Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]MKUU Tsh mbona unashanga shangaa tena...unataka kusema hujamwelewa jamaa ...anamaanisha kuwa ukweli mnauelewa sema tu mnajifungia MEDULA zenu ndani ya box ila mkiachia OBULONGATA zenu zikawa huru asee nyie ni MA GREAT THINKERS ..[emoji3][emoji3][emoji3] mfano hakuna


sema tu unatakaga kumfurahisha NYAMIZ.....lakini ukweli unajua kabisa kuwa RUSSIA ndo mwamuzi wa ulaya na us ....
Hahaha, nimemwelewa ila sasa kaniita halafu anataka kumtia mtu makwenzi ikabidi niulize kuna nn? 😀😀.
 
Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.

Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.

Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.


Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Amka ndugu kumekucha bado umelala tu angalia usije kata gogo hapo hapo kitandani ..........[emoji23][emoji23][emoji23]...dunia ya leo sio ile ya enzi za kina bush baba na bush mtoto na kina billi clinton ...wanaamua wakaipige nchi gani nyumbu wale


kwqni hao marekan na wenzie hawaliwazii hilo unaloli ropoka ropoka humu

haya THE MIGHTING RUSSIA hiyo wakusanyane wakaipige uone shughuli yake ....pambafuuu

[emoji116][emoji116] rudia kusoma ushuzi ulioandika hapo[emoji3][emoji3]


Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
 
Marekani yasema kuwa leo juma tano majeshi ya Russia yamekamata miji mingi na vijiji vingi vya Ukraine baada ya kuyashambulia vikali majeshi ya Ukraine kwenye mkoa wa Donbas

SmartSelect_20220427-162348_Chrome.jpg
Screenshot_20220427-162514_Chrome.jpg
 

Russian Army BOMBS Airport Hangar Storing West-Supplied Weapons for Ukraine​


Russian missiles have struck an arms depot housing weapons from the United States and European countries donated to Ukraine.
The Russian defense ministry said its Kaliber missiles destroyed hangars in the Zaporizhzhia region of Ukraine which contained "a large batch of foreign weapons and ammunition supplied to Ukrainian troops by the United States and European countries".
Yesterday, Russia accused the West of "pouring oil on the fire" with weapons deliveries fueling the nine-week-old conflict. They have also repeatedly warned that such weapons donations are legitimate military targets. The U.S. and European countries simply ignored such warnings and continued shipping weapons. Those weapons have now been destroyed.
The United States and NATO have ruled out sending their own forces to Ukraine, but Washington and its European allies have supplied large quantities of weapons to Kyiv, including drones and anti-aircraft and anti-tank missiles.
hapa kichapo tu....ni kichapo mwanzo mwisho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani NON STOP .......
 
Msaidie huyo kati Resources.... Comperative na Absolute Advantages...maana ntampiga konzi nyingi ...
😃😃. Mtaafikiana tu boss bila makwenzi.

Absolute Advantage: uwezo wa kuzalisha kuliko mshindani.

Comparative Advantage: uwezo wa kuzalisha kuliko mshindani kwa kuzingatia gharama ndogo ya utakachopoteza iwapo ungechagua uzalishaji mwingine ulio ndani ya uwezo wako.(Opportunity cost)
 
Mabeberu yabaini kuwa kuzidi kupeleka silaha Ukraine kunazidi kuiharibu na kuiangamiza Ukraine yenyewe, maana kichapo ndio kinaendelea zaidi na zaidi kila kukicha

View attachment 2202811
Waache tu mkuu waendelee kukaza MAFUVU yao si wanajifanya wao wana pesa na silaha wanazo

mwisho wa siku vita inaamia huko kwao na safari hii tumeanza na MOLDOVAN ....daaaadekk
 
Lete data na chanzo: Marekani inaagiza nini kutoka Urusi?
Haikupata gesi asilia kutoka huko tangu mwaka 2019; mafuta yalikuwa kiasi kidogo, yamepigwa marufuku mwezi wa Machi.
Ulaya ni tofauti hadi sasa, maana hasa Ujerumani na Italia zilifanya mikataba na Urusi na kuagiza gesi kutoka huko.
Ujerumani imeshapunguza sana manunuzi ya mafuta kutoka Urusi (kutoka 34% hadi sasa 12%), kwa gesi wanapanga kupunguza katika miwili inayokuja hadi kuiacha kabisa. Italia wanataka pia lakini sina data zao.
Watapata gharama kubwa zaidi za nishati, lakini wanasema wataweza. Wanaharakisha mipango iliyoandaliwa kabla ya vita ya kupunguza mafuta na gesi na kuhamia nishati mbadala (upepo, sola, jotoardhi).
Ww jamaa nimesha kwambia acha uongo humu hauongei na watoto wako unaongea na watu wazima wenye uelewa kuliko hata ww unaye jifanya unazijua nchi za magharibi kuliko hata wenye nchi wenyewe.

Nime kwambia marufuku ya mafuta ya Urusi nchini Marekani iko kwenye makaratasi tu lakini kiutekelezaji imeshindikana mpaka sasa Marekani anaagiza mafuta nchini Urusi tena takwimu zinaonesha kiwango kimezidi hata kile cha kabla ya vita, viongozi wa Marekani walipo ulizwa wakasema wataagiza kwa kipindi Cha mpito tu maana marufuku ilikuwa ya ghafla lakini hawakutaja huo muda wampito utaisha lini

Ujerumani imesha sema mara kibao tu na kila mtu amesikia ya kwamba Uchumi wao hauwezi kuhimili marufuku ya nishati kutoka Urusi kwahiyo kati yako na viongozi wa Ujerumani tumsikilize nani?

