Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russian Defense Ministry showed how Ka-52 Alligators destroy military facilities and equipment on the territory of Ukraine.

Germany takes Italy to UN’s highest court

Germany is suing Italy in the top UN court in the latest round of long-standing dispute over Nazi compensation claims, the International Court of Justice (ICJ) revealed on Friday.

In its application Germany claims that Rome has continued to allow Nazi war crime victims to file requests for compensation from Berlin, even though in 2012 the ICJ ruled that it is illegal. In the claimant’s view, by doing so Italy “has violated, and continues to violate, its obligation to respect Germany’s sovereign immunity.”
 
Katika yote uliyozungumza kuna pahala kama unajadili uwezo wa Urusi kuipiga Kiyv.Hili ni jambo rahisi sana kwa teknolojia za sasa.Warusi ndio wako juu sana kwa teknolojia hizi na wababe wenzao.Na Kiyv ni karibu sana na bahari ziliko meli za Urusi au hata kutokea popote ndani ya Urusi.Wasi wasi unakuja kwa hilo kombora kudakwa angani na adui yake kam ana uwezo huo.Haya makombora yote ya kisasa ni laser guided.Hayarushwi kama vile wanavyorusha wapalestina. Hili la mrusi likitoka linakuwa na sura ya jengo linapokwenda kupiga na geolocation yake kwa uhakika kabisa. Haliruki kama vile unavyorusha manati.Linatembea angani kwa uongozi wa kielectronik karibu kama ndege zinavyoruka. Kwa maana hizo sababu nyengine ulizozitaja ndio zenye uzito juu ya Urusi kutokuipiga Kiyv mfululizo na kuipiga ikulu ya Zelensky.Hayo ni makombora ya kawaida.Ikija ICBM ndio kabisa mji wowote duniani kutoka Urusi linatua na kwa muda mfupi.
Nikweli unachosema coz Russia ameshambulia mara nyingi tu mji wa kiv na meli zake ambazo ziko Black sea likini alishindwa ku take over na control. Vita huwa ni kanuni huwezi kufanya random offensive bila kuangalia shabaha licha ya kuwa na destructive weapon. Ingekuwa hivyo Putin asingekubali kupoteza askari hata mia tano kalibia battalion nzima. Kipindi cha vita ya kagera nyerere alikataa kutumia BM kwa sababu ya kuwa na madhara makubwa, kombola moja danger area ni one acre. In other side ukraine sio wazembe coz wametengeneza defence line ambayo imekuwa ngumu kuivunja, kuna video iko arjazeela nimeona vikosi vya russia vimepigwa counter attack askari ambao walikuwa wametekwa wakapigwa vyuma. In summary, kuvamia nchi ya watu jipange vinginevyo utapeleka kuzimu askali wako wengi tu kama jinsi pinzani likiamua kupambana kwelikweli.
 
Si ndio uzezeta huo na kuchelewa.Yaani vita viko karibu ya kwisha wewe ndio kwanza unaingia darasani kujifunza kutumia silaha ambazo pia hazijafika mjini.Kama zikipotea njiani si utakuwa umepoteza muda bure.
Wewe jamaa unaongea as if unajua kuliko wao, kujifunza kutumia mizinga kwa askali mzoeefu haichukui siku nyingi. Kipindi cha vita ya kegera kuna migambo walitumia mwezi mmoja kujifunza kupiga mizinga, shughuli yao baadae kwenye vita haikuwa ndogo. Ukiona wenzako ujue wamefanya reconnaissance ya kutosha taarifa zote ziko in disposal, unachekesha unavyobeza as if wewe ndio putin mwenyewe
 
Germany takes Italy to UN’s highest court

Germany is suing Italy in the top UN court in the latest round of long-standing dispute over Nazi compensation claims, the International Court of Justice (ICJ) revealed on Friday.

