famba 06
Senior Member
- Dec 28, 2018
- 134
- 127
Tz tutanunua kwa TshsMzee baba akifanya EU yote watapata akili mbona[emoji28]
Tz tutanunua kwa TshsMzee baba akifanya EU yote watapata akili mbona[emoji28]
Kaka unaendelea kuhubiri, huleti data wala chanzo . Je unajua chanzo ni nini? Lete au acha kusambaza madai yasiyo na msingi. Lete data za Aprili.Nime kwambia marufuku ya mafuta ya Urusi nchini Marekani iko kwenye makaratasi tu lakini kiutekelezaji imeshindikana mpaka sasa Marekani anaagiza mafuta nchini Urusi tena takwimu zinaonesha kiwango kimezidi hata kile cha kabla ya vita, viongozi wa Marekani walipo ulizwa wakasema wataagiza kwa kipindi Cha mpito tu maana marufuku ilikuwa ya ghafla lakini hawakutaja huo muda wampito utaisha lini
Ujerumani imesha sema mara kibao tu na kila mtu amesikia ya kwamba Uchumi wao hauwezi kuhimili marufuku ya nishati kutoka Urusi kwahiyo kati yako na viongozi wa Ujerumani tumsikilize nani?
Hata wiki jana raisi wa Ukraine amesha lalamika ya kuwa nchi za magharibi zinanunua kiwango kikubwa cha nishati kutoka Urusi kuliko hata kabla ya vita jambo linalo sababisha Urusi kuendeza vita kwenye nchi yake.
Punguza ujuaji hizo chuki zako kwa Urusi haziwezi kukuletea ugali nyumbani kwako na hata Urusi ikisambaratika nchi yako haitakuwa na manufaa yeyote.
Hahahaa.....sisi hatuna haja na huyo rais kilaza kuwahi bk kutokea .duniani ..mtumwa wa marekani ...sisi tunachotaka ni kuweka mipango mikakati kiulinzi na kiuchumi kwenye ardhi ya ukrain rais ni wa kwao ...hatumtaki ......tunaigawa ukrain nusu ya kwetu nusu yao .....na kama mkitaka tusilipue wacheni kutuma viji silaha na mkubali kuwa mmeshindwa vita .....Nyie mmekuwa bully. Mnapiga tu. Mmeshindwa hata ktuma majasusi wakamwondoa raisi kisha mkaweka pandikizi la raisi mkawaacha raia waendelee na maisha yao mnalipua nchi ya wakulima wa watu wasiojua hata tafsiri halisi ya NATO ni nn[emoji3].
The Polish prime minister said that Warsaw would ask the European Commission to impose duties on gas and oil imports from Russia in the amount of 25-35%.
View attachment 2202542
Nilitaja tekinolojia ya kutunza akiba za gesi jinsi ilivyo. Wanapendelea nafasi ambako gesi asilia ilikuwepo lakini imeshatolewa. Kabla ya kutoboa tabala la mwamba juu ya nafasi hiyo gesi ilikuwepo bila kupotea, hivyo nafasi hiyohiyo inaweza kutumiwa kuijaza tena.K
Wanatunza huko mkuu inaenda kuzaa au kutunzwa? Ujue kwenye mapango hayo Kuna upotevu mkubwa wa gesi utatokea kwa nature ya gesi ilivyo. Usijifariji kwa kitu Cha mwenzio, Cha mtu mavi mkuu.
Umeongea MAKUSANYO tu ya gesi... Matumizi ya ujerumani ni kiasi Gani Kwa gesi hiyo wanayoagiza!!? Wanabaki na reserve kiasi Gani !!? Storage cost hujaicount katika maelezo yako !!? Gesi sio renewable Kwa importers hata exporters unajua gharama yake!!? Nani anaingia gharama Zaidi!!? Mbona mnajitoa ufahamu Kwa vitu vidogo... Katika (international trade na international economics) Kuna vitu vinaitwa Comperative advantages na Absolute Advantages... Mrusi yupo kwenye Comperative ... Hana upungufu wa hivyo wa mahitaji..hivi shule mnaenda kuuza barafu au kusoma....
Ndo maana mnakuwa na sifa ya bullies.Hahahaa.....sisi hatuna haja na huyo rais kilaza kuwahi bk kutokea .duniani ..mtumwa wa marekani ...sisi tunachotaka ni kuweka mipango mikakati kiulinzi na kiuchumi kwenye ardhi ya ukrain rais ni wa kwao ...hatumtaki ......tunaigawa ukrain nusu ya kwetu nusu yao .....na kama mkitaka tusilipue wacheni kutuma viji silaha na mkubali kuwa mmeshindwa vita .....