Hata wiki jana raisi wa Ukraine amesha lalamika ya kuwa nchi za magharibi zinanunua kiwango kikubwa cha nishati kutoka Urusi kuliko hata kabla ya vita jambo linalo sababisha Urusi kuendeza vita kwenye nchi yake.

Punguza ujuaji hizo chuki zako kwa Urusi haziwezi kukuletea ugali nyumbani kwako na hata Urusi ikisambaratika nchi yako haitakuwa na manufaa yeyote.
 
Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.

Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.

Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.


Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Mawazo ya kishoga

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2]. Mtaafikiana tu boss bila makwenzi.

Absolute Advantage: uwezo wa kuzalisha kuliko mshindani.

Comparative Advantage: uwezo wa kuzalisha kuliko mshindani kwa kuzingatia gharama ndogo ya utakachopoteza iwapo ungechagua uzalishaji mwingine ulio ndani ya uwezo wako.(Opportunity cost)
Tukipata[emoji3][emoji3] pro nato 15 tu humu ndani kama wewe aisee

Tatizo pro nato waliopo ni fuata upepo mpaka wanataka kukubeba na wewe....usikubali njoo kwa huku kwetu tunapanga plani na plani zinaenda kama zilivyopangwa .....[emoji18][emoji18][emoji18]
 
Ww jamaa nimesha kwambia acha uongo humu hauongei na watoto wako unaongea na watu wazima wenye uelewa kuliko hata ww unaye jifanya unazijua nchi za magharibi kuliko hata wenye nchi wenyewe.

Nime kwambia marufuku ya mafuta ya Urusi nchini Marekani iko kwenye makaratasi tu lakini kiutekelezaji imeshindikana mpaka sasa Marekani anaagiza mafuta nchini Urusi tena takwimu zinaonesha kiwango kimezidi hata kile cha kabla ya vita, viongozi wa Marekani walipo ulizwa wakasema wataagiza kwa kipindi Cha mpito tu maana marufuku ilikuwa ya ghafla lakini hawakutaja huo muda wampito utaisha lini

Ujerumani imesha sema mara kibao tu na kila mtu amesikia ya kwamba Uchumi wao hauwezi kuhimili marufuku ya nishati kutoka Urusi kwahiyo kati yako na viongozi wa Ujerumani tumsikilize nani?

Hata wiki jana raisi wa Ukraine amesha lalamika ya kuwa nchi za magharibi zinanunua kiwango kikubwa cha nishati kutoka Urusi kuliko hata kabla ya vita jambo linalo sababisha Urusi kuendeza vita kwenye nchi yake.

Punguza ujuaji hizo chuki zako kwa Urusi haziwezi kukuletea ugali nyumbani kwako na hata Urusi ikisambaratika nchi yako haitakuwa na manufaa yeyote.
We nae una hangaika na huyo huo ubongo wake unakasoro emu jaribu kusoma ARTICLES zake ndo utaona ninachokwambia
 
Niliamua kukaa kando na huu Uzi lakini kuna propaganda imeenezwa ambayo siwezi vumilia, hakuna ushahidi wowote kuhusu Putin, aliezaliwa 1952, kuzuru bara Africa miaka ya 1970s.


Rekodi za Putin katika mtandao wa Kremlin zinaonyesha wakati huo alikua akisoma katika chuo kikuu cha Leningrad mpaka 1975 alipomaliza.

Alafu pia mafunzo ya kijeshi yaliotolewa tanzania kwa wa Mozambique yalipeanwa kwa asilimia kubwa na wachina sio wasovieti.

Na Mnangagwa hangeweza kua Tanzania 1973 kwa sababu alishikwa 1965 na kufungwa kwa miaka 10 na Wakoloni.View attachment 2202130hebu
We jamaa wewe huna lolote umesikia kimlipuko huko ndio gia yako ya kujisogeza taratibu hebu kuwa na misimamo alaah
 
K
Akiba za gesi hawaweki kwenye tangi (au sehemu ndogo tu). Wanatumia mapango chini ya ardhi. Mfano maeneo ambako waliwahi kuzalisha gesi asilia; au matabaka chini ya chumvi, au pia ndani ya migodi ya chumvi. Nafasi hizo wanatumia kama tangi , wanasukuma gesi mle kwa shinikizo kubwa.
Wanatunza huko mkuu inaenda kuzaa au kutunzwa? Ujue kwenye mapango hayo Kuna upotevu mkubwa wa gesi utatokea kwa nature ya gesi ilivyo. Usijifariji kwa kitu Cha mwenzio, Cha mtu mavi mkuu.
 
Tukipata[emoji3][emoji3] pro nato 15 tu humu ndani kama wewe aisee

Tatizo pro nato waliopo ni fuata upepo mpaka wanataka kukubeba na wewe....usikubali njoo kwa huku kwetu tunapanga plani na plani zinaenda kama zilivyopangwa .....[emoji18][emoji18][emoji18]
Nyie mmekuwa bully. Mnapiga tu. Mmeshindwa hata ktuma majasusi wakamwondoa raisi kisha mkaweka pandikizi la raisi mkawaacha raia waendelee na maisha yao mnalipua nchi ya wakulima wa watu wasiojua hata tafsiri halisi ya NATO ni nn😀.
 
Back
Top Bottom