Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamani mimi nipo battle field kabisa. Jeshi la Ukraine linapukutika jamani. Si mchezo. Naogopa kuziweka picha hapa.
[emoji779]WARNING 18+

[emoji725] Corpses and burned equipment: Russian troops destroy the Armed Forces of Ukraine on the way to Kramatorsk [emoji725]
Usiweke hayo mapicha,hayana inshu yoyote.
 
Italy imesema ipo tayari kulipia gesi ya Urusi kwa sarafu ya Urusi, Ruble...
SmartSelect_20220502-174725_Chrome.jpg
 
Weee jamaa ni kiazii aisee are you a jobless waza taifa lako hasa mama yako uku ambaye anazunguka duniani kufanya royal tour
Umeishia darasa la ngapi mwenzetu?.....Hili jukwaa ni Kwaajili ya habari za kimataifa sometimes jaribu kuuliza wenyeji kwnza watakuelekeza njia
 
Basi kuna chawa wa NATO hapa wanavyofura wakisoma hapa utafikiri makoboko
emoji1787.png






Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ha ha haa,kwenye Ukweli lazima tuseme Ukweli.
😅 😅 😅 😅

Wewe ni mtu mzima bhana.

Haya uliyoandika mengi hayapaswi kutolewa na mtu anayejielewa.

Wewe unajua Allien wa aina ipi?

Hadi sasa hakuna sehemu binadamu wa sayari yetu, amefahamu kama kuna Intelligent life kama binadamu kwenye sayari yoyote na Dunia yetu pekee ndio ina Intelligent life kama binadamu, na other form of life, sayari ambayo tunaweza kujifunza kwa haraka haraka ni Mars kwa sababu iko nje kidogo ya Habitable zone ya Solar system yetu, pia Mars kunaweza kufanyiwa terraforming iwe kama dunia, but this for now is only theoretically possible.
Sayari nyingine ambayo ilikuwa kama Dunia kabisa ni Venus, but hakuna nayejua nini kilitokea exactly ikawa kama ilivyo leo.

Sisi tunaongelea vita ya Ukraine na Russia, wewe unaleta story za Alliens za vijiweni, yaani kama hao Allien wanatuzidi akili binadamu basi civilization yao ishavuka level 5, na kwa namna yoyote hatuwezi kuwafanya chochote hata kuwadetect, yaani watakuwa wameshavuka stage ya kutumia Radios signals.

Tumia akili, why hao Alliens wanaonekana USA na Russia tu,
Acha ubishi na ujuaji dogo.
Nani aloekuambia Alliens wanaonekanaga USA na Urusi TU.
Kwa taarifa Yako Alliens wameonekana sehemu nyingi duniani .
Allies wameshawahi kuonekana Afrika na hata kwa jirani zetu Zimbabwe.
Ulitaka ushahidi wa Alliens kuonekana sehemu nyingine duniani ntakupa.
 
Russia bila Nuke ni DRC Kongo iliyochangamka[emoji1787]View attachment 2208814
Hahahaha nimecheka sanaaaaa!! Maneno kama haya sijui anajisikiaje Mzee Putin na jeshi lake ndiyo maana Western wanadharau Ile mikwala ya Putin ya kutumia nuclear weapons... wiki ya pili SASA kunaingizwa silaha Kali ndani ya Ukraine bila kificho na western.......Acha tusubiri tuone mbele itakuaje
 
🇷🇺 Russia is projected to add $260 billion into its budget from sales of oil and gas this year because of the spike in energy prices, Norwegian research company Rystad Energy says.

Despite all the western sanctions, the revenue will reach record highs since the start of the coronavirus pandemic.

$260,00,00,000. Ni sawa na Tsh
604,500,000,000,000.00
Yaani Trillion 604.5.

Budget yetu ya Tanzania kwa mwaka ni Trillion 35.

Kwa pesa hiyo tunatumia miaka 17
 
Head wa Chechnya kuwa na 100m usd ndio sababu kubwa ya jeshi lake na la Urusi kwa ujumla kugeuka vibaka kwa sababu hizo pesa ambazo zilapaswa kuhudumia jeshi na raia ila wameiba.
Na wewe kweli unaamini huo ushubwada?

Head of Chechnya ana net worth ya usd 100m alaf wanajeshi wake wakaibe vimashine vya dola milioni 5!?

Uongo mwingine ni wa kiduwanzi sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bado mkuu na hawawezi kuisha ijapokuwa wanashindwa ila hawawezi kuisha wote.

Ukraine jeshi lao lilikuwa na active personnel almost 200,000 na reserve 500,000 ni ngumu kumaliza jeshi kubwa namna hii kwa operation ya siku 67 tu. Keyword 'operation'.

Operation inaendelea na jeshi linazidi kufubazwa. Mpk kufikia siku ya 90 litakuwa limelemaa kabisa. Nchi ya Ukraine itakuwa imepoteza maeneo mengi probably itakuwa imekatwa vipande viwili.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Baada ya hizo siku 90 usisahau kuja kuongeza 90 nyingine.
 
The European Commission said that they consider Russia's demand to pay for gas in rubles "an attempt to divide the European Union."

They also noted that they do not have information about how many EU companies are willing to pay for Russian gas in rubles.

20220502_010825.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kituko kingine hiki...

Upande wa kushoto ni taarifa iliyotolewa na New York post April 29, wakidai Ghost of Kyiv kauwawa kwenye battle na "Identity" yake imekuwa revealed...

Chombo hicho hicho cha habari siku tatu baadae yan 1st May wanatueleza kua Yulr Ghost wa Kyiv doesn't actually exist... wakidai Ukraine Regime wamesema [emoji23][emoji23][emoji23]...

View attachment 2208734

So this means that zile taarifa zote za awali kuhusu matukio yaliyofanywa na Ghost of Kyiv walikua wanatudanganya...

Wajomba mie naona ukweli huwa haufichwi labda kucheleweshwa tu au nyie mwasemaje [emoji848]
Ghost of kyiv sio mtu mmoja, tatizo la wabongo kujifanya mnajua kila kitu.

Ngoja nikutafutie uzi twitter Kama nitaupata, watu wa Ukraine walieleza namna gani hilo jina lilipatikana na kusema sio mtu mmoja.. and it's all about kuamsha mzuka na wako wengi pia

And hakuna mtu mmoja anaeitwa hivyo bali ni jina walilowapa marubani wao kwenye vita but ghost of kyiv ha exists..

Maana kulikuwa na wa mwanzo alikuwa mbabu above 40, na huyu mwingne aliekufa ana 29yrs, so unaweza kuona sio mtu mmoja na ni jina tu ambalo walikuwa wanawaita hao marubani wa ndege za kivita.

View attachment 2208895
 
Ghost of kiev sio mtu mmoja, tatizo la wabongo kujifanya mnajua kila kitu.

Ngoja nikutafutie uzi twitter Kama nitaupata, watu wa Ukraine walieleza namna gani hilo jina lilipatikana na kusema sio mtu mmoja.. and it's all about kuamsha mzuka na wako wengi pia
Barbosa bado upo na mawazo ya uchawi. You still have a stone age mindset.
 
Back
Top Bottom