Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tayar huko.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyeapishwa na putin kufanya operesheni Ukraine wamemfanyia yeye operesheni

Anajulikana kama jenerali Aleksandr Vladirmovich Dvornikov ndio mkuu wa special operation huko Ukraine.

Al maarufu The Butcher of Syria.
FB_IMG_1650065716223.jpg
 
Hilo la LGBTO unalijua mwenyewe binafsi sikubaliani na wewe kumwita mwenzetu hivyo....ila ni kweli huyo jamaa hajui kitu amekurupuka tu...hawajui makamanda wa Russia na muundo wa jeshi la Russia....
Safi sana mkuu [emoji3], njia nzuri ya kukomesha upuuzi.

Sio ku support tu hata Kama mtu anaongea utumbo, tunaweza elekezana bila kuwa wajinga.

Much appreciation
 
Ukraine wamepigwa mno mnoo!
na Russia akitaka kichwa cha Zelensky is a matter of minute ni vile tu hawajaamua.Manake wanamuacha kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo ya kusitisha vita na si vinginevyo
Alipo rais wa Ukraine umeona kumepigwa! Ama washafanikiwa kuingia?[emoji16]
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Huwa nafurahi mno nikiona mtu anachangia mada hii kishabiki kama wa mpira. Kwa jinsi ulivyo mjinga sasa, unaokota habari za mipasho kutwa nzima.

Hii vita inajulikana wazi kuwa UKRAINE amepigwa vibaya, sijui hizi nguvu za kusema Urusi anapigwa huwa mnatoa au zinakusaidieni nini.
Sema mwamba kuna kitu hakipo sawa kwako, so unapenda kuona habari za Ukraine akipigwa tu et! Ndio utaiona sio habari ya kishabiki

Hujui kwamba hiyo ni vita lazma na mrusi apigwe na angekuwa hapigwi mpaka sasa vita ingekuwa imeisha.


Screenshot_20220502-132537_1.jpg
 
Nakuuliza wewe unayepingana na russia.
Ni sababu zipi za msingi zinazokufanya uwapinge?
Na kama mnadai kavamia nchi huru kwanini aivamie Ukraine na si nchi nyingine?
Na kama mnadai anaua hovyo raia na kupiga majengo na sio kambi za jeshi au wanajeshi wapo wapi? Human shield ikitokea ni action ipi inapaswa kufuatwa?
Je kama wapinga vita wanataka amani hizo silaha mnapeleka za nini ?
Hayo matwakwa ya mrusi wakiyafata wanapungukiwa nini?
Mrusi angeweka silaha zake Cuba reaction ya US ingekuwaje?
Vipi urusi akubali nato aweke silaha Ukraine ila na yeye akaweke Cuba marekani angekubali?
Mwisho, mnaodai urusi kashindwa vita kuimaliza kwanini akishambulia mnalalamika na akitulia mnabeza, shida nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20220502-134344.jpg
    Screenshot_20220502-134344.jpg
    46.2 KB · Views: 35
  • InShot_20220502_134559746.jpg
    InShot_20220502_134559746.jpg
    69.2 KB · Views: 42
Britanica,hivi ni kwanini rais wa Ukraine ni yeye tu Kila siku anaongea,na Kila akiongea haijulikani anasimamia kwenye Nini? Mbona Putin yupo kimya Sana au hakuna wakumsemea? BBC,CNN naona wote wanalipoti upande mmoja tu kuwa Russia anakiona Cha moto.

Ilhali raisi wa Ukraine ukimuangalia usoni unaona kabisa kile anachokinena mdomoni sicho kilichopo moyoni mwake.
Umesema kwamba Kuna siraha Ukraine amewanyang'anya wa Russia na kawapa wa marekan hii huoni ni kunazidi kuchochea vita kwa kuoneasha wazi wazi vita ni kati ya mmarekani washirika wake vs Russia?
 
Nakuuliza wewe unayepingana na russia.
Ni sababu zipi za msingi zinazokufanya uwapinge?
Na kama mnadai kavamia nchi huru kwanini aivamie Ukraine na si nchi nyingine?
Na kama mnadai anaua hovyo raia na kupiga majengo na sio kambi za jeshi au wanajeshi wapo wapi? Human shield ikitokea ni action ipi inapaswa kufuatwa?
Je kama wapinga vita wanataka amani hizo silaha mnapeleka za nini ?
Hayo matwakwa ya mrusi wakiyafata wanapungukiwa nini?
Mrusi angeweka silaha zake Cuba reaction ya US ingekuwaje?
Vipi urusi akubali nato aweke silaha Ukraine ila na yeye akaweke Cuba marekani angekubali?
Mwisho, mnaodai urusi kashindwa vita kuimaliza kwanini akishambulia mnalalamika na akitulia mnabeza, shida nini?
Vizuri mkuu, maswali mazuri.

Ila kabla ya yote, turudi mwanzo kabisa

Je Sheria ipi ina ruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine?

Je Russia ame obey international law/agreements ama ameviolate?

Pia soma hapa.[emoji116] Utajua kwanini mataifa mengi yanajielewa yako against russia
InShot_20220502_141809084.jpg
 
Vizuri mkuu, maswali mazuri.

Ila kabla ya yote, turudi mwanzo kabisa

Je Sheria ipi ina ruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine?

Je Russia ame obey international law/agreements ama ameviolate?

Pia soma hapa.[emoji116] Utajua kwanini mataifa mengi yanajielewa yako against russiaView attachment 2208552
Hujajibu maswali
 
Wewe jamaa unalazimisha sana kuwa unaufahamu huo mgogoro lakini kiukweli hujui chochote.Subiria vita iishe ndio utajua Urusi alikuwa anataka nini na kwa nini anapiga kiev na kuondoka.unatumalizia bando tu.
Umelazimishwa kusoma thread zake.Kumbe unatumia bundle,unapaswa ku upgrade uende kwenye non limited Wi fi,vinginevyo ukiwa na bundle za mawazo utaishia kuwa na makasiriko na topic za wenzio[emoji846]
 
Back
Top Bottom