Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Binafsi baada ya wiki karibu 9 za huu mzozo, nimejifunza kuwa.

1. Urusi hajafanya Full scale war pale UKRINE.

2. NATO bado hawajafahamu akiba halisi na hata ukubwa na hatari ya Silaha za URUSI.

3. USA na UK wako tayari kuingia vitani na URUSI ila wanachama wengine wa NATO wako mguu nje mguu ndani.

4. Kitendo cha USA + NATO kuingia rasmi vitani itasafisha Njia CHINA kuwa new SUPER POWER.

5. Kuna kila sababu NYUKLIA itatumika haina namna ambayo URUSI anaweza kujihami dhidi ya NATO bila kutumia NYUKLIA.

6. UKRINE inakuwa uwanja wa mapigano bila wenyewe kuchukua hatua za haraka basi taifa lao linaweza kuwa historia tu.

7. Kadiri mzozo huu unavyosogea ndivyo URUSI anazidi kukaza kamba na Ugumu kwa UKRAINE unazidi kutamalaki.

8. POLAND itakuwa nchi ya kwanza ya NATO kupigwa na URUSI ikiwa NATO watajiingiza rasmi vitani.
Ulichokiandika %kubwa ndo uhalisia

Kwa kuongezea hapo, Russia kwasasa anatumia wapiganaji wa majimbo yaliyo jitenga na Ukraine kupigana na majeshi ya Ukraine huku small scale ya Russian army kama wanchenchen wakishambulia kama back up tu na siyo frontlines. Ndo maana husikii hawa jamaa wakifa au kukamatwa hovyo hovyo zaidi ya kuwaona wakipiga self na mazoezi nchini Ukraine.

Pia inaonekana wanajeshi aliopeleka urusi kwenye operation hii ni wale wa kiwango cha kawaida kabisa size ya jeshi la Ukraine.
Halafu wale high trained military personnels wamebaki urusi kwajili ya kujipanga na vita kamili endapo kama hii operation ikigeuka kuwa vita baada ya NATO kujiingiza moja kwa moja.

Kwanini nadhani hivo?; ukiangalia picha za wanajeshi wa urusi walio tekwa au kuuawa wengi wao ni vijana wadogo sana aged kati ya 17 to 24 yani kibongo bongo unaweza kusema ni wale service men(kuruti walio iva) walio rundikana makambini wakisubiri ajira za mama za JWTZ.

Ukitaka kuona kuwa urusi haijatumia hata 10% ya jeshi lake halisi kwenye hii operation subiri gwaride la siku ya ushindi(victory day) on 9/5/2022 hapo ndo utajua Russia alijua na anajua anachokifanya.

Tatizo watu mnakosea sana kulinganisha maamuzi ya kijeshi au operation ya nchi kubwa kama Russia au USA na operation za polisi wenu wa kibongo za kupambana na vibaka pamoja na wezi wa pikipiki Hapo DSM.

Urusi siyo Zaire na Putin siyo IGP Siro.

Nalog off.
 
Ruble is getting stronger naona!!View attachment 2205091
Watapinga
Kuna watu wanasema RUSSIA cjui kafanya kuzuia kiwango chautoaji pesa ili pesa yake ipande thamani
Nikajiuliza tu kwanini mataifa mengine yasifuate njia alofanya RUSSIA kuipandisha thamani sarafu yake
Ila nikapata jibu kwamba RUSSIA sio wakawaida kama tunavyoambiwa na WAMAGHARIBI
 
Ulichokiandika %kubwa ndo uhalisia

Kwa kuongezea hapo, Russia kwasasa anatumia wapiganaji wa majimbo yaliyo jitenga na Ukraine kupigana na majeshi ya Ukraine huku small scale ya Russian army kama wanchenchen wakishambulia kama back up tu na siyo frontlines. Ndo maana husikii hawa jamaa wakifa au kukamatwa hovyo hovyo zaidi ya kuwaona wakipiga self na mazoezi nchini Ukraine.

