triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Ni kwamba hujui au umeamua kujichomoa ubongo!?Sasa Russia unakwenda kununua nini mbali ya gesi na mafuta,nini cha maana kingine anacho au ni Vodka[emoji4]
Zaidi ya gesi na mafuta vipo vingi bado vya kufata Russia
1. Vyakula - pengine bila ngano ya urusi ungekuwa ushakufa njaa hapa TZ au ungekuwa unataabika na malnutrition. Urusi ni moja ya mzalishaji mkubwa wa cereal crops i.e. wheat barley corn duniani Pia mafut
a ya alizeti
2. Silaha - % zaidi ya 50 ya silaha znazotumika kulinda nchi yako uko salama mpk unaingia jf zinatoka urusi. FYI Urusi anashika nafasi ya pili wa exportation ya silaha dunani. wanauza mpaka kwa member wa NATO ref. Turkey na Russian made s400.
3. Raw materials - hapa sasa ndio kuna utitiri wa vitu kuanzia chuma, nickel, cobalt, vanadium, platinum, aluminium, uranium, gold, manganese, copper, tungsten, zinc, lead, etc
4. Nitrogen based fertilisers kwa maendeleo ya kilimo duniani mbolea ya mrusi ni muhimu
5. Machinery and equipments (mechanical) unajua hata US wanategemea Urusi wapate mainjini ya kurushia maroketi yao
6. Etc.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app