bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Wewe hata ukiambiwa ushikwe kalio utakubali
Piga Spana tuu hawa tukiwachekea humu watatufanya tuwena akili kama zao nyumbu kabisa hawa
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Wewe hata ukiambiwa ushikwe kalio utakubali
NO MERCY [emoji851][emoji851]Please Putin have mercy[emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Piga Spana tuu hawa tukiwachekea humu watatufanya tuwena akili kama zao nyumbu kabisa hawa
Suala siyo kuua raia au kuwabebea mabegi ..,.suala ni haki taifa fulani kulivamia taifa jingine na kujimilikisha eneo...???RUSSIA wanaua raia, Russia wenyewe sasa [emoji1427]View attachment 2204003
Nani kakudanganya kuwa matumizi ya mafuta na gas ni Kwa matumizi ya kukupikia na kuendeshea magari?????Did you know why Russia hakutafuta Makoloni Africa?
Unadhani Tanzania itafanya jambo la maana kununua Mafuta ya Russia na kuacha Mafuta ya Middle East na Uganda?
Unafahamu kuwa by 2030 (Just 8 year from now) Mataifa Yote ya ulaya kwa 80% yatakuwa hayatumii Magali ya Mafuta na Gesi, au umekwisha fatilia kuhusu Research za Matumizi ya Hidrogen kama Fuel?
Hizi sio tetesi za chini chini, yapo Mataifa yaliyo kubali kulipa kwa RublesKama una akili timamu epuka kutoa taarifa kwa kutumia neno tetesi na za chini chini
Brussels says EU states agree they are not willing to pay for Russian gas in roubles
EU countries all agree that they will not pay Russia directly in roubles for their imports of gas, noting that the deadline for next payments was expected to be May 20, a senior European Union official has said.
“What we do know, and there is consensus on this from all member states, is that none is willing to pay” in roubles, the official told a news briefing, adding that the EU Commission did not have an overview of how many buyers have opened accounts for gas payments with Gazprombank.
"We are immune to sanctions"-Lavrov.In 2021, Gazprom received a record net profit of 2.093 trillion rubles. (almost $29 billion) against 135.3 billion rubles. a year earlier
Gazprom's investment income is also on a record. In 2022, their profit could reach 2.285 trillion rubles. ($31.1 billion) against 2.004 trillion rubles. in 2021.
Mpatie hii hapa:-Nani kakudanganya kuwa matumizi ya mafuta na gas ni Kwa matumizi ya kukupikia na kuendeshea magari?????
Labda uniambie Yale maviwanda Yao yataanza kutumia maji kama chanzo cha nishati kidogo ningekuelewa
Yani man ukiona hio clip aisee huwezi icheki mpaka mwisho ni aibu afu ni mijamaa mbavu midume ina kulana ishiiii [emoji848][emoji848]Kuna jamaa tumemaliza nae chuo namjua ni shoga alichukuliwa na organization akaenda US juzi nmeshangaa kapost insta kawa mwanajeshi nikabaki nakuna kichwa.
Sasa kama jeshi linachukua mashoga litaweza mikiki?? aibu sana kwakweli US = Satan ndomana me nikiona mtu anaunga mkono hao watu huwa namashaka nae aseee.
Yule jamaa atakua chakula cha wajeda huko hatar sana
Duhh niitume humu umu..hapana labda huko private ni aibu aisee ..[emoji1786][emoji1786]Mzee tuma tu
Mkuu kubali kataa Nchi za ulaya hazina mbadala katika gas na mafuta,na sababu kubwa ni kutokana na hizo Nchi kutokuwa na hizo raslimali.Huko middle east unapo pazungumzia mzalishaji mkubwa ni Iran, & Said Arabia na upande wa gas ni Qatar na Venezuela upande wa America kaskazin.Did you know why Russia hakutafuta Makoloni Africa?
Unadhani Tanzania itafanya jambo la maana kununua Mafuta ya Russia na kuacha Mafuta ya Middle East na Uganda?
Unafahamu kuwa by 2030 (Just 8 year from now) Mataifa Yote ya ulaya kwa 80% yatakuwa hayatumii Magali ya Mafuta na Gesi, au umekwisha fatilia kuhusu Research za Matumizi ya Hidrogen kama Fuel?
Aisee una mahaba mpaka huoni mbele anyway nakupa miezi mingine miwili aLfu nitarudi kwenye hii comment yakoHizo siraha, wanapitishia Poland, USA hawezi peleka ndege Ukraine Russia wako macho wanaziwinda sana kwa makombora yaliyoangusha ndege ya abiria miaka michache ya nyuma, pia uko Poland Russia Wana spy wa kutosha mzigo ukingia tu tayari Russia wanapata habari zote. Makombora yako stand by kuteketeza hizo silaha za USA, UK, German etc. Ukraine wanajimaliza tu kwa ujinga wao. Itachukuwa miaka mingi Sana kuijenga hiyo nchi
Unadhani hao wengine wanaoenda hutua viwanja gani? Hujui C17 inatua hata kwenye rough terrain?Hiyo ndege Inaenda kutua uwanja upi huko Ukraine?
Sio wewe ambae una mshangaa Ukraine ambae anapigania nchi yake..!Wewe hata ukiambiwa ushikwe kalio utakubali
Alikula Bloq tu watu waliona Kero na Msemo wake Wakwanza mieMzee wa inasikitisha sana
umebadili ID au walikupiga ban ndo umefungua mpya .[emoji3][emoji3]