Pia inaonekana wanajeshi aliopeleka urusi kwenye operation hii ni wale wa kiwango cha kawaida kabisa size ya jeshi la Ukraine.
Halafu wale high trained military personnels wamebaki urusi kwajili ya kujipanga na vita kamili endapo kama hii operation ikigeuka kuwa vita baada ya NATO kujiingiza moja kwa moja.

Kwanini nadhani hivo?; ukiangalia picha za wanajeshi wa urusi walio tekwa au kuuawa wengi wao ni vijana wadogo sana aged kati ya 17 to 24 yani kibongo bongo unaweza kusema ni wale service men(kuruti walio iva) walio rundikana makambini wakisubiri ajira za mama za JWTZ.

Ukitaka kuona kuwa urusi haijatumia hata 10% ya jeshi lake halisi kwenye hii operation subiri gwaride la siku ya ushindi(victory day) on 9/5/2022 hapo ndo utajua Russia alijua na anajua anachokifanya.

Tatizo watu mnakosea sana kulinganisha maamuzi ya kijeshi au operation ya nchi kubwa kama Russia au USA na operation za polisi wenu wa kibongo za kupambana na vibaka pamoja na wezi wa pikipiki Hapo DSM.

Urusi siyo Zaire na Putin siyo IGP Siro.

Nalog off.
Umemaliza
 
Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.

Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.

Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.


Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Unacheza makida wewe...Si uamue wewe sasa??? Unafikiri Rais wa Urusi ni Kama Mkiti wa serikali yako ya Mtaa...Someni muelewe mambo haya
 
Marekani na NATO kwa ujumla wao wa nchi 30, wameamua kuidhoofisha Urusi kwa kuandaa mazingira ya vita vitakavyochukua miaka mingi!! Iko hivi:
Marekani na washirika wake wanajua kabisa kila wakipeleka silaha ukraine, Urusi ana nafasi ya kuziteketeza lakini anaziteketeza kwa kutumia silaha zake kali. Hizi silaha anazotumia Urusi lazima kuna siku zitaisha!! Wameamua kuendelea kupeleka silaha kwa gharama yoyote hadi urusi iishiwe silaha! Urusi inakabiliwa na maamuzi magumu aidha ya kuiangamiza kabisa ukraine ili isalimu amri kabla hajaishiwa silaha. Lakini kama wakifanikiwa lengo lao, mwisho wa siku ukraine italazimika kulipia gharama ya silaha hizo kwa muda mrefu!
 
I
Matusi mnayaanza nyie, mkianza mtajibiwa ipasavyo
I think its time tujikite kwenye mada tuache matusi tunajidhalilisha sisi wenyewe na tunaondoa maana ya Jamiiforums the home of great thinkers kuna members na baadhi ya waandiahi wa habari wanakuja hapa kuchota madini na kuyapeleka sehemu nyingine so tuache matusi jamani
 
Ishu ni kwamba wazungu wameshtuka kuwa Putin ni kirusi kingine chenye vinasaba vya Hitler na wameona wakimnyamazia anaweza kuivuruga ulaya nzima so wameamua its over, Putin alianza kuibeba crimea akanyamaziwa akaja tena kuyabeba majimbo mawili ya ukraine napo akanyamaziwa hakutosheka akaivamia na ukraine nzima , angefanikiwa kuimaliza ukraine nzima asingeishia hapo angemfuata sweeden na jirani zake angewatandika wote, sasa kabla ya kufika huko wameamua kumzibiti na kazi anayo

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Russia yazidi kuwavuna wanajeshi wa Uingereza walioenda kupigana Ukraine...

Mwanajeshi mwingine wa Uingereza amedakwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine baada ya kikosi alichokuwemo alipigana kushindwa nguvu na majeshi ya Russia na yeye akiwa kajeruhiwa. Jamaa alikimbilia kuweka silaha chini ili asimalizwe na wajeda wa Russia. Kisha hao hao waliokuwa wamempa kichapo hevi (kabla ya kujisalimisha) alipojisalimisha wakampatia huduma ya kwanza

Screenshot_20220429-192310_Chrome.jpg

Screenshot_20220429-192516_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom