Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤗

Hapana jomba sio mie, kipindi cha nyuma nilikuwa napenda tu kua msomaji huku JF, hadi march mwaka huu ndipo nilipoamua kujiunga Rasm.

Huyo Malcom nilikuwa nasoma post zake tu enzi hizo,

Naweza sema mie nae nipo kama wewe miongoni mwa wanaotamani kusikia neno kutoka kwake vile vile na GT wengineo tuliowazoea.
Niwie radhi kwa kuchanganya mambo mkuu

Tuko pamoja na the bear
 
Lazima kieleweke tuu 👇

Screenshot_20220430-171755.png

Screenshot_20220430-171359.png

Screenshot_20220430-164807.png
 
Kuna 750 US foreign military bases zimesambaa across 80 nations that need energy and commodities and food. Hii chini yaonesha how US base zilizo EU zinavotegemea Gas and Coal kutoka Russia
IMG_20220501_081041_089.jpg
Sasa kwa hii global-hyper-inflation alone will make it impossible to maintain this infrastructure. Tukumbuke ni Quarter hii ya kwanza iliyoisha US economy ime"shrank".

My take: The lifespan of the USD is finite and the collapse of this empire is definite. 😂😂😂
 
Kwenye siasa mambo yanabadilika sana, huyu ni Arestovich ambae hivi sasa ni mshauri wa Raisi, huyu Zelensky... Hii ilikuwa 2019 wakati analisema hili

Kua "Only an idiot could have voted Zelensky in. 🤷‍♀️ Weak, with an easily manipulated ego" na sio kauli hizi tu zipo nyingi zaidi ya hivi ila kinachonishangaza hadi leo hii ni kitu kimoja.

ikawaje baada ya uchaguzi jamaa mdio akawa mshauri wa Raisi?

Kwa kauli yake hiyo naweza sema "Idiots vote for an Idiot advised by another Idiot"

Vile vile kuna hii video nyingine akidai kua "the national idea of Ukraine, one of the central idea is to lie as much as possible to ourselves and others, because if we tell truth, it will collapse and we would have to create something new... That's our unbalanced, contradictory foundation."

Sasa kama hii ndio Mindset ya mshauri mkuu wa Comedian... Think Tank ya Shujaa mtu mbad kiboko ya Putin 🤗... Tutegemee nn?

Ase inahitaji upofu wa haja, na kujitoa akili kisawa sawa kuweza kunyanyua lips mbili za mdomo kutoa neno "Slava Ukraine"...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vituko kama hivi vinapatikana kwa Warusi weusi tu huko Buza.
Teh u right Mr...

Na hata ukitizama, Pro Russia walio wengi kwenye huu uzi wanaifaham Russia vizuri kwa kiasi kikubwa. Na wale wanaoiponda hawaijui Russia kwa mapana...

Na kiasi wanachokijua kuhusu Russia ni kile Western wanachokitangaza ambacho kawaida kiko mlengwa tofauti na uhalisia ulivyo, sawa na kuuliza habari za Simba kwa shabiki wa Yanga.
 
Majeshi ya ardhini ndio huwa yanashinda vita na kuchukua miji, uwezo wa jeshi la Urusi kupigana ardhini mbali na nchini kwake unazidiwa na maimami wa DR Congo ndio maana unaona amebaki kurusha makombora kiholela tu kutoka ardhini kwake.
Ahsante MKUU mie sijui saana ila ntakueleza zaidi ninavyohisi mimi naninavyoona pia kwauchache nitagusia wanayoyataka KREMLIN
Moja:-naamini RUSSIA uwezo wakupiga KIEV anao ila sijajua hasa kwanini anasitasita nakuingia kigeugeu ama nayeye kuna jambo kaliona linaweza kutokea endapo hii OP itadumu kwamuda mrefu nandio analolitaka (hii namba moja maoni yangu naamini mgogoro huu ukidumu kwamuda mrefu kiasi cha mwaka+ kuna migogoro inaenda kuibuka kuanzia EU na NATO maana mpaka sasa imetokea wengine wanataka walipe kwa RUBO wengine hawataki wengine wanataka wapeleke silaha wengine hawataki imagine kama mgogoro utadumu kuna mataifa ya NATO na EU yatadorora KIUCHUMI pia kupitia huu mgogoro RUSSIA anapata faida kwenye mauzo ya NISHATI maana yamepanda thamani kupitia huu mgogoro)
Mbili:-Kiongozi mmoja wa RUSSIA alihojiwa na video nnayo ila sitaweza kuieka samahani youtube unaweza ukaipata alisema wanaweza kufanya kama unavyotaka ila hawataki sababu wanataka wasaini makubaliano na si kumuua KOMEDIAN ingawa akasema ikibidi wanamtwanga jamaa wanapiga IKULU nk ikumbukwe jamaa walifika mpaka KIEV pia ikumbukwe jamaa juzi wakati katibu mkuu wa UN yupo huko jamaa walipiga KIEV niwazi kwamba uwezo wanao
Tatu:-RUSSIA na UKRAINE hawa yote tisa ila kumi jamaa hawa wanaudugu na kufanya hayo unayoyataka italeta taharuki kubwa je baaada ya kufanya hvyo ataweza kuitawala UKRAINE (haya mawazo yangu)
Nne:-MKUU utanisamehe nishaona uvivu kuandika ila hapa nahisi kuna mtu anatafutwa UKRAINE kawa kama chambo tuuu (haya mawazo yangu)
nk....nk...nk........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo mazuri sana CHIEF. Nimekuelewa. Binafsi nasuburia mwisho wa hii vita utakuwaje na nini kitatokea.

