Katunge World Wide
JF-Expert Member
- Apr 27, 2022
- 235
- 327
Hao jamaa wawili kwenye pichani hapo nilisoma naoNeno lako sio sheria sanasana linaonesha jinsi usivyomjuzi kwenye unachokisema.
Russia military ni ya pili kwa uwezo duniani niambie unafikiaje hapo kwa kuwa na military intelligence isiyona makali!?
Tusiongee sana, jionee mwenyewe View attachment 2208789
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapi nimesema kuhusu uchawi ndugu,!Barbosa bado upo na mawazo ya uchawi. You still have a stone age mindset.
Ha ha haa,kwenye Ukweli lazima tuseme Ukweli.Basi kuna chawa wa NATO hapa wanavyofura wakisoma hapa utafikiri makoboko
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
NtakuoneshaUnaambiwa mfumo wa Nyota(Alpha Centauri) uliyokaribu na sisi uko kama 4 light years away, yaani mwanga ukitoka huko unachukua miaka 4 kufika duniani, au kila wanapiangalia kwenye telescope wanachokiona ni cha miaka 4 iliyopita, kama tukichukua chombo chenye kasi zaidi kwa technology yetu ya sasa itatuchukua miaka 4000 kufika huko
Sasa imagine hao Allien wawepo kwenye moja ya Sayari ya huo mfumo alafu wakawa wana uwezo wa kuja hapa Duniani na kuondoka bila kufia njiani, fikiria level ya technology yao itakuwaje...
Sasa now Imagine Urusi waliweza kuangusha chombo chao na wakawamata 😅 😅 😅 😅 😅 , na si hapo tu wanajua aina zao mbali mbali
Ila kuna watu hawako serious na wanayoongea
Sio kwa taifa kubwa na makini kama UrusiLabda wanadhani wanaweza kuweka vibaraka wao kama Iraq, Libya na Afghanistan
Safi sana Mkuu,Hii issue ilitokea Zimbabwe hapo, je Zimbabwe ni Marekani!!??View attachment 2208485
Comments zako zinajieleza kuwa wewe ni muumini wa uchawi. Badilika mwana sasa hivi tupo kwenye science and technology.Wapi nimesema kuhusu uchawi ndugu,!
Dah [emoji3], itakuwa unapata maana tofauti na niliyo kusudia kwenye replies zanguComments zako zinajieleza kuwa wewe ni muumini wa uchawi. Badilika mwana sasa hivi tupo kwenye science and technology.
The Germans cannot be guaranteed that next winter it will be warm in their apartments.
This was stated by the CEO of the largest housing company in Germany, Rolf Buch, in an interview with Der Spiegel.
What's more, he said, heating bills for some tenants "could be as high as two months' rent."
Buch also noted that Germany would not be able to quickly refuse Russian gas supplies.
Earlier, the German finance minister said that if the country itself refuses to import gas from the Russian Federation, "it will deal a strong blow to itself."View attachment 2208890
Maana yoko ipo straight kabisa. Inazungumza imani yako. Yaani wewe bado unaamini issue za Mazimwi na Vibwengo.Dah [emoji3], itakuwa unapata maana tofauti na niliyo kusudia kwenye replies zangu
Daaah. 🤣🤣🤣🤣🤣kwani kipindi NATO na marekani wanaichakaza Iraq kwani ubalozi wa urusi au China ulifungwa?????,Hatimaye Russia hataigusa Kyive kabisa. Siku ya leo nimeona Marekani kamuahidi Zeleinsky kuwa MWISHONI MWA MWEZI HUU MAY Marekani itafungua rasmi ofisi ya Ubalozi katika mji wa Kyive.