Utaahira Ni kipaji pia.Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Tz tutanunua kwa Tshs
Ninavofahamu mm kuhusu comparative na absolute.advantageWe jamaa ni kama Tsh ..mnajielewa ila mnajitoa ufahamu... Ulichoandika chote ... Umekwama Hapo kwenye UTOFAUTI WA COMPERATIVE NA ABSOLUTE ADVANTAGE.... ukivielewa hivi ..utaona Kwa Nini hata US BADO ANAAGIZA URUSI.. NA ULAYA INAAGIZA URUSI... makonzi machache yatarudisha uelewa wako.
Pamoja na sanctions zote walizowekewa Russia kwny Hii quarter ya kwanza tu corporate tax wanapata zaidi ya $43bil.Hio Ni corporate tax tu bado makodi mengine kibao,Na wapuuzi wanakwambia hio Ni nchi maskini sanaBajeti yetu ya mwaka wenzetu wanaingiza kwa mwezi tena kwa kuuza energy tu kwa unfriendly country. Hujagusa takataka zingine afu kuna boya anakwambia Russia maskini hii bongo ina comedian wengi sana
Kaka asante kwa mawazo - ila Ukraine haikujiunga na NATO. Maana NATO hawakupokea Ukraine. Kama wangeipokea, Urusi isingeshambulia. Hakuna wanajeshi wa NATO huko Ukraine.kwenye jukwaa hili mimi ndo najiona sina kitu kuliko wote, nimefuatilia thread hii toka mwanzo :
nilichogundua hapa nikuwa
Russia wanapoona silaha, za Ukraine zinaongeza makali nao wanaongeza kidogo nguvu,
kwa mtazamo wangu mimi Ukraine wangemaliza hii vita kidiplomasia
huko mbelee Russia watakaza zaidi alafu wanataiharibu nchi yote,,
ila nyuma ya hii op naona kuna kitu wengi huenda hatukijui au tunakijua ila hatukielew....
maana bwana zelewesky nashindwa kumuelew kitu kimojaa..."kwani kujiunga NATO na kutojiunga mkaishi na jirani yako kwa amani shidaa iko wapo?"
kwani NATO wana faida gani kubwa ambayo inaweza kureplace maisha ya watu na miundo mbinu inayoharibiwa kila uchwao ?
au mimi ndo sijui ?
faida gani member wa NATO wanapata kinacholingana na kila Ukraine inapoteza ?
na uchumi wa dunia unatatizika kiasi hiki ?
kila siku nasikia wataalamu mbalmbl wanasema Russia ili miscalculate resistance ya Ukraine, lakin mimi nahis USA ndo ili miscalculate response ya RUSSIA kwa Ukraine kujiunga NATO,,,,
ila kwa kutumia historia tu, mimi binafsi nafikiri Russia pia hajakurupuka kwenye hili,,,, huenda hii vita ikatufikisha mahali AMBAPO sis third world countries hatukutegemea..........
wengi tunafikiri RUSSIA kakosea sana,
lakin siku chache hizi nimeona china ikitaka kuweka millitary base solomon island USA NA Australia wamekuwa wakali sana na wamesem watarespond accordingly,
ndo najiuliza kwa nn wao Ukraine hawafeel the same taste ??
jaman sisi hapa jamiiforum nahis kuna vitu hatuvijui zaidi ya yale tusumayo Google huko....ila mataifa haya yanajuana.....
kwa kifupi tu niseme dunia inahitaji Russia yenye NGUVU kuliko yenyewe inavotuhitaji kwa sababu USA akiwa kiranja wa dunia ana misuse power yake..
nadhani temeshuhudia akitumia nguvu yale kunyanyasa mataifa mengi Libya, Iraq, etc
Hii articlers murua kabisa wale waabudu amerika a ulaya watakuja wakutukane matusi majubwa makubwa hawatakuelewa we subir ..............kwenye jukwaa hili mimi ndo najiona sina kitu kuliko wote, nimefuatilia thread hii toka mwanzo :
nilichogundua hapa nikuwa
Russia wanapoona silaha, za Ukraine zinaongeza makali nao wanaongeza kidogo nguvu,
kwa mtazamo wangu mimi Ukraine wangemaliza hii vita kidiplomasia
huko mbelee Russia watakaza zaidi alafu wanataiharibu nchi yote,,
ila nyuma ya hii op naona kuna kitu wengi huenda hatukijui au tunakijua ila hatukielew....
maana bwana zelewesky nashindwa kumuelew kitu kimojaa..."kwani kujiunga NATO na kutojiunga mkaishi na jirani yako kwa amani shidaa iko wapo?"
