Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi mkuu,umewahi kumpeleka demu ghetto,alipofika,ukamwambia vua nguo,akasema sitaki,ulipomvua akakusaidia kuvua yy mwenyewe,huku anasema staki,alafu ukimvua pichu anasema kwa mahaba 'mi staki jomoniii' huku anakulegezea macho!?[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani ndo mataifa ya magharibi yanavhofanya.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Russia's energy clout doesn't just come from oil and gas – it's also a key nuclear supplier​


As Western nations look for ways to reduce their reliance on Russian oil and gas, another aspect of the Ukraine crisis has received less attention: Most of the 32 countries that use nuclear power rely on Russia for some part of their nuclear fuel supply chain.

Russia aliupiga mwingi sana kufanya EU wawe tegemezi kwenye malighafi muhimu alitisha sana
 
Ni kwamba hujui au umeamua kujichomoa ubongo!?
Zaidi ya gesi na mafuta vipo vingi bado vya kufata Russia

1. Vyakula - pengine bila ngano ya urusi ungekuwa ushakufa njaa hapa TZ au ungekuwa unataabika na malnutrition. Urusi ni moja ya mzalishaji mkubwa wa cereal crops i.e. wheat barley corn duniani Pia mafut
a ya alizeti



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Unaniambia nitakufa na malnutrition kwa sababu ya ngano? Unadhani mimi ni mtu wa kufakamia chapati na maandazi ovyo ovyo [emoji3].Mimi nakula pure organic food,hiyo ngano hangaika nayo wewe ujenge kitambi vizuri[emoji3][emoji3]

Hivyo vingine vyote vilivyobako vinapatikana pia sehemu nyingine za Dunia,Russia angekuwa na huo umuhimu leo hii angekuwa ndiyo tje real Super power ki uchumi.Dunia itaendelea kuishi vizuri tu bila uwepo ya hiyo huduma kutoka Russia
 
RUSSIA hawajalazimisha RUBO bali walikua hawana OPTION nyengine sababu walizuiliwa kutumia dola pound na euro
Ama hapo wangefanya nini kwaunavyohisi wewe
Unadhani hizo kampuni zilizoondoka huko RUSSIA nazo zitakua salama kwakiasi gani!!?
Mwisho kabisa hayo majarida ya kuhusiana na RUSSIA kusema ukweli kwangu usiyalete hayo majarida sina imani nayo kabisa
Toka walipoitoa RUSSIA pale G7 sababu yakuikwapua CRIMEA halaf wakaja nahoja zao zakisiasa jamaa sina imani nao kabisa kabisa
AHSANTE
Kaka tuwe makini kidogo. Nilisema kwamba Urusi inaambia makampuni yake kuuza €$ kwenye benki kuu na kununua rubel; hii ni njia kupandisha bei ya rubel maana pesa inapanda ikitafutwa = kununuliwa, inashuka wakati wengi wanaiuza, pamoja na kudhibita pesa za kigeni ndani ya Urusi. Mbinu huu umeleta matokeo waliyolenga. Kwa sasa, kwa sababu mfumo huu unategemea kuendela kuuza mafuta na gesi.
 
Tanzania imepigana vita na uingereza ila waingereza wameuwawa milioni moja.
 
Marekani na NATO kwa ujumla wao wa nchi 30, wameamua kuidhoofisha Urusi kwa kuandaa mazingira ya vita vitakavyochukua miaka mingi!! Iko hivi:
Marekani na washirika wake wanajua kabisa kila wakipeleka silaha ukraine, Urusi ana nafasi ya kuziteketeza lakini anaziteketeza kwa kutumia silaha zake kali. Hizi silaha anazotumia Urusi lazima kuna siku zitaisha!! Wameamua kuendelea kupeleka silaha kwa gharama yoyote hadi urusi iishiwe silaha! Urusi inakabiliwa na maamuzi magumu aidha ya kuiangamiza kabisa ukraine ili isalimu amri kabla hajaishiwa silaha. Lakini kama wakifanikiwa lengo lao, mwisho wa siku ukraine italazimika kulipia gharama ya silaha hizo kwa muda mrefu!
Zitaisha?? Acheni ujinga nyinyi wamarekani wa tandale. Kwani hizo siraha mrusi anazinunua au anazifyafua mwenyewe
 

Russia's energy clout doesn't just come from oil and gas – it's also a key nuclear supplier​


As Western nations look for ways to reduce their reliance on Russian oil and gas, another aspect of the Ukraine crisis has received less attention: Most of the 32 countries that use nuclear power rely on Russia for some part of their nuclear fuel supply chain.
Inajulikana kwamba Urusi inanunua urani kutoka Kazakhstan na kuitengeneza kuwa fueli ya kinyuklia. Je soko hili lina umuhimu gani kiuchumi? Wana mapato kiasi gani?
 
