Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe mtu wa Kenya na Tanzania wapi na wapi.
Hii propaganda nadhani niliimaliza kumbe bado ipo, China ndo inaongoza kwa kuwauzia silaha, urussi imeshindwa mpaka na Israel. Hapa Africa Nchi zinazopewa mafunzo ya kijeshi na Urussi ni chache mno kutokana na bajeti yao ndogo. Marekani / china/Uingereza wanaongozaa kwa mafunzo na misaada Tanzania.
 
Binafsi baada ya wiki karibu 9 za huu mzozo, nimejifunza kuwa.

1. Urusi hajafanya Full scale war pale UKRINE.

2. NATO bado hawajafahamu akiba halisi na hata ukubwa na hatari ya Silaha za URUSI.

3. USA na UK wako tayari kuingia vitani na URUSI ila wanachama wengine wa NATO wako mguu nje mguu ndani.

4. Kitendo cha USA + NATO kuingia rasmi vitani itasafisha Njia CHINA kuwa new SUPER POWER.

5. Kuna kila sababu NYUKLIA itatumika haina namna ambayo URUSI anaweza kujihami dhidi ya NATO bila kutumia NYUKLIA.

6. UKRINE inakuwa uwanja wa mapigano bila wenyewe kuchukua hatua za haraka basi taifa lao linaweza kuwa historia tu.

7. Kadiri mzozo huu unavyosogea ndivyo URUSI anazidi kukaza kamba na Ugumu kwa UKRAINE unazidi kutamalaki.

8. POLAND itakuwa nchi ya kwanza ya NATO kupigwa na URUSI ikiwa NATO watajiingiza rasmi vitani.
 
Warusi wameidaka hii
279233159_119925250686401_5987573096207252505_n.jpg
 
Correct ....[emoji109][emoji109]
 
Nafikiri ulisoma kitu kinaitwa "sovereignty" ?
Mkuu sovereignty naielewa vyema sana pamoja na Liberty!

Ila kwa alichokuwa anataka kufanya Ukraine haikuwa sawa. Marekani na Warudi ni mahasimu na Ukraine inapakana directly na Urusi!

Baada ya vita ya pili ya dunia waliwekeana mikataba kuwa hakuna ambaye hakuna mtu ambaye anaruhusiwa kuweka majeshi ama barracks zake kwenye eneo lililopakana na mwenzie.

Mwanzoni Urusi aliweka Cuba marekani akamfurusha akaondoka hakukuwa na mvutano wowote. Ila sasa Marekani nae anataka kufanya kile kile ambacho yeye hakukikubali Cuba. Anataka aweke majeshi yake Ukraine
 
Sikupingi ila naweka angalizo ambalo linaweza kukupa mtazamo tofauti.

USA mpaka sasa hajaonyesha nia ya kuingia vitani na Urusi moja kwa moja, ila anataka Ukraine apigane kwa muda mrefu sana na yupo tayari kusimamia hilo na kumwezesha katika hilo.

Nafikiri USA alijua Urusi hawezi mruhusu Ukraine aingie NATO na lazima angemvamia hivyo hili analofanya sasa alishaandaa bajeti yake. Urusi asingeivamia Ukraine, ingejiunga NATO na USA angekuwa hajapoteza lolote.

Kwa maoni yangu URUSI ana option mbili tu:

1. Aipige Ukraine kwa kutumia nguvu kubwa ili afute serikali na USA na washirika wakose serikali ya kuipa silaha. Akifanya hili USA watalazimika either kukubali yaishe au kuingiza majeshi yao ambapo hapo tayari itakuwa ni vita vya 3 vya dunia.

2.Anzishe vita vya dunia kwa kumpiga anayemuwezesha Ukraine wakati akiendelea na anachokifanya Ukraine.

Kinyume na hizi njia, yupo kwenye wakati mgumu wa kutumia uchumi wake kupigana kwa muda mrefu sana. Unless kama na yeye alijiandaa na uchumi wake unaruhusu hilo. Hapo hatujaongelea uwezekano wa Ukraine kufanikiwa kupenyeza kombora ndani ya mipaka ya Urusi.

Mbinu za USA na NATO, katika uhalisia si za kudharau, si wepesi pia.
 
Sikupingi ila naweka angalizo ambalo linaweza kukupa mtazamo tofauti.

USA mpaka sasa hajaonyesha nia ya kuingia vitani na Urusi moja kwa moja, ila anataka Ukraine apigane kwa muda mrefu sana na yupo tayari kusimamia hilo na kumwezesha katika hilo.

Nafikiri USA alijua Urusi hawezi mruhusu Ukraine aingie NATO na lazima angemvamia hivyo hili analofanya sasa alishaandaa bajeti yake. Urusi asingeivamia Ukraine, ingejiunga NATO na USA angemuwa hajapoteza lolote.

Kwa maoni yangu URUSI ana option mbili tu:

1. Aipige Ukraine kwa kutumia nguvu kubwa ili afute serikali na USA na washirika wakose serikali ya kuipa silaha. Akifanya hili USA watalazimika either kukubali yaishe au kuingiza majeshi yao ambapo hapo tayari itakuwa ni vita vya 3 vya dunia.

2.Anzishe vita vya dunia kwa kumpiga anayemuwezesha Ukraine wakati akiendelea na anachokifanya Ukraine.

Kinyume na hizi njia, yupo kwenye wakati mgumu wa kutumia uchumi wake kupigana kwa muda mrefu sana. Unless kama na yeye alijiandaa na uchumi wake unaruhusu hilo. Hapo hatujaongelea uwezekano wa Ukraine kufanikiwa kupenyeza kombora ndani ya mipaka ya Urusi.

Mbinu za USA na NATO, katika uhalisia si za kudharau, si wepesi pia.
Hakuna nchi inaingia vitani bila kujua ugumu wa vita. Ukubwa wa vita na mzozo wa kimataifa ambapo mwanzoni kabisa Putin alisema hakuna namna nyingine ni kuivamia Ukraine, kwa maana vikwazo watapewa iwe wamevamia au bila kuvamia.
 
Ni sawa, ila hizi ni nadharia tu wote tunazitoa katika mfumo wa hoja, na mimi Sijakupinga ukumbuke.

Nimetoa angalizo tu katika angle nyingine tofauti na angle uliyoangalia wewe. Ukisoma taratibu nilichoandika utaelewa nadharia yangu kama mm nilivyoielewa nadharia yako.
 
Yaani mjinga kabisa ,akatupe kombora UK au US ndio tujue mbabe nani .Ukraine since Feb 24 yupo anafanya nini jinga kabisa
Hao mashoga wanaopigana nyuma ya mgongo wa Ukraine!!!? Tena wapo zaidi ya 40? Wakisaidiwa na vikwazo zaidi ya 6000. Huku wakibebwa na UN. Kubali tu Russia ni mwamba.
Huyo shoga mkuu alikimbizwa na wasomali kama mbwa mwizi ndio asimame na Russia!?

Katika vita along vosimama peke yake na akajitahidi sana ni hivyo vya Somalia. [emoji28]
Na alichokipata hadi leo hatubutu kuingia pale. Atawatuma manyang'au,nao huwa wanachezea kichapo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Uongo,
Hakuna mikataba ya aina hiyo kati ya Marekani/NATO na Urusi pia nchi kuwa NATO haina maana majeshi au baracks za Marekani zinawekwa kwenye hiyo nchi, Uturuki, CANADA na nyingi nyingi ziko NATO na hakuna silaha, majeshi au baracks za Marekani huko.

Back
Top Bottom