In its application Germany claims that Rome has continued to allow Nazi war crime victims to file requests for compensation from Berlin, even though in 2012 the ICJ ruled that it is illegal. In the claimant’s view, by doing so Italy “has violated, and continues to violate, its obligation to respect Germany’s sovereign immunity.”
Wameshaanza kutafunana hao.Hee! hata bado
 
Wewe na ngombe hamna tofauti, lengo langu nikuonyesha kwamba Urussi imekubali kulipa madeni kwa dollars na sio rubble. Nina mashaka na akili yako
Hivi wewe una akili kweli?

Ulitegemea ukope pesa ya Mtu au shirika hlf ukalipe kwa pesa yako wakati unadaiwa kwa pesa zake?

Yaani anakudai USD wewe ukalipe kwa Yuan au Tsh?
 
Zipo sheria za kimataifa na uungwaji mkono wa mataifa mengi yanayofanya eneo litambulike kama nchi au ni eneo lako.Hivyo ndivyo Sudan Kusini ilivyokuwa nchi. Mpaka leo na kesho Luhansk, Donetsk na Crimea yanatambulika kama maeneo ya Ukraine.
"Global order" kati ya mataifa inaendeshwa kwa utaratibu maalum, sio huo wa Putin wa kuvamia nchi nyingine kisha kuandaa, kushurutisha na kusimamia kura za kujitenga
PUT IN wala hahitaji hilo nandio maana maeneo tele yanatambulika kama maeneo yake na atayasimamia kuhakikisha mengine yanakua na uhuru kamili kwa nguvu ama makubaliano
Nandio maana kwenye hayo makubaliano yake yakusitisha OP yake anasema UKRAINE iitambue CRIMEA kua ni sehem ya RF pia DPR na LPR ziwe kama mataifa kamili
MKUU nisuala la muda tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana kwenye hii post tulijarib kuona namna gani adui na rafiki kwa US anavyofanana... Na namna gani US anavyowafinya competitors wake kwa jina la democracy 🤗😂... Hii hapa chini list nyingine kutoka IMF, Hii ni avarage GDP by country kwa kila half decade hadi 2015 tangu IMF waanze kurecord hizo data.
Screenshot_20220501-110901-01.jpeg
Kwa walio bahatika kua na analysis skills kutoka kwenye hizo data mnaweza kupata majibu ya maswali yafuatayo...

💥 Nini hasa vugu vugu la Cold war lilikuwa lina maana kwa US... Na jibu utalipata kwa kuangalia data hizi kutoka 1960 hadi 1990.

💥 Pili, angalia ukuaji wa kiuchumi wa taifa la japan... Ulianza kukua kwa kasi mno ila ukapunguza mwendo baada ya kuvunjika kwa USSR kiasi kwamba ile Value recorded 1995 haina tofauti na hii GDP nominal waliyonayo hivi sasa 2021...

💥Kwenye hio point ya pili vile vile itakupa majibu ya kwanini Japan taifa kubwa hivyo kiuchumi wanaongoza kwa kua na deni kubwa kwa ratio ya GDP kuliko taifa lolote duniani... Na hapa kwa wale tu wenye uelewa wa namna gani Debtinaathiri uchumi ndio watanielewa...

Kwa kulinganisha haraka haraka ni kua Japan deni lake la taifa ni karib 286% of her GDP. Sie TZ ambao tunalalama kuhusu mikopo deni letu lipo around 34-39% hivi ka sikosei... So unaweza pima uzito ingekuaje ka nchi ingekuwa inadaiwa mara 2.86 zaidi ya pato la Taifa.

💥 Kupitia hizi hizi data tunaweza kupata majibu kwanini China nae akaja kuvaa viatu vya waliomtangulia wakijulikana kama "threat to national security kwa US"... Jibu hapa unaweza kulipata kwenye hizi data kuanzia mwaka 2000 hadi leo...