Swali:- Kwa uwezo wa kijeshi wa Urusi kama ulivyoainisha ni kwanini Urusi hashambulii Kyiv yote, anapiga makombora pembeni pembeni?

Kwanini Urusi asipige Kyiv yote ambayo inatumika kama kiini cha Ukraine kiongozi, kujipanga kivita, kupokea misaada ya silaha.

Kikwazo kiko wapi kwa Urusi kutopiga Kyiv yote, mabomu mazito mazito na kuisambaratisha, Ukraine ikaanguka?

Lengo la OP ni nini kama vita inakuwa haishi na uwezo wa Urusi kuimaliza mapema anao inaendelea kumcost wanajeshi wake/vifo na silaha?

Vita hutokea baada ya kufeli kwa mazungumzo ya amani, ili kumshawishi adui yako akubaliane na matakwa yako ndiyo unaanza kumpiga,lengo la Russia kwenye Vita hii liko wazi kabisa na Wala hana nia ya kuisambaratisha UKRAINE.
 
Ahsante MKUU mie sijui saana ila ntakueleza zaidi ninavyohisi mimi naninavyoona pia kwauchache nitagusia wanayoyataka KREMLIN
Moja:-naamini RUSSIA uwezo wakupiga KIEV anao ila sijajua hasa kwanini anasitasita nakuingia kigeugeu ama nayeye kuna jambo kaliona linaweza kutokea endapo hii OP itadumu kwamuda mrefu nandio analolitaka (hii namba moja maoni yangu naamini mgogoro huu ukidumu kwamuda mrefu kiasi cha mwaka+ kuna migogoro inaenda kuibuka kuanzia EU na NATO maana mpaka sasa imetokea wengine wanataka walipe kwa RUBO wengine hawataki wengine wanataka wapeleke silaha wengine hawataki imagine kama mgogoro utadumu kuna mataifa ya NATO na EU yatadorora KIUCHUMI pia kupitia huu mgogoro RUSSIA anapata faida kwenye mauzo ya NISHATI maana yamepanda thamani kupitia huu mgogoro)
Mbili:-Kiongozi mmoja wa RUSSIA alihojiwa na video nnayo ila sitaweza kuieka samahani youtube unaweza ukaipata alisema wanaweza kufanya kama unavyotaka ila hawataki sababu wanataka wasaini makubaliano na si kumuua KOMEDIAN ingawa akasema ikibidi wanamtwanga jamaa wanapiga IKULU nk ikumbukwe jamaa walifika mpaka KIEV pia ikumbukwe jamaa juzi wakati katibu mkuu wa UN yupo huko jamaa walipiga KIEV niwazi kwamba uwezo wanao
Tatu:-RUSSIA na UKRAINE hawa yote tisa ila kumi jamaa hawa wanaudugu na kufanya hayo unayoyataka italeta taharuki kubwa je baaada ya kufanya hvyo ataweza kuitawala UKRAINE (haya mawazo yangu)
Nne:-MKUU utanisamehe nishaona uvivu kuandika ila hapa nahisi kuna mtu anatafutwa UKRAINE kawa kama chambo tuuu (haya mawazo yangu)
nk....nk...nk........