mimi huwa mfuatiliaji wa taarifa bila kujali affiliation ya chombo hicho cha HABARI !
Tanzania hivi sisi hatuna wanajeshi wastafu wakuchambua vita tuwe tunawasikiliza jamani?
au mm ndo sina exposure ?
maana huyu mchambuzi wa Azam tv
Ibrahim rahabi, akili yangu inamuona kama pro NATO,,,,,,,
mapenzi na western, USA, na chuki kwa Russia inamfanya anachambua vita ya Russia na Ukraine kama vile Russia nini msumbiji,
nimekuwa nikifuatilia media za bongo naziona kama zinakosa msawazo na uchambuzi wa kitaalamu wa vita hii...
maana nilisikiliza mchambuzi wa AZAM TV IBRAHIM, akidai kuwa Russia itapoteza miji ya mariupol baada ya meli yake kuzama moskova ,,,,,,
baadhi ya wadadisi hapa pia walidai RUSSIA atapoteza uelekeo wa vita hii kwa kisa hicho cha meli...
nilichoona mimi baada ya hapo Russia kureplace long range bombers tumeziona zikitumika na kufanya mashambuliz makali sana na RUSSIA wanasema aina ya ndege hizo zinazofanya hayo......
pia, pro NATO na ibrahimu rahabi walisema mlango wa kuingilia black sea umefungwa na turkey hivo Russia hatakuwa na uwezo wa kuingiza meli nyingine kupitia mlango huo.....
yeye ibrahim rahabi aliapia mtangazaji mwenzake kuwa watakutana baada ya wiki moja alafu atampa mrejesho wa yale aliyosema yatatokea upande wa kijeshi RUSSIA.....
leo nimeona submarine ikirusha makombora kutokea bahari nyeus ,,, tena ikifanya kazi iliyofanya moskova,,,,
na ndege zile zimepunguza mashambulizi yote yameachiwa nyambizi hiyo,,,,,,
ninachofikiri mimi ni kuwa :
1. NATO na RUSSIA wanafahamian vizuri sana
2.wengi tunadharau RUSSIA lakin akili yangu inaniambia RUSSIA ina fanya haya kwa maslahi mapana sana, ambayo de-westernization
3. Sisi ambao sio wataalamu wa mambo ya kimataifa tuna underestimate uhusiano wa china na RUSSIA, mimi nafikiri Russia mission hii ya Russia china sio mshirika tu bali ni muhusika mkuu sema wamegawana majukumu tu,
4.pakistan, India, China na RUSSIA, nyuma yuko Saudi Arabia sema hajionyeshi ila ameshachoka ushirika na marekani maana na yeye now anataka kujisimamia mambo yake wana lengo pana la dewesternize na kuunda multipolar world ambapo nchi za kiafrika Viongozi wa kiafrika wangejaliwa uzarendo walitakiwa wacheze game hii ili wajitoe kwenye be colonisation kwa kushirikiana na kundi hili la Russia na wenzake
5.wengi tunafikiri RUSSIA atazidiwa kwa msaada ule wa siraha na sanctions : nafikiri tunajipotosha kwa hili, Russia atatumia rafiki zake ambao hawako direct kwenye field kusurvive na marekan analijua hilo ndio maana ana washawishi India na china kusunction Russia bahati MBAYA HATAFANIKIWA uhalisia anaonyesha.
6. nahitimisha kwa kusema hii vita bado ipo sana, ila miji yote iliyo upande wa black sea ile nafikiri itachukuliwa na RUSSIA milele, zile nchi alizozitambua zitapiga kura ya maoni kujiunga na shirikisho la URUSI ndo itakuwa mwisho wa vita na kieve itabakia bila bahari
Russia na china watawekeza Asia na Afrika zaidi kuliko ulaya na dunia mpya ndo hiyo ijayo
nafikiri tu wakuu sio kwamba ni fact za lazima kuamini
 
Mbona wengi sana
Hata hivi wamekufa wanajeshi wachache sana kwa sababu kipindi kile vita inaaza urusi ilipeleka wanajeshi wake laki moja wa kuanzia tu. na wote walipanga mstari kama wanaenda kufyeka migagi.
Kwahiyo wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajipigia tu.
Urusi alipo ona mambo magumu ikabidi aanze kukodi majambazi Syria.
Kwenye hii vita urusi alivyo pigana inachekesha sana.
 
Kaka tuwe makini kidogo. Nilisema kwamba Urusi inaambia makampuni yake kuuza €$ kwenye benki kuu na kununua rubel; hii ni njia kupandisha bei ya rubel maana pesa inapanda ikitafutwa = kununuliwa, inashuka wakati wengi wanaiuza, pamoja na kudhibita pesa za kigeni ndani ya Urusi. Mbinu huu umeleta matokeo waliyolenga. Kwa sasa, kwa sababu mfumo huu unategemea kuendela kuuza mafuta na gesi.
Unadhani kwanini RUSSIA anataka RUBO sasa nasio toka zamani !!!??
Huko kwengne unaruka ruka hoja ya RUBO imefikaje tuanzie hapa
 
Hata hivi wamekufa wanajeshi wachache sana kwa sababu kipindi kile vita inaaza urusi ilipeleka wanajeshi wake laki moja wa kuanzia tu. na wote walipanga mstari kama wanaenda kufyeka migagi.
Kwahiyo wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajipigia tu.
Urusi alipo ona mambo magumu ikabidi aanze kukodi majambazi Syria.
Kwenye hii vita urusi alivyo pigana inachekesha sana.

MAjambazi Syria[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom