Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hivi USA wanajikuta nani?? Eti Russia nofied them imebd nicheke.[emoji28][emoji28][emoji28]
Level ya Urusi siyo ya Pakistan. Hizo ndege za USA unazozisema hata IRAN tu hazitio pua.Ndo maana nimekwambia ntaanza kukuitisha karo, unatka Ukraine wakubadili wamepokea silaha ndo ili adui atume makombora. America operates in secrecy, hata Pakistan hawakujua ndege za Navy Seals ziko nchini mwao kumuua Osama.
Mtoto wa nzi umekubali urussi ni mchumba kwa MarekaniHivi USA wanajikuta nani?? Eti Russia nofied them imebd nicheke.[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2195619
Hayo ni maneno ya kuwapoza hofu wananchi wake.Hivi USA wanajikuta nani?? Eti Russia nofied them imebd nicheke.[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2195619
Hapo Mariupol mwezi mzima wamekalishwa na Azov fighters 500
Hivi wale warembo mliokuwa mkiwarusha mwanzo wamepotelea wapi!? Au washabebeshwa mimba sasa mnarusha picha za mashoga!!Senior gunner of the crew of the mortar platoon of the mortar battery #31odshbr Alexander Sergeevich Koshkin, born in 1995. from the Chuvash village of Sherauty shot back somewhere in Ukraine
Kuna ule msemo wanasema Adui wa adui yako ni rafiki yako. India na China wana ka utofauti ila sio kakubwa kutisha ka ilivo kwa US na Russia...Tuna tofautiana kwa mengi lakini hili nakuunga mkono India na China ni maadui ni ngumu kuwa upande mmoja kwenye masuala ya kijeshi.
Sema tu wamejikuta wakiwa upande mmoja kwenye huu mgogoro kwa sababu wote Wana maslahi makubwa kwa Urusi.
Hakuna ugomvi usio na mwisho.Jikite kwa mada. Nieleze vipi India na China wanaweza kua kwa defense alliance moja ukizingatia uhasama baina yao.
Atakuwa humohumo Sasa hivi hakuna majidai Tena mitandaoni au keshafyekwaHivi yule sniper wa Canada aliishia wapi au nayeye yuko huko mapangoni Azovstal kama nguchiro wengine?
Kabisa punde watageuzwa chakula cha mavumbi !!!!!Na putin ashatoa order kwa wajeda wake wasiruhusu hata nzi kutoka wala kuingia ndani ya eneo hilo walilojificha hao nguchiro.
Na hii kauli ukiitazama kwa jicho la ki intelijensia utagundua anacho manisha jasusi mbobevu.
Hakuna komando wala field marshal anaeweza kushindana na njaa wala maji, putin anajua wazi kabisa chakula na maji waliyo nayo hawawezi kuendelea kujificha kwa muda hata wa wiki moja bali itafikia sehemu watatoka wenyewe tu huku wakiwa wamelegea kama walevi wa ulanzi.
Na ndo maana akatoa order ya kutoruhusu hata nzi kupaa paa maeneo hayo ili wasipate hata kipande cha mhogo cha kusogezea siku za kuendelea kujichimbia.
Putin ni mtu smart sana ndugu zangu.
Habari za mashoga waachie mashoga. HAZITUFAI/HAZITUHUSU/HATUZITAKI.We nae pimbi kweli, so leo ndio unajifanya yanachukiza sio? Kipindi chote hiki ambacho huwa tunawaambia na kuwauliza mara 10 kumi juu kwanini wanao'support na kuu'sponsor ushoga ndio wako mstari wa mbele Ukraine mnajiziba macho mnajifanya hamuoni na kuziita propaganda m@mae.
Tuliza kipele hicho ndio nduguzo hao na wenzio mnaoushupaza nao shingo kuwatetea humu....
Kiazi kweli wewe eti unanifundisha maneno ya kuandika kua andika hivi na hivi shwainnnnn [emoji57]....
KwakweliKwa hoja yake hiyo nzuri kabisa,ulitakiwa. Utoe jina Zimbabwe,uweke jina Uganda,ili iwe
"Russia sio Uganda"
HeheeeeeAnaongopea watu humo!!!
Navyotoa maelezo utadhani yeye ni waziri wa ulinzi wa Ukraine au katibu mkuu wa NATO
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hapana sio mchumba nim stooMtoto wa nzi umekubali urussi ni mchumba kwa Marekani
Wewe ndio umeleta umama .... Mnarukaruka tu mnagusa hapa na kule ... Mnakimbia hovyo kama mbwa wa sokoni ....Jikite kwa mada ama umeishiwa hoja.