Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa ndo unakuja kujua Russia ilivyo na vichwa smart, yani wazungu wameshikwa pabaya mno na Russia kuliko walivyoishika wao.

Hapo anasubiri tu watikise makalio wazipige mnada reserves zake nayeye azipige mnada reserves zao.

EU bila USA anaiogopa mno Urusi na USA bila NATO anaigopa mno Urusi.

Urusi imekuja kutufunulia mambo mengi sana sisi wamakonde wa nchi za dunia ya tatu hadi leo tumejua kuwa zaidi ya 60% ya uchumi wa nchi za EU upo mikononi mwa Mrusi.

Hakika Urusi siyo Zimbabwe.
Umeandika hapa Jambo la maana Sana ..hongera.....Russia ni taifa kubwa kabisa na rafiki wa Afrika...Kuna attachment humu inasema hivi: Russia haijawahi kuchukua nchi yoyote ya Africa kuwa koloni lake...Russia haikuwepo kwenye mkutano wa Berlin wa mwaka 1884 ambapo wazungu waligawana bara la Afrika mithili ya nyama ya mbuzi mezani...Russia haijawahi kuchukua raslimali za Afrika na kukandamiza uchumi wa Afrika...Russia siyo taifa linaloficha Raslimali za Afrika na kujitajirisha huku
 
Sawa,
Lakini ujue Putin akifa au akiondoka wapo miamba wenge Urusi,Tena inaweza wakawa ni tougher kuliko Putin.
Mtakuja kusema Bora Putin kuli Mnyama huyu.
Putin alikuwa mzuri na ameiendeleza sana Urusi , ila viongozi wa ki'imla hujisahau au kuharibu mwishoni...
 
Germany is reducing its energy dependence on Russia rapidly:
Imports of Russian oil down from around 35% to 12%.
Imports of Russian gas down from 55% to around 35%.
Imports of Russian coal down from 50% to about 8%.

German is One of Russia biggest buyer of Russian fossils fuels, but within 2 months imeshusha matumizi by half, sisi wataalam wa Namba tunasema hadi mwezi wa 7, Russia bado atakuwa anapigana kuiteka Donbas
Kwa hiyo wewe ndiye unayejua zaidi kuliko wenyewe?! Unadhani huyo Russia hakujiandaa kwa hayo?!
 
Afadhari,Mimi nataka hata NATO mmoja asitoroke wapelekwe Moscow wote.
Sidhani kama ni raisi kutoroka mzee, hao ni Waukrane na wanajuana vyema kabisa na Warusi, kuanzia lugha hadi tamaduni wanaingiliana mno...mamluki ni ngumu kujichanganya.

Sawa na wewe hapo akiongea mchaga, msukuma, mzaramo ama mmakuwa utawatambua haraka sana...yaani maneno mawili tu ameshajua kuwa huyu kabila fulani ama ni mtanzania halisi.
 
kumbe mtoto wa nzi sio mtu wa mchezo mchezo eeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Twende hivihivi ... Ukiifatilia mijadala mingi na comment za Mtoto wa Nzi.. nimefuta vyeo vyote vya kimadaraja nikiwa na Umri mdogo sana ..kwanza nimeajiriwa nikiwa na miaka21 ... 2010… exposure matters..
 
Mbona ipo 550 mkuu inatungua mpaka setilite

Hii inaitwa satellite killer ni hatari sana hii inadungua mpaka hypersonic missiles. Kumbuka US na shoga zake NATO bado wana mbwela na hypersonic missiles lakin RUSSIA tayr ana airdefense system ya kudungua hizo hypersonic. Hio S-550 inadungua mpaka satellite za mmarekani [emoji28][emoji28][emoji28].

Kuna mtu anamcompare Russia na US kwnye millitary technology kuweni serious Russia ni next level hana mpinzani na kumbukeni anaunda silaha mwenyewe hashirikiani na taifa lolote.

Nilicheka sana baada ya kusoma tarifa kwamba AUKUS watashirikiana kuunda hilo kombora la hypersonic kama una akili utajua teknolojia ya US ipo nyuma sana, hawezi kuunda peke yake mpaka ashirikiane na Australia+ UK napo kuna hatihati [emoji38]

Tukiwambia Russia yuko mbele zaid ya miaka 10 kwa teknologia mbele ya US mnatupigia kelele humu ndani. Russia anasifa sana wakati US ametest hypersonic kwa mara ya 3 na amefeli Russia akatest airdefense S-550 na akafanikiwa.

Hypersonic missile hili ni kombora lenye kasi kushinda sauti lina speed ya 10x ya sauti sio mchezo. Nawakumbusha Russia ana kombora la avangard ambalo lina kwenda speed ya 20x zaid ya sauti

Juzi hapa amefanikiwa kutest kombora jipya la sarmat 28 aka SATAN -II hili linakasi pia lina uwezo wa kubeba vichwa zaid ya 10 vya nyuklia. Yaani likifyatuliwa likifika US linajigawa kichwa kimoja Washington, los angeles, atlanta, New York nk. Nk. Nawakumbusha US hana airdefense ya kuzuia kombora za hypersonic yale mabati yake ya THAAD na PATRIOT amegoma kuyapeleka Ukraine coz yatamtia aibu tu[emoji28][emoji28][emoji28]

Wakati S-400 ikiwa bado no1 best airdefense in the world right now Russia anazo S-500 & S-550 hajaziweka sokoni bado. Kumbukeni S-400 bado inafanya vizuri sokoni mpaka member wa NATO wanaitumia. Russia sio Sudani ndugu zangu NATO.

Pro US/NATO nendeni mkaisome historia ya RUSSIA ndo mrudi hapa shida nyie watoto mmekulia kipindi cha propaganda za west hamuijui Russia vzr na huji kuta habari zake zikitangazwa kama US ila Russia ni moto usione US analia lia anaujua moto vzr wa Mrussi tukianza na Syria & venezuela wote tuliona US alikimbia [emoji28][emoji28]

Nimalizie: US hawezi kwenda vitani bila shoga zake NATO hata kama atakuja Tz lazma awachukue shoga zake NATO.

GOD BLESS RUSSIA & PUTIN

Link hio nawapa mjue hii S550 ni hatari someni na coments za wadau humo

 
Germany is reducing its energy dependence on Russia rapidly:
Imports of Russian oil down from around 35% to 12%.
Imports of Russian gas down from 55% to around 35%.
Imports of Russian coal down from 50% to about 8%.

German is One of Russia biggest buyer of Russian fossils fuels, but within 2 months imeshusha matumizi by half, sisi wataalam wa Namba tunasema hadi mwezi wa 7, Russia bado atakuwa anapigana kuiteka Donbas
Source?
 
Hii inaitwa satellite killer ni hatari sana hii inadungua mpaka hypersonic missiles. Kumbuka US na shoga zake NATO bado wana mbwela na hypersonic missiles lakin RUSSIA tayr ana airdefense system ya kudungua hizo hypersonic. Hio S-550 inadungua mpaka satellite za mmarekani [emoji28][emoji28][emoji28].

Kuna mtu anamcompare Russia na US kwnye millitary technology kuweni serious Russia ni next level hana mpinzani na kumbukeni anaunda silaha mwenyewe hashirikiani na taifa lolote.

Nilicheka sana baada ya kusoma tarifa kwamba AUKUS watashirikiana kuunda hilo kombora la hypersonic kama una akili utajua teknolojia ya US ipo nyuma sana, hawezi kuunda peke yake mpaka ashirikiane na Australia+ UK napo kuna hatihati [emoji38]

Tukiwambia Russia yuko mbele zaid ya miaka 10 kwa teknologia mbele ya US mnatupigia kelele humu ndani. Russia anasifa sana wakati US ametest hypersonic kwa mara ya 3 na amefeli Russia akatest airdefense S-550 na akafanikiwa.

Hypersonic missile hili ni kombora lenye kasi kushinda sauti lina speed ya 10x ya sauti sio mchezo. Nawakumbusha Russia ana kombora la avangard ambalo lina kwenda speed ya 20x zaid ya sauti

Juzi hapa amefanikiwa kutest kombora jipya la sarmat 28 aka SATAN -II hili linakasi pia lina uwezo wa kubeba vichwa zaid ya 10 vya nyuklia. Yaani likifyatuliwa likifika US linajigawa kichwa kimoja Washington, los angeles, atlanta, New York nk. Nk. Nawakumbusha US hana airdefense ya kuzuia kombora za hypersonic yale mabati yake ya THAAD na PATRIOT amegoma kuyapeleka Ukraine coz yatamtia aibu tu[emoji28][emoji28][emoji28]

Wakati S-400 ikiwa bado no1 best airdefense in the world right now Russia anazo S-500 & S-550 hajaziweka sokoni bado. Kumbukeni S-400 bado inafanya vizuri sokoni mpaka member wa NATO wanaitumia. Russia sio Sudani ndugu zangu NATO.

Pro US/NATO nendeni mkaisome historia ya RUSSIA ndo mrudi hapa shida nyie watoto mmekulia kipindi cha propaganda za west hamuijui Russia vzr na huji kuta habari zake zikitangazwa kama US ila Russia ni moto usione US analia lia anaujua moto vzr wa Mrussi tukianza na Syria & venezuela wote tuliona US alikimbia [emoji28][emoji28]

Nimalizie: US hawezi kwenda vitani bila shoga zake NATO hata kama atakuja Tz lazma awachukue shoga zake NATO.