💥Baada ya kuvunjika kwa USSR, Ugonvi kati ya US na Russia ulipoa sana, kiasi cha mikataba mingi tu kusainiwa wakati huo... Na Russia alionekana si chochote... Na ni katika kipindi hicho Russia chini ya Yeltsin iliingia madeni mengi makubwa mno... (hapa narudia, hii point itaeleweka kwa wale wanaojua effect za madeni kwenye uchumi)

💥 Wakati Putin anaingia madarakani alijikita katika kuinua uchumi wa Russia uliokua umeporomoka... Ni katika kipindi ambacho Russia alijikita katika kulipa madeni ya nje hadi kufikia 2008 anatoka madarakani kumpisha Medvedev... Maelezo haya nitayasupport na Graph hapa chini tuone namna gani alivoitoa nchi yake kutoka kwenye mikono ya wakopeshaji na kuiweka huru...
Screenshot_20220501-114427-01.jpeg
Mnaeza kuziona hizi data vizuri, nahisi mtanielewa nini namaanisha...

💥 Ni katika safari ya kulipunguza hili deni kutoka 100% hadi 6%... Coz He knows huezi kua huru ukiwa na madeni, kwasabab yale ni silaha ya kukuangamiza... Ka wasiojua kuhusu hili mnaeza enda kuchukua kilichotokea hapo SriLanka...

💥 Ni katika hiki kipindi Russia tena akageuka kua adui kwa US 😂🤗, So interesting indeed...

💥 Kwenye hizo data mnaeza kuona ujio wa Russia again kwenye top ten toka kuvunjika kwa USSR hapo 2010... Miaka mi4 baadae Russia anakuja kua second world most sanctioned country nyuma ya Iran...

💥Ni nchi hii ambayo ina uchumi mkubwa yet wako so powerful in military inakuwa chuki na threat kwa US... em fikiria nchi inatembea na vikwazo zaidi ya 2700 (wakati huo kabla ya ujio wa hii OP) na bado wanaendelea kua miongoni mwa largest economy dunian...(Kwa data za mwaka jana alikuwa wa 11).

Dunia ina mengi ila hayo mengi hayafahamiki kwa walio wengi na wengi katika sie sio wafatiliaji but tuko sharp and fast katika kutoa judgement za hapa na pale...

Kwa mtu asiyeijua Russia ana haki ya kuropoka lolote linalokuja akilin mwake, ila kwa tunaoifaham tunaelewa na tunakubaliana na kile Putin na Russia wakifanyacho... The Man is Smart and Genius, it take only kwa watu design yake kumuelewa...

Maelezo meeengi sana ngoja tuishie hapa... Kikubwa kwa wale wasojua wajue... Adui na Rafiki kwa US na WESTERN kwa ujumla ANAFANANAJE...

To keep it short, ni yule anayetii matakwa yao haijalish anafanya kizuri au kibaya... Na mbaya kwao ni yule walokosa Control juu yake.

Nawaacha na wazo la MeiMosi 😂

Pale Middle east kuna utawala kifalme, maamuzi yote ya nchi hizo hufanywa na familia inayoitwa "Royal Family"... Mbona hatujawah kuwasikia wakiingia pale kuhubiri democracy wanayoidai wanakazana na China na Russia wakidai kuna udikteta...?
 
Nikweli unachosema coz Russia ameshambulia mara nyingi tu mji wa kiv na meli zake ambazo ziko Black sea likini alishindwa ku take over na control. Vita huwa ni kanuni huwezi kufanya random offensive bila kuangalia shabaha licha ya kuwa na destructive weapon. Ingekuwa hivyo Putin asingekubali kupoteza askari hata mia tano kalibia battalion nzima. Kipindi cha vita ya kagera nyerere alikataa kutumia BM kwa sababu ya kuwa na madhara makubwa, kombola moja danger area ni one acre. In other side ukraine sio wazembe coz wametengeneza defence line ambayo imekuwa ngumu kuivunja, kuna video iko arjazeela nimeona vikosi vya russia vimepigwa counter attack askari ambao walikuwa wametekwa wakapigwa vyuma. In summary, kuvamia nchi ya watu jipange vinginevyo utapeleka kuzimu askali wako wengi tu kama jinsi pinzani likiamua kupambana kwelikweli.
Shida mnajitoa ufahamu kwamakusudi ama kwakutokujua
RUSSIA aliondoka KIEV baada ya mazungumzo yalokua yanaendelea ANKARA wala sivinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zumba umebadili ID, Ila Bora kujiliwaza hivyo ingawaje unajua kuuawa kwa hao watu hakuna impact yoyote katika vita hiyo kwani maeneo ya ukrein yanaendelea kutekwa.
Makamanda wa Chechen wanaosaidia Urusi wanadondoshwa na UKRAINE kama kukubwa mdondo🤔
lieutenant colonel, battalion commander 11 btro 2 AK ROA
Mikhail Kishchik, "Chechen"
Alchevsk
died

