Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤗

Hapana jomba sio mie, kipindi cha nyuma nilikuwa napenda tu kua msomaji huku JF, hadi march mwaka huu ndipo nilipoamua kujiunga Rasm.

Huyo Malcom nilikuwa nasoma post zake tu enzi hizo,

Naweza sema mie nae nipo kama wewe miongoni mwa wanaotamani kusikia neno kutoka kwake vile vile na GT wengineo tuliowazoea.
Hii thread nimeifatilia mwanzo mwisho, lakini sijawahi comment na Mimi pia nimiongoni mwa watu ambao natamani MALCOM LUMUMBA na Chige nisome uchambuzi wao juu ya hii OPERATION. Ndugu yangu MALCOM LUMUMBA tunaomba kama utapata muda utachambulie juu ya hiki kinachoendelea bila kumsahau brother Chige tutafarijika sana kusoma uchambuzi wenu.
 
Niliishi kidogo Manchester University mama akiwa anasoma pale akiwa diplomat wa Presidential Privatisational Parastatal chini ya Kigoda.. l. Nikasoma Pia Urusi... Na mdogo wangu bado yupo huko... Namalizia SAUT 2009 .. nikaenda tena Urusi....Kuna watu hawaijui kabisa Urusi ..... nkarudi na kuajriwa na jamhuri 2010. Naijua Urusi kuliko wanavyodhani... Wale watu ...Wana utaifa huku mnaita uzalendo... Wale wana UTAIFA.
Hio iko kwa Wazungu wote
 
Hii chini post kutoka MoD Russia...

[emoji95] Russian MoD “High-precision strike carried out by Onyx missiles was launched at the Odessa region, targeting a military airfield. As a result, the Russian Armed Forces destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries.”

Hivi na nyie huwa mnawaza ka mie hali za wananchi kutoka mataifa hayo zilivyo huku wakitizama kodi zao zikiteketezwa kizembe kwenye mgogoro ambao hao wachochea kuni wanaweza kukaa chini kuumaliza kwa mazungumzo? Badala ya hizo gharama wanazotumia kuharibika kua majivu ndani ya mda mfupi.
 
Unafikili nirahisi kufanya maanganizi miwe mnakaa chini kwanza kujifunza maana ya vita in its technical sense. Russia has a boasting military power anashindwaje kuiteka kivy. Ameshindwa kuvunja ngome za ulinzi na kufanya jeshi la ukraine wajisalimishe bila upinzani wowote. Una umri gani kijana, unafikili Russia anaweza kufanya random offensive bila kujali Raia, jiulize kwanini Ukraine wameamua kujilinda unafikili hawana uwezo wa kufanya hivyo. Yaani nchi ndogo tu ya wakulima wa ngano lanini Russia amepoteza askari wengi na yeye mwenyewe kakiri angekua amevamia Poland ingekuaje. Kuwa na jeshi kubwa haimaanishi unaweza kushinda kirahisi kama uliona Russia anaweza kufanya hivyo ona Sasa kinachotokea.
Pumba tupu
 

S-500 missile system​

1651408694383.png
 
Alishindwa taarifa umezipata wapi!!?
Kumaliza OP ndani ya muda mfupi huo muda mfupi upoje !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukikosa point, unabaki kubwabaja tu. Russia sio mama yako wala baba yako na wala warusi sio special race kwamba hawawezi kushindwa lolote. Walioko mstari we mbele wa mapambano niwadamu sio malaika kwa hiyo kushindwa kupo. Operation yoyote ya kijeshi ikichukua muda hata week moja ndani ya nchi watu bila kuvunja kabisa nguvu ya ulinzi wa adui yako lazima mtapoteza tu askari. Hata marekani aje kwetu asipoharibu miundombinu yote ya kijeshi lazima atatoka kamasi maana atajibiwa mapigo. Tatizo lako unawaona warusi kama malaika operation ina miezi miwili sasa mapigano yanaendelea. Unafikili askari wa urusi walioko mstari wa mbele wana hali gani, regiment ya vifaru inavyohenyeshwa na St jevelin unafikili mchezo. Kama kweli Russia wako vizuri kwenye medani wameshindwa nini kulinda vikosi vyao mpaka kupoteza askari miatano, meli yao ambayo ndio nembo ya taifa imezamishwaje na jeshi la wakulima. Punguza mapenzi kwa warusi kwani wao pia binadamu wanamokosa ambayo wanaweza kupay price kama beberu mkuu alivyopay price Vietnam
 
View attachment 2207227
Launch of Onyx high-precision missiles during a special operation of the Russian Armed Forces in Ukraine.
Angalia kombora linavyofuata amri hapo.Yaani utaona kama linapingana na mwendo wa kimaumbile.Lilipofika masafa fulani angani limekatisha mwelekeo ghafla kuelekea lilikokusudiwa.Hilo ilikuwa haiwezekani kupata target wakati liko ardhini.Kule kichwani lina viroketi vidogo vinavyojiwasha kimahesabu ili kutafuta mwelekeo. Mrusi ndio maana amempa chumba USA katika international space station.
 
[emoji635][emoji631][emoji298]Volodin stated that up to $500 billion worth of Western assets were blocked on the territory of the Russian Federation, which counterbalances the $300 billion of Russian reserves blocked in the West.

In the event of the confiscation of the property of Russian oligarchs in the West, Russia will begin to confiscate the property of Western businesses in Russia.
😄😄😄😄 aisee kweli usishindane na mcheza chess, lazima akupige kidole tu.
 
Hii chini post kutoka MoD Russia...

[emoji95] Russian MoD “High-precision strike carried out by Onyx missiles was launched at the Odessa region, targeting a military airfield. As a result, the Russian Armed Forces destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries.”

Hivi na nyie huwa mnawaza ka mie hali za wananchi kutoka mataifa hayo zilivyo huku wakitizama kodi zao zikiteketezwa kizembe kwenye mgogoro ambao hao wachochea kuni wanaweza kukaa chini kuumaliza kwa mazungumzo? Badala ya hizo gharama wanazotumia kuharibika kua majivu ndani ya mda mfupi.
Ukraine kakopa. Atalipa
 
Hapa ndo unakuja kujua Russia ilivyo na vichwa smart, yani wazungu wameshikwa pabaya mno na Russia kuliko walivyoishika wao.

Hapo anasubiri tu watikise makalio wazipige mnada reserves zake nayeye azipige mnada reserves zao.

EU bila USA anaiogopa mno Urusi na USA bila NATO anaigopa mno Urusi.

Urusi imekuja kutufunulia mambo mengi sana sisi wamakonde wa nchi za dunia ya tatu hadi leo tumejua kuwa zaidi ya 60% ya uchumi wa nchi za EU upo mikononi mwa Mrusi.

Hakika Urusi siyo Zimbabwe.

Mrussi anawapa maisha afu wanavimba shenzi sana.
 
Back
Top Bottom