Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️G7 finance ministers promise over $24 billion in support for Ukraine.

In a statement the ministers said they are also prepared to do more for Ukraine as needed, Reuters reports.
 
Hizo kauli za uingereza zisikutishe hao ni waoga kama nini, tena uingereza ya Churchill ilisha ondoka tena haiwezi kurudi tena hi ya Johnson haina lolote hata haiwezi kuanzisha vita peke yake bila US, uwezo wake au size yake ni nchi kama Zimbabwe, Russia is in other world in military arsenal.

Tena na Zimbabwe yenyewe ikiwa imejipanga iwezi kuipiga kumbuka nwaka 1982 vita ya n Rhodes, UK hana military supremancy kwasasa alisha decline kitambo anabebwa kwa mkumbo wa Nato, huyu cha muhimu alicha bakia nacho ni premier league, tena nayenyewe wanao zimiliki timu sio raia wa uingereza.........
Duuh mkuu samahani kwani umevuta bangi ya wapi boss wangu
 
Ungeweza kumaliza hoja yako vizuri tu bila kuhusisha makalio.
Kwa nini nyie Pro Russia lazima muingize mambo ya ushoga na makalio kila mara kwenye huu uzi?!
Basi hata hao madikteta wana haki ya kuwashughulikia wale wanao jiita wana demokrasia wanao waona ni hatari kwao kwa hiyo tuliza makalio yako.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ninachokiona kuhusu wanajeshi waliozingirwa huko kwenye kiwanda Moriupoh. Tujiulize ni kwanini hawataki kujisalimisha.
Kama wanavyowaza wengine hata Mimi ninafikiria huenda kuna wanajeshi wengi wa NATO/USA ndio maana kumekuwa na ukakasi huo. Pili kwavyovyote wamepewa maelekezo kuwa wasijisalimishe.

Cha kujiuliza sasa ni je ni kwanini wakomae kutokujisalimisha, na nini matarajio yao??

Japo sijawahi kusikia RAID zilizowahi kufanywa na nchi za NATO/USA zikaweka historia vizazi hadi vizazi kama ile ya Wayahudi walipowaikoa wenzao kule Uganda kipindi cha Idi Amin ( 19 Min in Entebbe). Lakini huenda hawa jamaa wa NATO/US wanaangalia namna ya kuwaokoa hao jamaa kwa kufanya Raid iwapo njia zote zitashindikana na iwapo hao jamaa wakiangukia mikononi mwa Russia kutahatarisha maslahi yao Kiusalama.

Mwisho kabisa ninachokiona nadhani hao NATO/US ikishindikana njia zote za kuwaokoa basi WAPO RADHI WAFE TU KULIKO KUANGUKIA MIKONONI MWA RUSSIA
Broo wameshaskia wa Chechens wanatembea na mafuta mgando kwenye sikio hawawezi toka hao
 
🇷🇺🇺🇦 The Armed Forces of Ukraine and the National Battalions have suffered terrible losses in the Donbas these days, in the near future Telegram channels will be filled with photos of corpses and destroyed equipment...

The defeat of the Donbass grouping has begun, at the same time, another formation of the RF Armed Forces is advancing from Izyum, here the enemy also has heavy losses, after breaking through the defense, the forces of the Armed Forces of Ukraine in Donbass will find themselves between a rock and a hard place.
 
Hizo nchi zinakwenda kuunda ushirikz wa kijeshi kama ile wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.
Mwengine ndo huyu, BRICS ni trading block na sio defense alliance, utasubiri maembe chini ya mnazi hapo. Urussi hana ushawishi wowote ndio maana mwaka 2022 anahangaika kutengeza alliances Markani alitengeneza 1949
 
⚡️ PMs of Spain, Denmark visit Borodyanka, town near Kyiv destroyed by Russia.

"We intend to deliver more weapons to Ukraine because that is what is most needed," Danish Prime Minister Metter Frederiksen told the Danish channel TV2.

IMG_20220421_160219.jpg
 
Kama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.

⚡️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.

White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
 
🇷🇺🇺🇦 The Armed Forces of Ukraine and the National Battalions have suffered terrible losses in the Donbas these days, in the near future Telegram channels will be filled with photos of corpses and destroyed equipment...