SView attachment 2207031View attachment 2207031ubscribe | Bot to find your | Backup channel
 
Uwezi kuwapa watu uhuru kwa operation mbuzi sheria za kimataifa zipo.Nikama wewe uchukue shmba langu kwa nguvu au amini alivyotaka Mtukula na kuivamia Tz .Haijawahi kufanikiwa duniani
We huna akili kumbe,sehemu ya nchi yoyote ikipiga Kura kujitenga,inatambuliwa kama nchi huru,refer S.sudan. Hayo majimbo ndo yameenda Urusi na hayatarudi tena Ukraine.
 
Shida mnajitoa ufahamu kwamakusudi ama kwakutokujua
RUSSIA aliondoka KIEV baada ya mazungumzo yalokua yanaendelea ANKARA wala sivinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa vikosi vya russia vilizidiwa ndio maana vikarudi nyuma. Propaganda ndani ya uwanja wa medani ni lazima ziwepo ili kuframe ukweli unaoweza kuvunja morale ya askari walio ndani na nje ya uwanja wa vita. Kivy ndio main target ya Russia hilo liko wazi ndio maana sasa hivi inawekewa ulinzi mkubwa ili Russia akipiga changa la macho ashindwe kuadvance. Jiulize tu swali dogo tu, Russia with its military superioy anawezaje kupoteza askari miatano, kwa technology yake ameshindwa ku shut down mifumo ya ulinzi kisha kuteka miji bila upinzani wowote, ukiambiwa kuwa Russia inasonga mbele taratibu usikasilike maana Ukraine pia niwanaume wameamua kupambana sio kudharauliwa na Russia. Ukweli mchungu , Russia amecheza chini ya kiwango ameshindwa kumaliza mechi mapema
 
Russia hawezi kupiga Kyiv yote na hawezi kushinda vita vya Ukraine kirahisi(kama atashinda) kwa sababu.

1.Hana makombora ya kutosha yasiyo ya nyuklia kufanya hivyo.
Nyuklia tu ndizo zinaweza kupiga Kyiv yote. Anavyozidi kutumia makombora yake kiholela ndivyo stock yake inazidi kwenda chini na kwa sasa hawezi kutengeneza kwa kasi kwa sababu ya vikwazo vingi alivyowekewa.

2.Jeshi la Russia ardhini la Urusu haliwezi kupigana vita vya mbali na nchini mwao.
Sababu kubwa ni miondombinu yake mikubwa linalotegemea ni ya reli na treni ndio maana ule msururu wao wa mrefuuu wa vifaru na magari haukuwa na faida yoyote kwao ikabidi wa retreat tu

3.Urusi imeshhindwa kulitwaa na kulitawala anga la Ukraine.
Kwenye vita vya kisasa unaweza kufanya mashambulizi makubwa ya kudhohofisha vifaa na kambi za kijeshi kama unaweza kutawala anga la adui yako. Urusi imeshindwa kutawala anga la Ukraine tangu vita imeanza. Haiwezi kurusha ndege na helicopters zake kufanya mashambuli kwenye ngome za adui zake, wanachotegeme zaidi ni makombora ya ardhini kutoka nchini mwao na kwa kibaraka wake Belarus. Makombora yao sio "precison guided"

5.Uwezo wa wanajeshi wa Ukraine, morali,nidhamu na imani yao kwamba watashinda hii vita.
Wanajeshi wa Ukraine wako vizuri zaidi kwa kila kitu ambacho mwanajeshi anapaswa kuwa, wanachozidiwa na wenzao wa Russia ni silaha tu. Unapopigana na watu wa aina hii vita haiwezi kuwa rahisi hata kidogo na sasa wanapozidi kupatiwa silaha wanazohitaji mambo yatakuwa magumu zaidi kwa Russia.

6.Intelegensia mbovu na mtazamo potofu wa Putin kuihusu Ukraine.
Russia wakati anaivamia Ukraine alikuwa ana bet raia na jeshi la Ukraine litamgeuka Zelenskyy na kwamba wao watapokelwa kama wakombozi mashujaa kwa sababu raia wengi wa nchi hiyo hawamkubali Zelenskyy na mtazamo wake wa kimagharibi zaidi, hali haikuwa hivyo. Matokeo yake ni kwamba majeshi ya Russia walionekana wavamazi na raia wengi wakashirikiana vizuri sana na jeshi lao kutoa taarifa na kupambana.
Nimesimo Tu point no.1 nikakudharau hata sijaendelea kusoma ujinga wako
 
Wewe jamaa vikosi vya russia vilizidiwa ndio maana vikarudi nyuma. Propaganda ndani ya uwanja wa medani ni lazima ziwepo ili kuframe ukweli unaoweza kuvunja morale ya askari walio ndani na nje ya uwanja wa vita. Kivy ndio main target ya Russia hilo liko wazi ndio maana sasa hivi inawekewa ulinzi mkubwa ili Russia akipiga changa la macho ashindwe kuadvance. Jiulize tu swali dogo tu, Russia with its military superioy anawezaje kupoteza askari miatano, kwa technology yake ameshindwa ku shut down mifumo ya ulinzi kisha kuteka miji bila upinzani wowote, ukiambiwa kuwa Russia inasonga mbele taratibu usikasilike maana Ukraine pia niwanaume wameamua kupambana sio kudharauliwa na Russia. Ukweli mchungu , Russia amecheza chini ya kiwango ameshindwa kumaliza mechi mapema
Russia hajashindwa kuiteka Kyiv,Ila hakutaka kuuangamiza kwa makombora hatari,kumbuka Urusi ilisema Nia yao inamtaka Zelensky akiwa hai asaini makubaliano na Urusi.
 
Umechanganya makande, ugali na pilau kwenye sahani moja.
Hakuna kinachoeleweka hapa.
Jana kwenye hii post tulijarib kuona namna gani adui na rafiki kwa US anavyofanana... Na namna gani US anavyowafinya competitors wake kwa jina la democracy [emoji847][emoji23]... Hii hapa chini list nyingine kutoka IMF, Hii ni avarage GDP by country kwa kila half decade hadi 2015 tangu IMF waanze kurecord hizo data.
View attachment 2207116 Kwa walio bahatika kua na analysis skills kutoka kwenye hizo data mnaweza kupata majibu ya maswali yafuatayo...

[emoji95] Nini hasa vugu vugu la Cold war lilikuwa lina maana kwa US... Na jibu utalipata kwa kuangalia data hizi kutoka 1960 hadi 1990.

[emoji95] Pili, angalia ukuaji wa kiuchumi wa taifa la japan... Ulianza kukua kwa kasi mno ila ukapunguza mwendo baada ya kuvunjika kwa USSR kiasi kwamba ile Value recorded 1995 haina tofauti na hii GDP nominal waliyonayo hivi sasa 2021...

[emoji95]Kwenye hio point ya pili vile vile itakupa majibu ya kwanini Japan taifa kubwa hivyo kiuchumi wanaongoza kwa kua na deni kubwa kwa ratio ya GDP kuliko taifa lolote duniani... Na hapa kwa wale tu wenye uelewa wa namna gani Debtinaathiri uchumi ndio watanielewa...

Kwa kulinganisha haraka haraka ni kua Japan deni lake la taifa ni karib 286% of her GDP. Sie TZ ambao tunalalama kuhusu mikopo deni letu lipo around 34-39% hivi ka sikosei... So unaweza pima uzito ingekuaje ka nchi ingekuwa inadaiwa mara 2.86 zaidi ya pato la Taifa.

[emoji95] Kupitia hizi hizi data tunaweza kupata majibu kwanini China nae akaja kuvaa viatu vya waliomtangulia wakijulikana kama "threat to national security kwa US"... Jibu hapa unaweza kulipata kwenye hizi data kuanzia mwaka 2000 hadi leo...