kwani NATO wana faida gani kubwa ambayo inaweza kureplace maisha ya watu na miundo mbinu inayoharibiwa kila uchwao ?
au mimi ndo sijui ?
faida gani member wa NATO wanapata kinacholingana na kila Ukraine inapoteza ?
na uchumi wa dunia unatatizika kiasi hiki ?
kila siku nasikia wataalamu mbalmbl wanasema Russia ili miscalculate resistance ya Ukraine, lakin mimi nahis USA ndo ili miscalculate response ya RUSSIA kwa Ukraine kujiunga NATO,,,,
ila kwa kutumia historia tu, mimi binafsi nafikiri Russia pia hajakurupuka kwenye hili,,,, huenda hii vita ikatufikisha mahali AMBAPO sis third world countries hatukutegemea..........
wengi tunafikiri RUSSIA kakosea sana,
lakin siku chache hizi nimeona china ikitaka kuweka millitary base solomon island USA NA Australia wamekuwa wakali sana na wamesem watarespond accordingly,
ndo najiuliza kwa nn wao Ukraine hawafeel the same taste ??
jaman sisi hapa jamiiforum nahis kuna vitu hatuvijui zaidi ya yale tusumayo Google huko....ila mataifa haya yanajuana.....
kwa kifupi tu niseme dunia inahitaji Russia yenye NGUVU kuliko yenyewe inavotuhitaji kwa sababu USA akiwa kiranja wa dunia ana misuse power yake..
nadhani temeshuhudia akitumia nguvu yale kunyanyasa mataifa mengi Libya, Iraq, etc
Na wewe mwenye akili finyu umekuja fata nini huku ......ngedere wewe .....ungepita kushoto tu tuachie uzi kama ulivoUKITAKA KUJUA WATANZANIA WENGI AKILI 0 NJOO FATILIA VITA VYA UKRAINE KWENYE HILI JUKWAA UNAEZA CHEKA...MAANA KUNA WATU WANALIJUA JESHI LA AMERICA KULIKO HATA AMERICA WENYEWE....KUNA WATU WANALIJUA JESHI LA RUSSIA KULIKO HATA PUTIN [emoji1787][emoji1787]
WENGI WAO HATA MANATI HAWAJAWAHI KUSHIKA[emoji1787][emoji1787]
Na Kwa products zinazofanana .. !!! Unajua Marginal Cost of Production!!? Na .Je, Unajua Economies of scale!!?...Ninavofahamu mm kuhusu comparative na absolute.advantage
Comparative advantage ni pale ambapo nchi fulani inauwezo wa kuzalisha bidhaa kwa low cost kuliko mshindani wake
Absolute advantage ni pale ambapo Nchi fulani inaweza kuzalisha bidhaa hiyo ndani ya nchi yke lkn kwa high cost kwaio huona bora kuagiza Nchi jirani kuliko kuzalisha yy
Mtoto wa nzi nimepatia apo au nimekosea?
Upo mulemule... Ambacho ume ki-ngore ni MASOKO ... TANZANIA NA KENYA TUNAZALISHA CHAI ,NDIZI ,PAMBA,KATANI, PARETO ,KOROSHO NA KAHAWA ..KWA GHARAMA GANI!!? HAPO NDIPO UTAIPATA ABSOLUTE NA COMPERATIVE ADVANTAGE.... BIASHARA KUBWA YA KENYA NI IPI KATIKA MAZAO HAYA!!? NA TANZANIA NI YAPI!.... KARIBUNinavofahamu mm kuhusu comparative na absolute.advantage
Comparative advantage ni pale ambapo nchi fulani inauwezo wa kuzalisha bidhaa kwa low cost kuliko mshindani wake
Absolute advantage ni pale ambapo Nchi fulani inaweza kuzalisha bidhaa hiyo ndani ya nchi yke lkn kwa high cost kwaio huona bora kuagiza Nchi jirani kuliko kuzalisha yy
Mtoto wa nzi nimepatia apo au nimekosea?
Mmoja wapo ni ww.UKITAKA KUJUA WATANZANIA WENGI AKILI 0 NJOO FATILIA VITA VYA UKRAINE KWENYE HILI JUKWAA UNAEZA CHEKA...MAANA KUNA WATU WANALIJUA JESHI LA AMERICA KULIKO HATA AMERICA WENYEWE....KUNA WATU WANALIJUA JESHI LA RUSSIA KULIKO HATA PUTIN [emoji1787][emoji1787]
WENGI WAO HATA MANATI HAWAJAWAHI KUSHIKA[emoji1787][emoji1787]