lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Ukweli ni kwamba Safari hii west wameshikww Kila Kona,Putin kawakamata kwelikweli.Hii Post ya kushushia maji kabisa [emoji23] View attachment 2207311
1 - wamemuwekea vikwazo lkn vikwazo vinawapiga wao wenyewe.
2 - Silaha zinateketezwa ama kutekwa kabla hazijafanya kazi.
3 - wamezuia assets za Urusi zenye thamani ya $300 b yeye kashika zenye thamani ya $ 500 b.
4 - walimbana asitumie $ Sasa kawalazimisha watumie rubo.
5- waliweza kuingilia pale Iraq ilipoivamia Kuwait,na pale Yugoslavia ilipowapiga wkosovo.
Wameshindwa kuingilia kwa kibaraka wao Ukraine.
Safari hii NATO wamekutana na kidume,kisiki Cha mpingo,chumba Cha pua.