babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Huwezi kunifundisha jinsi ya kujadiliana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunze ku argue au kutoa hoja kwenye mijadala,
France na Niger wanauziana Uranium kwa makubaliano kati ya Serikali zao na wawekezaji, kama Niger hawanufaiki Hilo ni suala Subjective na completely out of this context.
Wewe umesema France wanategemea Uranium ya Russia, Mimi nimesema Niger na CAR wanaweza kuiiliplace Russia Dunia nzima, tetea hoja Yako kama ina Ukweli, usitoke nje ya mada kama tuko vijiwe vya kahawa.
Tatu hapa tunazungumzia Nchi moja kuivamia nchi nyingine ili ilazimishe Kufanya jambo inalotaka, Sasa Wewe from no where na with baseless grounds unasema Russia anachukiwa, why utathibitisha vipi Russia anachukiwa, wakati anayemchukia hajawahi hata kurusha jiwe, anafanya nae Biashara, Wana balozi nchi zote mbili?
Pro Russia please mkiwa mnatoa hoja jaribuni kujiandaa
Umesema Ufaransa anafanya biashara na Niger ndio sababu ana majeshi kwenye baadhi ya nchi. Hayo majeshi nayo yanafanya biashara? Au ni kisingizio cha kuiba rasilimali zao?
Juzi tu nchi moja huko imeyatimua majeshi ya France huku raia wakishangilia na wakayakaribisha ya Russia. Unadhani kama sio wizi wa hao wafaransa ni nini?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app