[emoji95]Baada ya kuvunjika kwa USSR, Ugonvi kati ya US na Russia ulipoa sana, kiasi cha mikataba mingi tu kusainiwa wakati huo... Na Russia alionekana si chochote... Na ni katika kipindi hicho Russia chini ya Yeltsin iliingia madeni mengi makubwa mno... (hapa narudia, hii point itaeleweka kwa wale wanaojua effect za madeni kwenye uchumi)

[emoji95] Wakati Putin anaingia madarakani alijikita katika kuinua uchumi wa Russia uliokua umeporomoka... Ni katika kipindi ambacho Russia alijikita katika kulipa madeni ya nje hadi kufikia 2008 anatoka madarakani kumpisha Medvedev... Maelezo haya nitayasupport na Graph hapa chini tuone namna gani alivoitoa nchi yake kutoka kwenye mikono ya wakopeshaji na kuiweka huru... View attachment 2207159Mnaeza kuziona hizi data vizuri, nahisi mtanielewa nini namaanisha...

[emoji95] Ni katika safari ya kulipunguza hili deni kutoka 100% hadi 6%... Coz He knows huezi kua huru ukiwa na madeni, kwasabab yale ni silaha ya kukuangamiza... Ka wasiojua kuhusu hili mnaeza enda kuchukua kilichotokea hapo SriLanka...

[emoji95] Ni katika hiki kipindi Russia tena akageuka kua adui kwa US [emoji23][emoji847], So interesting indeed...

[emoji95] Kwenye hizo data mnaeza kuona ujio wa Russia again kwenye top ten toka kuvunjika kwa USSR hapo 2010... Miaka mi4 baadae Russia anakuja kua second world most sanctioned country nyuma ya Iran...

[emoji95]Ni nchi hii ambayo ina uchumi mkubwa yet wako so powerful in military inakuwa chuki na threat kwa US... em fikiria nchi inatembea na vikwazo zaidi ya 2700 (wakati huo kabla ya ujio wa hii OP) na bado wanaendelea kua miongoni mwa largest economy dunian...(Kwa data za mwaka jana alikuwa wa 11).

Dunia ina mengi ila hayo mengi hayafahamiki kwa walio wengi na wengi katika sie sio wafatiliaji but tuko sharp and fast katika kutoa judgement za hapa na pale...

Kwa mtu asiyeijua Russia ana haki ya kuropoka lolote linalokuja akilin mwake, ila kwa tunaoifaham tunaelewa na tunakubaliana na kile Putin na Russia wakifanyacho... The Man is Smart and Genius, it take only kwa watu design yake kumuelewa...

Maelezo meeengi sana ngoja tuishie hapa... Kikubwa kwa wale wasojua wajue... Adui na Rafiki kwa US na WESTERN kwa ujumla ANAFANANAJE...

To keep it short, ni yule anayetii matakwa yao haijalish anafanya kizuri au kibaya... Na mbaya kwao ni yule walokosa Control juu yake.

Nawaacha na wazo la MeiMosi [emoji23]

Pale Middle east kuna utawala kifalme, maamuzi yote ya nchi hizo hufanywa na familia inayoitwa "Royal Family"... Mbona hatujawah kuwasikia wakiingia pale kuhubiri democracy wanayoidai wanakazana na China na Russia wakidai kuna udikteta...?
 
Unafikiri Zelenskyy au Putini wasipokuwepo hakutakuwa na wa kusaini makubaliano kwenye nchi zao? Kwamba saini zao zina miujiza??
Kwani anayesaini mikopo na mikataba ya nchi ya Tanzania sasa hivi ni nani na mwaka juzi alikuwa nani??
Russia hajashindwa kuiteka Kyiv,Ila hakutaka kuuangamiza kwa makombora hatari,kumbuka Urusi ilisema Nia yao inamtaka Zelensky akiwa hai asaini makubaliano na Urusi.
 
Dunia, ustaarabu wake, order na maslahi yake ni makubwa kuliko huyo kipenzi chako Putin.

Back
Top Bottom