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika yote uliyozungumza kuna pahala kama unajadili uwezo wa Urusi kuipiga Kiyv.Hili ni jambo rahisi sana kwa teknolojia za sasa.Warusi ndio wako juu sana kwa teknolojia hizi na wababe wenzao.Na Kiyv ni karibu sana na bahari ziliko meli za Urusi au hata kutokea popote ndani ya Urusi.Wasi wasi unakuja kwa hilo kombora kudakwa angani na adui yake kam ana uwezo huo.Haya makombora yote ya kisasa ni laser guided.Hayarushwi kama vile wanavyorusha wapalestina. Hili la mrusi likitoka linakuwa na sura ya jengo linapokwenda kupiga na geolocation yake kwa uhakika kabisa. Haliruki kama vile unavyorusha manati.Linatembea angani kwa uongozi wa kielectronik karibu kama ndege zinavyoruka. Kwa maana hizo sababu nyengine ulizozitaja ndio zenye uzito juu ya Urusi kutokuipiga Kiyv mfululizo na kuipiga ikulu ya Zelensky.Hayo ni makombora ya kawaida.Ikija ICBM ndio kabisa mji wowote duniani kutoka Urusi linatua na kwa muda mfupi.
 
The US is teaching the Ukrainian military how to use Western weapons against Russia, writes Das Erste.

At the moment, two groups of Ukrainian military personnel, consisting of about 50 people, are undergoing training for the proper handling of American artillery pieces, the newspaper notes.

According to the US Department of Defense, the training is being conducted by 160 Florida National Guard troops who were already in Ukraine for training purposes prior to the outbreak of hostilities.

View attachment 2206551
Si ndio uzezeta huo na kuchelewa.Yaani vita viko karibu ya kwisha wewe ndio kwanza unaingia darasani kujifunza kutumia silaha ambazo pia hazijafika mjini.Kama zikipotea njiani si utakuwa umepoteza muda bure.
 
Russia hawezi kupiga Kyiv yote na hawezi kushinda vita vya Ukraine kirahisi(kama atashinda) kwa sababu.

1.Hana makombora ya kutosha yasiyo ya nyuklia kufanya hivyo.
Nyuklia tu ndizo zinaweza kupiga Kyiv yote. Anavyozidi kutumia makombora yake kiholela ndivyo stock yake inazidi kwenda chini na kwa sasa hawezi kutengeneza kwa kasi kwa sababu ya vikwazo vingi alivyowekewa.

2.Jeshi la Russia ardhini la Urusu haliwezi kupigana vita vya mbali na nchini mwao.
Sababu kubwa ni miondombinu yake mikubwa linalotegemea ni ya reli na treni ndio maana ule msururu wao wa mrefuuu wa vifaru na magari haukuwa na faida yoyote kwao ikabidi wa retreat tu

3.Urusi imeshhindwa kulitwaa na kulitawala anga la Ukraine.
Kwenye vita vya kisasa unaweza kufanya mashambulizi makubwa ya kudhohofisha vifaa na kambi za kijeshi kama unaweza kutawala anga la adui yako. Urusi imeshindwa kutawala anga la Ukraine tangu vita imeanza. Haiwezi kurusha ndege na helicopters zake kufanya mashambuli kwenye ngome za adui zake, wanachotegeme zaidi ni makombora ya ardhini kutoka nchini mwao na kwa kibaraka wake Belarus. Makombora yao sio "precison guided"

5.Uwezo wa wanajeshi wa Ukraine, morali,nidhamu na imani yao kwamba watashinda hii vita.
Wanajeshi wa Ukraine wako vizuri zaidi kwa kila kitu ambacho mwanajeshi anapaswa kuwa, wanachozidiwa na wenzao wa Russia ni silaha tu. Unapopigana na watu wa aina hii vita haiwezi kuwa rahisi hata kidogo na sasa wanapozidi kupatiwa silaha wanazohitaji mambo yatakuwa magumu zaidi kwa Russia.

6.Intelegensia mbovu na mtazamo potofu wa Putin kuihusu Ukraine.
Russia wakati anaivamia Ukraine alikuwa ana bet raia na jeshi la Ukraine litamgeuka Zelenskyy na kwamba wao watapokelwa kama wakombozi mashujaa kwa sababu raia wengi wa nchi hiyo hawamkubali Zelenskyy na mtazamo wake wa kimagharibi zaidi, hali haikuwa hivyo. Matokeo yake ni kwamba majeshi ya Russia walionekana wavamazi na raia wengi wakashirikiana vizuri sana na jeshi lao kutoa taarifa na kupambana.

Back
Top Bottom