btw huo ushauri wako ungemshauri yule mgonjwa wa akili kipara wa kremlini
 
Kama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.

[emoji298]️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.

White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
Waambie waiingize moja kwa moja anga la Ukraine waione show ,

Au hujui ndege zote za misaada zinashushia Poland, Kisha kuingiza mizigo kimagendo .

Tunasubiri TU mizgo itue ghalani tuilipue[emoji4]
 
Back
Top Bottom