The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Gazprom wanapiga propaganda wakati ukweli uko hivi 👇
YesAfu wanakula ngoma za kimarekani aisee
Misio mbishi bwana mkubwa, sema nina tabia ya kuwaza tofauti na kutoa maoni tofauti na mtazamo wa kawaida kabisa....😂 Na ninapenda kufanya hivyo ili kuona ama kupata hoja zenye misimamo na shibe zaidi hapa Jf...😊Ushimen ubishi kwako upo damuni,siku umeacha kurusha riwaya humu?
Msemaji wa Askari wa kirusi aliowauaZelensky ndio msemaji wa Urusi?
Aya nimekuruhusu wekaGuys Picha za kutisha wajeshi wa Ukrain wanapukutika. Kwa ruhusa yenu naweza kuziweka.
[emoji298]Weekdays of war, Izyum front
The evacuation of the corpses of abandoned soldiers of the Armed Forces of Ukraine, they were not needed by their own, they did not pick them up.
Leta tuGuys Picha za kutisha wajeshi wa Ukrain wanapukutika. Kwa ruhusa yenu naweza kuziweka.
[emoji298]Weekdays of war, Izyum front
The evacuation of the corpses of abandoned soldiers of the Armed Forces of Ukraine, they were not needed by their own, they did not pick them up.
Bwashee hii vita inakula kotekote Kwa Waukrain na Warusi Superpower no.2.Inasemekana askari wengi waliokufa na WA Urusi .Hii imefanya Putin kuua hata raia huko Ukraine Ili kulipiza kisasi.Kwenye hivi vita Russia na Putin caught in surprise.Hawakutegemea resistance ya aina hii Toka UKRAINE 🤔Guys Picha za kutisha wajeshi wa Ukrain wanapukutika. Kwa ruhusa yenu naweza kuziweka.
⚡Weekdays of war, Izyum front
The evacuation of the corpses of abandoned soldiers of the Armed Forces of Ukraine, they were not needed by their own, they did not pick them up.
Yaan najua vita lazima kila upande uumie, lkn kwa vita hii UKRAINE ameumia zaidi, si umeona hadi ikuli imezuiliva na viroba vya mchanga??Sema mwamba kuna kitu hakipo sawa kwako, so unapenda kuona habari za Ukraine akipigwa tu et! Ndio utaiona sio habari ya kishabiki
Hujui kwamba hiyo ni vita lazma na mrusi apigwe na angekuwa hapigwi mpaka sasa vita ingekuwa imeisha.
View attachment 2208504