Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,
Pili jeshi la Tanzania linatumia SMG kama Standard ya Silaha zake na Si AK-47, ukiona AK-47 kwa Askari wa Tanzania hiyo ni special case, pia Hizi Silaha tunanua China.
Ndege nyingi zilizopo kwenye Air force yetu ni msaada au zinatoka China, binafsi sijawahi kuona Russian planes kwenye Jeshi letu, kama umewahi kuziona unaweza kupiga picha...
Pili zile Helicopters za Jeshi unazozionaga zinatoka France, kama umewahi kuona zinatoka Russia ungeweka na reference.
Pia ingekuwa vizuri kama ungeelezea 90% imefikaje