The defeat of the Donbass grouping has begun, at the same time, another formation of the RF Armed Forces is advancing from Izyum, here the enemy also has heavy losses, after breaking through the defense, the forces of the Armed Forces of Ukraine in Donbass will find themselves between a rock and a hard place.
Shikiria Hapo hapo Putin
 
Kama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.

[emoji298]️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.

White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
Leta picha ya hiyo ndege kama unao, hizo ni propaganda za kutokitisha tamaa wanajeshi ws Ukuraini ulio zingirwa kwenye miji mingi hawana supply route yoyote .........
 
Hujui geopolitics kijana la sivyo usingeweka Nchi zenye active military conflicts Katika defense pact. Huyo India juzi wanajeshi wake wameuliwa na wa China katika mpaka wa Himalayas. Huyo China ana ugomvi na urussi wa mipaka. Naona nianze kuitisha karo sasa
Japan pamoja na kutwangwa na shoga mkuu bado ndio anaemlinda.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Putin ni mtu hatari sana linapokuja suala la Vita na ujasusi.
Kila phase ya operation ina general wake na kawapanga kutokana na akili zao za kutembeza kipigo, na hapo the great putin bado yupo kwa general wapili kati ya wanne, hao wawili naona kawaacha kwajili ya Vita, ikitokea USA na NATO wakatia timu kupambana na Urusi.

General wa kwanza kazi yake sasa hivi nikusimamia majeshi yaliyopo kwenye miji iliyo under full control of Russian army. Huyu mpya kazi yake nikuendelea kuwafurusha mashoga waliobakia Ukraine, halafu wa tatu na nne wamebak kama reserve kwajili ya ulinzi wa raia wa Russia na mipaka yake, pia kuendelea kusuka tactics za kivita endapo hii operation ikibadilika nakuwa Vita baada ya NATO kutia mguu vitani.

Kwa ambao bado hawajaelewa kuwa Russia [emoji635] siyo Lesotho [emoji1147] basi wasubiri kuona mwezi ujao pale mbabe wa dunia katika uwanja wa vita "Russia" atakapokuwa ana adhimisha siku yake ya ushindi A.k.A siku ya mashujaa Russia.

NAKAZIA: RUSSIA SIYO LESOTHO.
Bro nakubishia tena Kwa hoja Kwenye swala la Ujasusi Urussi imeachwa nyuma hasa kwenye hii ishu.amendwa kupachika kibara Ukrain licha ya hiyo nchi kuwa na Warussi wengi,Marekan anachua point Kwa sababu huu uvamizi Alisha Anza kuutangaza tangu mwezi wa kumi na mbili public
 
Putin ni mtu hatari sana linapokuja suala la Vita na ujasusi.
Kila phase ya operation ina general wake na kawapanga kutokana na akili zao za kutembeza kipigo, na hapo the great putin bado yupo kwa general wapili kati ya wanne, hao wawili naona kawaacha kwajili ya Vita, ikitokea USA na NATO wakatia timu kupambana na Urusi.

General wa kwanza kazi yake sasa hivi nikusimamia majeshi yaliyopo kwenye miji iliyo under full control of Russian army. Huyu mpya kazi yake nikuendelea kuwafurusha mashoga waliobakia Ukraine, halafu wa tatu na nne wamebak kama reserve kwajili ya ulinzi wa raia wa Russia na mipaka yake, pia kuendelea kusuka tactics za kivita endapo hii operation ikibadilika nakuwa Vita baada ya NATO kutia mguu vitani.

Kwa ambao bado hawajaelewa kuwa Russia [emoji635] siyo Lesotho [emoji1147] basi wasubiri kuona mwezi ujao pale mbabe wa dunia katika uwanja wa vita "Russia" atakapokuwa ana adhimisha siku yake ya ushindi A.k.A siku ya mashujaa Russia.

NAKAZIA: RUSSIA SIYO LESOTHO.
Mnaseje Ujasusi yupo vizuri wakat mpango umevuja miezi minne kabla?
 
Kama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.

[emoji298]️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.

White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
We jamaa. Basi kama unataka hivo .....sikio lako liwe open .....alafu zikidondoshwa hizo scraper usikimbie humu utulie

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom