Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.

Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.

Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.


Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
NATO wanaweza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya msikilizeni Irish Member of European Parliament.

Sasa wewe Mbonde kutoka dunia ya tatu unadai Russia ana hali mbaya ya kiuchumi, kwa kifupi vikwazo havimuumizi sana Russia,bali watakao umia sana ni wananchi wa EU na dunia nzima.

Hili hauhutaji uwe genius kulijua kwani nazani mnaona huku kwetu vitu vilivyopanda bei ,hatujui kesho US (dictator wa dunia) kesho atasema nini na Russia ata react vipi,so kesho kutwa tunaweza tukaambiwa mafuta Tsh 4000/litre.
 
Nilifikiri aliyeanza kutumia internet kuanzia miaka ya 2000 hadi 2010 anakuwa mjanja wa fikra kumbe hali ni tofauti. Angalia anachokiandika nyamizi na member anayeitwa UPOPO. Huyo popo bawa nimeshamuweka kwenye ignore list kwa kushindwa kwake kuthibitisha madai yake ya kwamba putin alipanga kuiteka kiev kwa siku 3.
 
Poland still buying Russian gas – Gazprom
Reverse flows from Germany ramped up after direct supplies were halted, the energy major says
Poland still buying Russian gas – Gazprom

© Getty Images / Patrick Pleul
Poland continues to buy Russian natural gas from Germany via reverse flows, after its direct supplies were suspended due to non-payment in rubles, Russia’s energy giant Gazprom said on Thursday.
“This week Poland refused to pay for the Russian gas with the new terms, in rubles. It was grandly announced that they no longer needed Russian gas and would not buy it any more. But in fact Poland keeps buying Russian gas after the direct supply was halted. It now buys the gas from Germany, and it comes back to Poland with the reverse flow via the Yamal-Europe pipeline,” Gazprom's official representative Sergey Kupriyanov said.
On Wednesday, Gazprom announced a complete halt of gas exports to Poland as Warsaw had failed to pay for its fuel in rubles in line with a new payment mechanism launched earlier this month. According to Gazprom, supplies will not resume until Warsaw complies with the new terms.
=====
Hapa unawaza hawa wazungu kweli au wafanana wazungu?
 
China slams British Truss' remark, saying impact of NATO's eastward expansion worth reflecting upon
​
AFP: British Foreign Secretary Liz Truss yesterday criticized China for not condemning Russia’s aggression against Ukraine, saying that China’s failure to play by global rules would cut short its rise as a superpower. Do you have any comment? Is China concerned that refusing to condemn Russia will affect its relations with the UK and Europe?

Wang Wenbin: You brought about British Foreign Secretary Liz Truss’s relevant remarks. I noted that she mentioned rules. International rules should be the norms governing international relations that are based on the purposes and principles of the UN Charter, rather than rules defined by a certain clique or bloc. 

Ms. Truss also mentioned NATO. Since the Cold War was long over, NATO, as a product of the Cold War and the world’s largest military alliance, should have made necessary adjustments in accordance with the changing times. However, NATO has long clung to the old security concept, engaged in bloc confrontation and become a tool for certain countries to seek hegemony. NATO claims to be a defensive organization, but in fact it is constantly creating confrontation and disturbances. NATO demands that other countries abide by the basic norms of international relations, yet has wantonly waged wars and dropped bombs in sovereign states, killing and displacing innocent civilians. NATO, a military organization in the North Atlantic, has in recent years come to the Asia-Pacific region to throw its weight around and stir up conflicts. The impact of NATO’s eastward expansion on the long-term peace and stability of Europe is worth reflecting upon. NATO has messed up Europe. Is it now trying to mess up the Asia-Pacific and even the world? 

As for China’s position on the Ukraine issue, it is consistent and clear. We always make independent judgments based on the merits of each matter.

Editor: Zhu Yan
 
🇩🇪The German government knows that German neo-Nazis helped Kyiv.

The German government is aware that the German neo-Nazi party "Third Way" in March 2022 delivered material assistance to "belligerent nationalists" in Ukraine, according to a response to a request from the "Left" faction in the Bundestag.

Even before the start of the special operation in Ukraine, the Third Way was pro-Ukrainian and maintained contacts with Ukrainian nationalist organizations, the document says.

It is indicated that, according to the counterintelligence of Germany, the neo-Nazi party "maintains long-term contacts with the Ukrainian nationalist party National Corps and its military wing, the Azov regiment (against whose militants a criminal case has been initiated in Russia).

 
Nilifikiri aliyeanza kutumia internet kuanzia miaka ya 2000 hadi 2010 anakuwa mjanja wa fikra kumbe hali ni tofauti. Angalia anachokiandika nyamizi na member anayeitwa UPOPO. Huyo popo bawa nimeshamuweka kwenye ignore list kwa kushindwa kwake kuthibitisha madai yake ya kwamba putin alipanga kuiteka kiev kwa siku 3.
[emoji1787][emoji16]

Yaani we ndo unawastukia leo pole sana ndugu .........alafu wanajiona wao ni ma GREAT THINKERS .....eti wanakwambia hasa yule NYAMBIZI anakwambia yeye ni wa kitambo humu alafu MEDULA yake inavofanya kazi sasa utacheka mwisho uzimie....[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom