Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hali ni ngumu kwenye uwanja wa vita.
Screenshot_20220430-152505.jpg


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Sergei Aksyonov promised to lead the Ukrainian nationalists on chains through Mariupol.

“All the Nazis who are boasting on social networks today will be led through Mariupol on a chain. There they will behave in a completely different way,” the head of the Crimea said.
 
Apple halianguki mbali na mtu ..
 

Attachments

  • VID_20220430_152709_687.mp4
    1.9 MB
  • VID_20220430_152707_778.mp4
    1.6 MB
Damn!!!! (In Negan's voice)
Mkongwe, tengeneza ID nyingine kwaajili ya huu uzi, hii ID yako inaheshimika sana humu jukwaani, huu uzi utakushishia heshima yako uliyoitengeneza kwa muda mrefu.
Ushauri mzuri mm pia nilifanya hivyo nikaanza na Id yangu kuu baada ya kuona uzi umekuwa wa kijinga nikaja na Id yangu ya KUSIKITIKA then nimekuja na hii pia kubwa zaidi nina Id 14
 
Marekani na NATO kwa ujumla wao wa nchi 30, wameamua kuidhoofisha Urusi kwa kuandaa mazingira ya vita vitakavyochukua miaka mingi!! Iko hivi:
Marekani na washirika wake wanajua kabisa kila wakipeleka silaha ukraine, Urusi ana nafasi ya kuziteketeza lakini anaziteketeza kwa kutumia silaha zake kali. Hizi silaha anazotumia Urusi lazima kuna siku zitaisha!! Wameamua kuendelea kupeleka silaha kwa gharama yoyote hadi urusi iishiwe silaha! Urusi inakabiliwa na maamuzi magumu aidha ya kuiangamiza kabisa ukraine ili isalimu amri kabla hajaishiwa silaha. Lakini kama wakifanikiwa lengo lao, mwisho wa siku ukraine italazimika kulipia gharama ya silaha hizo kwa muda mrefu!
USA wanatuma howtezr 30 vifaru 20 ant tank 5000 alafu Russia anatumia kombola moja kuviangamiza au drone 1
 
Unajua kwann hamuelewani na Nyamizi ,Yeye anasema kuwa RT na TBC ni state controlled media ndo maana haoni tofauti. Hajajikita kwenye ukubwa na udogo wa bajeti au uwezo wa kusambaa duniani. Wewe unamuonyesha kuwa ni kubwa kuliko TBC interms of budget na uwezo wa kusambaa duniani badala ya kumuonyesha kuwa ni Taasisi huru na si state controlled kama anavyoamini.

Ili akubaliane na wewe muonyeshe kuwa ni independent entity kwa mifano ya habari ambazo only independent media inaweza kutangaza ndani ya Urusi.
Hapa Duniani hamna chombo cha habari ni independent, vyombo vyote ni controlled na Serikali za sehemu husika.
 
mimi huwa mfuatiliaji wa taarifa bila kujali affiliation ya chombo hicho cha HABARI !
Tanzania hivi sisi hatuna wanajeshi wastafu wakuchambua vita tuwe tunawasikiliza jamani?
au mm ndo sina exposure ?
maana huyu mchambuzi wa Azam tv
Ibrahim rahabi, akili yangu inamuona kama pro NATO,,,,,,,
mapenzi na western, USA, na chuki kwa Russia inamfanya anachambua vita ya Russia na Ukraine kama vile Russia nini msumbiji,
nimekuwa nikifuatilia media za bongo naziona kama zinakosa msawazo na uchambuzi wa kitaalamu wa vita hii...
maana nilisikiliza mchambuzi wa AZAM TV IBRAHIM, akidai kuwa Russia itapoteza miji ya mariupol baada ya meli yake kuzama moskova ,,,,,,
baadhi ya wadadisi hapa pia walidai RUSSIA atapoteza uelekeo wa vita hii kwa kisa hicho cha meli...
nilichoona mimi baada ya hapo Russia kureplace long range bombers tumeziona zikitumika na kufanya mashambuliz makali sana na RUSSIA wanasema aina ya ndege hizo zinazofanya hayo......
pia, pro NATO na ibrahimu rahabi walisema mlango wa kuingilia black sea umefungwa na turkey hivo Russia hatakuwa na uwezo wa kuingiza meli nyingine kupitia mlango huo.....
yeye ibrahim rahabi aliapia mtangazaji mwenzake kuwa watakutana baada ya wiki moja alafu atampa mrejesho wa yale aliyosema yatatokea upande wa kijeshi RUSSIA.....
leo nimeona submarine ikirusha makombora kutokea bahari nyeus ,,, tena ikifanya kazi iliyofanya moskova,,,,
na ndege zile zimepunguza mashambulizi yote yameachiwa nyambizi hiyo,,,,,,
ninachofikiri mimi ni kuwa :
1. NATO na RUSSIA wanafahamian vizuri sana
2.wengi tunadharau RUSSIA lakin akili yangu inaniambia RUSSIA ina fanya haya kwa maslahi mapana sana, ambayo de-westernization
3. Sisi ambao sio wataalamu wa mambo ya kimataifa tuna underestimate uhusiano wa china na RUSSIA, mimi nafikiri Russia mission hii ya Russia china sio mshirika tu bali ni muhusika mkuu sema wamegawana majukumu tu,
4.pakistan, India, China na RUSSIA, nyuma yuko Saudi Arabia sema hajionyeshi ila ameshachoka ushirika na marekani maana na yeye now anataka kujisimamia mambo yake wana lengo pana la dewesternize na kuunda multipolar world ambapo nchi za kiafrika Viongozi wa kiafrika wangejaliwa uzarendo walitakiwa wacheze game hii ili wajitoe kwenye be colonisation kwa kushirikiana na kundi hili la Russia na wenzake
5.wengi tunafikiri RUSSIA atazidiwa kwa msaada ule wa siraha na sanctions : nafikiri tunajipotosha kwa hili, Russia atatumia rafiki zake ambao hawako direct kwenye field kusurvive na marekan analijua hilo ndio maana ana washawishi India na china kusunction Russia bahati MBAYA HATAFANIKIWA uhalisia anaonyesha.
6. nahitimisha kwa kusema hii vita bado ipo sana, ila miji yote iliyo upande wa black sea ile nafikiri itachukuliwa na RUSSIA milele, zile nchi alizozitambua zitapiga kura ya maoni kujiunga na shirikisho la URUSI ndo itakuwa mwisho wa vita na kieve itabakia bila bahari
Russia na china watawekeza Asia na Afrika zaidi kuliko ulaya na dunia mpya ndo hiyo ijayo
nafikiri tu wakuu sio kwamba ni fact za lazima kuamini
Safi saana
 
Back
Top Bottom