HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Mbona una hasira sanaAlisikika dada mmoja anayekaa buza palange akisema eti Putin ni mjinga
Mbona una hasira sanaAlisikika dada mmoja anayekaa buza palange akisema eti Putin ni mjinga
Jamaa kaamua mbwai na iwe mbwai .....[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah japo ukweli mchungu...
Kwa hiyo unataka kusemaje!!!? .Hao wote hivyo Mmoja mmoja hawawezi battle na Urusi !!??Vijana mnapata wapi ujasiri wa kusema Russia anaweza kuzipiga nchi za NATO?
Nchi 4 tu Urusi inakaa mapema sana
Marekani
Uingereza
Ujerumani
Poland
Kweli wapambane wote kiume bila nyukilia??? Hao tu wanamchapa fasta achana na mataifa madogo. Mmemsahau Hitla e?
Cheguve alikuja Tz mara 4 kwa siri beforeTena kawa nchini yasemekana kwa miaka mi5 akifanya training kwa freedom fighters...
Ikumbukwe TZ baada ya kupata uhuru iligeuka kua kituo cha mafunzo cha wapigania uhuru...
Chegeuvela naye alishawahi fika TZ miaka hiyo na alikuja kuonekana wazi kwenye Press siku akiwa anaondoka.
Mkuu kati ya wengi wanaochangia humu we ni kati ya wachache wanaochangia ki-hekima,naomba nikuulize kidogo.
Wewe kama wewe unaweza kujenga urafiki na mtu shoga?
Mi nawashangaa watu kama nyie ....asa unaposema bila nyuklia putin hawezi kitu .....huo ni upopomaBila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
Hali ni mbayaTumeanza kutekenya Transnitria (kama Luhansk na Donesk Hawa nao ni Russian Natives) ... maldova wameomba msaada Romania... Hii op itabadilisha sana siasa za ulimwengu....
Na mm walifanyia fitina account pendwa kisa nilikuwa nasikitikaMtoto wa Nzi nimerudi... Wamenifanyia fitina akaunti yangu.....na wakiripoti hii nafungua ingine..(mbitiyapi-fisi mweupe)
Inasikitisha saana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
MUTOTO YA NZI Haipendagi ujinga kabisa mkuu ........haya karibu kuna kenge pro NATO zimeamka huko zilikotoka zinaleta fujo humu kazi kwako mkuu
Hivi unatuchukuliaje mkuu ?Nikiwa kidato Cha pili seminari nilichukuliwa kwenda jeshini miez sita ..baadae nikaenda zenji ..then nikarud shule ile kidato Cha tatu na nikiwa na wastan was 75 kwenye mtihan was form two ambao hata sikuufanya...Kama haya yaliwezekana Tanzania Hapa kwa Mimi ..Huko kwa Putin yanashidikanaje!?....dunia sio Kama unavyoiona...usikariri ..karibu tell aviv
Alafu kuna mbugila mbugila inakwambia russia si chochote si lolote ...
Anadharau saana huyu young manIyo wadanganye wadogo zako unaowalea apo nyumbani kwako mzee jaribu kuheshimu watu duuuh wee jamaa
Mbona ameshashinda....huoni NATO, USA na West wanavyohangaika...Russia has won...Hofu pekee iliyopo ni nchi hizo kuingiza mguu huko Ukraine na Russia atatjmia nyuklia...Russia siyo wajinga...They have prepared themselves for thisBila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
Ndio maana kaziunda ili awashindeBila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
Hiki ulichoandika ni Kama ule ujinga wa utotoni unataka pigana na mwenzako unamtake nae avue viatu muwe peku wote ndio mzichapeBila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
Havijatekezwa mpaka Sasa?!?!Poland keshaingiza vifaru 230 Ukraine
wanashiba na kusanzaTafutia ugali familia yako