GOD BLESS RUSSIA & PUTIN

Link hio nawapa mjue hii S550 ni hatari someni na coments za wadau humo

Nimeifata hiyo link nimekutana na hii comment ya mdau mmoja hivii... Nimecheka tu
Screenshot_20220501-205023-01.jpg
Eti now I know why alien land only in US [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa na maana Russia hakuna mdudu wa kutua kwenye anga hiyo.
 
Nimeifata hiyo link nimekutana na hii comment ya mdau mmoja hivii... Nimecheka tu View attachment 2207810Eti now I know why alien land only in US [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa na maana Russia hakuna mdudu wa kutua kwenye anga hiyo.

Humo kuna comment za moto tu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na jomba kwenye point yako ya tano niongezee kidogo...

US foreign policy is either interventionist or isolationist when it has nothing to gain... Ukiangalia kwa Russia, US na kundi lake hawawez kuingia kivita directly kwasabab wanajua watakayepigana nae yukoje...

Hawatoambulia kitu ka walivyofanya kwenye mataifa dhaifu mengineyo waliyowah kuinterven huko nyuma. Kwa Russia watakachoambulia ni kujiharibu wao wenyewe zaidi ya hivi wanavojiharibu sasa...

Itaishia kua hivi hivi kwa kauli mbiu kubwa ya No Action Talk Only... ni kutuma silaha zinaharibiwa. Wanayehisi wanamdhoofisha anazidi ushawishi na support zaidi kupitia madudu wanayoyafanya...

Zile enzi za flan chagua upande [emoji23] zimeishaaaaaaa..
Hawa jamaa wamagharibi wamezoea wizi,dhulma na mauaji.
Wamezuia mali za Russia zilizopo kwao(Russia naye kawagonga na kitu kizito) eti kwasababu Russia kaivamia Ukraine.
Lakini walitaifisha mali za Afghanistan eti kwasababu wao wameivamia Afghanistan!!!
Hawa jamaa ni mabingwa wa wizi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 

Russia’s Gazprom HALTS gas flows to Poland and Germany; Europe in PANIC as rolling blackouts are inevitable unless Europe finds RUBLES​

(Natural News) In the bombshell news of the week, Russia’s Gazprom natural gas exporter, exactly has promised, is shutting off gas flows to nations whose gas importers refuse to pay for gas in Rubles.

Gas flows for Poland and Germany are halted as of today, confirmed by Bloomberg and other outlets. Poland’s officials are currently in a state of hilarious denial, claiming they have enough “reserves” to keep gas flowing into “homes,” but utterly failing to mention there won’t be enough gas to power the electricity generation hubs or industrial customers that keep the country’s economy flowing.

The situation is even more dire in Germany, where officials there have agreed to export “tanks” to Russia, even though they aren’t even really tanks. As I posted on Telegram earlier today:



Germany-Donation-Tank-Anti-Air-System.jpg


Germany’s “tanks” that are being donated to Ukraine are nothing more than STEEL COFFINS for Ukrainian soldiers. First off, these aren’t tanks at all. They are tracked, short-range anti-air systems that NOBODY in Ukraine even knows how to operate. Via previous post, TRAINING time to run these is 6-12 months. There will be NO spare parts if they are damaged. NOBODY in Ukraine knows how to repair these units. It’s all a hilarious, pathetic JOKE on the part of Germany. Dragged out of a museum!

It appears that Germany is emptying its war museums of old hardware while demanding Russia keep selling it gas in euros, even though Germany and other Western nations have declared Russia can no longer use euros or dollar, due to the extreme economic sanctions leveled against Russia (by the West).

Brighteon.TV


These bully tactics of the West are turning out to be disastrously catastrophic for Western nations, and Germany faces the near-total annihilation of its industrial base if it can’t somehow replace Russia’s natural gas deliveries (or find a way to pay in Rubles). The collapse of German industry will take a generation to recover, if ever, since shutting down manufacturing businesses and liquidating their assets usually involves selling off hardware and losing the human knowledge base of how to run that hardware.

All this for virtue signaling against Russia, it seems. Germany would rather commit economic suicide than allow Russia to earn another Ruble in revenue for its gas exports. Not that Russia is desperate for revenues, of course, since Russian energy sales are booming and year-over-year revenues for Russia are exploding to the upside due to sharply rising energy prices on the global market. China, Turkey, India and most other nations around the world are happy to keep buying energy from Russia, even if Germany, Poland, the UK and the USA refuse to do so.

Ukraine is Europe’s graveyard for outdated military hardware… and the Ukrainian soldiers are paying with their lives​

The reality of this sad, pathetic tactic by NATO nations is that Ukraine has become a dumping ground (or graveyard) for outdated, nearly museum-era military hardware that NATO nations are desperately trying to get rid of while claiming to be “assisting” Ukraine.

– Poland is delivering an unknown quantity of some sort of tanks Ukraine
– Germany is delivering museum-era anti-aircraft tracked vehicles Ukraine
– The Czech Republic is delivering some outdated T-72 tanks
– UK is sending Stormer armored vehicles with anti-aircraft missiles
– Slovenia is also reportedly sending some T-72 tanks

What they’re actually accomplishing is the mass death of Ukrainian soldiers who will die in these steel coffins, given all the following undeniable truths:

  • Ukrainian military forces have almost zero training in these oddball pieces of equipment, except perhaps the T-72s.
  • There are virtually no repair parts available to keep these things running, since they largely aren’t in production anymore.
  • There’s very little ammo available for the hardware, and ammo is almost impossible to deliver to the battle lines due to Russia’s railway interdiction efforts.
  • There’s no interoperability between all this oddball hardware coming from different nations, different eras, different manufacturers, etc. They don’t use the same parts, their comms are all set up differently, their maintenance requirements are not unified, their tracks are not interchangeable, etc. It’s all a pathetic joke.
  • Many of these pieces of equipment have sat in warehouses for years or decades, experiencing internal engine rust (from water accumulation in diesel engines) and component rust. It’s questionable whether these vehicles will even survive the first 30 days of actual use without breaking down and becoming multi-ton paper weights.
While some of the T-72s might be useful in defensive positions, the bulk of this hardware is nothing but a turkey shoot for modern Russian aircraft, missile systems and well-equipped battlefield tanks.

Yet libtards in America — people who are stupid enough to believe the corporate media — think “Ukraine is winning!” Even when the power grid is about to experience rolling blackouts across Poland and Germany, with diesel shortages in the UK and food shelves starting to go bare across most of Western Europe.

How, exactly, is NATO winning again? Russia is seizing territory, raking in record revenues for energy exports and experiencing huge support for its national currency, all while the dollar continues to erode and the Japanese yen is on the verge of a total collapse.

Maybe this is “winning” if you’re the kind of idiot who believes that men can get pregnant, too. In the world of delusional fairy tales, I suppose anything can be twisted around by delusional woketards to look like its opposite. But in no universe rooted in reality is Russia “losing” this war. Russia is achieving a methodical, decisive victory while the USA and NATO are standing around with their d#cks in their hands, laughing about emptying their old warehouses of rusted-out, barely-operable military hardware that will die on the battlefield with the victimized soldiers of Ukraine (who are being exploited and killed by NATO and the West, it turns out).

Get the full details in today’s Situation Update podcast here:

Brighteon.com/62d0c699-b5fd-4f43-8963-0f186557f72f
 

Poland and NATO sneaking troops into Ukraine; Forbids Public Photos/Videos!​


The Polish Government has announced that Large-Scale Military Exercises will be taking place across the Country beginning today involving the Polish Military and multiple NATO Member States. Heavy Military Equipment is expected to be seen on Highways and roads around the Country.
This, the world already knew about. What's very different this time is as follows:
The Polish State Security Service has requested that people refrain from Photographing or Posting about Military Movements including Aircraft landings and take-offs, people who do continue to publicly document Allied Military Movements are subject to prosecution.
The Polish State Security Ministry has threatened Fines and Jail Time for posting pictures and announcing Force Movements over Social Media since the Russian Invasion of Ukraine began, though so far no Polish Citizens have been prosecuted.
There has been covert intelligence coming out of Poland which CLAIMS (not yet confirmed) that Poland and perhaps other nations are planning to put armed troops into western Ukraine as "peace keepers." HOWEVER, along with such rumors are other CLAIMS (also not verified) that Poland intends a land grab f western Ukraine; to reincorporate what was once actual Polish territory before World War 2, back into Poland. These claims are Furiously DENIED by the Poland government.
Yet, given the announcement by Polish security services, that the public must not take photos, video or make troop movement postings on social media, one has to wonder why all the secrecy? If Poland is not going to send troops into Ukraine, why the secrecy?
It is widely believed by many seasoned observers that if Poland tries to insert troops into Ukraine, they would be immediately engaged by Russian armed forces, regardless of Poland's stated purposes.
 
Hawa jamaa wamagharibi wamezoea wizi,dhulma na mauaji.
Wamezuia mali za Russia zilizopo kwao(Russia naye kawagonga na kitu kizito) eti kwasababu Russia kaivamia Ukraine.
Lakini walitaifisha mali za Afghanistan eti kwasababu wao wameivamia Afghanistan!!!
Hawa jamaa ni mabingwa wa wizi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Wezi bin wiziii...
 
Back
Top Bottom