NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
The US will focus on additional sectors of the Russian economy with tougher sanctions - US Secretary of State Blinken.
ni kweli walikuwa hawajajiunga, lakin kasi ile walionyeshaa kutaka kujiunga NATO na doria za marekan ukraine zilitosha kufaham matarajio yao...Kaka asante kwa mawazo - ila Ukraine haikujiunga na NATO. Maana NATO hawakupokea Ukraine. Kama wangeipokea, Urusi isingeshambulia. Hakuna wanajeshi wa NATO huko Ukraine.
mimi sio mchumi, ni SPECIALIST wa CHEMISTRY ila comparative advantage iko hivi:Ninavofahamu mm kuhusu comparative na absolute.advantage
Comparative advantage ni pale ambapo nchi fulani inauwezo wa kuzalisha bidhaa kwa low cost kuliko mshindani wake
Absolute advantage ni pale ambapo Nchi fulani inaweza kuzalisha bidhaa hiyo ndani ya nchi yke lkn kwa high cost kwaio huona bora kuagiza Nchi jirani kuliko kuzalisha yy
Mtoto wa nzi nimepatia apo au nimekosea?m
John Issa kama John Issa... Proud kuona kuna watu wana mitizamo kwa upana kama wewe.kwenye jukwaa hili mimi ndo najiona sina kitu kuliko wote, nimefuatilia thread hii toka mwanzo :
nilichogundua hapa nikuwa
Russia wanapoona silaha, za Ukraine zinaongeza makali nao wanaongeza kidogo nguvu,
kwa mtazamo wangu mimi Ukraine wangemaliza hii vita kidiplomasia
huko mbelee Russia watakaza zaidi alafu wanataiharibu nchi yote,,
ila nyuma ya hii op naona kuna kitu wengi huenda hatukijui au tunakijua ila hatukielew....
maana bwana zelewesky nashindwa kumuelew kitu kimojaa..."kwani kujiunga NATO na kutojiunga mkaishi na jirani yako kwa amani shidaa iko wapo?"
kwani NATO wana faida gani kubwa ambayo inaweza kureplace maisha ya watu na miundo mbinu inayoharibiwa kila uchwao ?
au mimi ndo sijui ?
faida gani member wa NATO wanapata kinacholingana na kila Ukraine inapoteza ?
na uchumi wa dunia unatatizika kiasi hiki ?
kila siku nasikia wataalamu mbalmbl wanasema Russia ili miscalculate resistance ya Ukraine, lakin mimi nahis USA ndo ili miscalculate response ya RUSSIA kwa Ukraine kujiunga NATO,,,,
ila kwa kutumia historia tu, mimi binafsi nafikiri Russia pia hajakurupuka kwenye hili,,,, huenda hii vita ikatufikisha mahali AMBAPO sis third world countries hatukutegemea..........
wengi tunafikiri RUSSIA kakosea sana,
lakin siku chache hizi nimeona china ikitaka kuweka millitary base solomon island USA NA Australia wamekuwa wakali sana na wamesem watarespond accordingly,
ndo najiuliza kwa nn wao Ukraine hawafeel the same taste ??
jaman sisi hapa jamiiforum nahis kuna vitu hatuvijui zaidi ya yale tusumayo Google huko....ila mataifa haya yanajuana.....
kwa kifupi tu niseme dunia inahitaji Russia yenye NGUVU kuliko yenyewe inavotuhitaji kwa sababu USA akiwa kiranja wa dunia ana misuse power yake..
nadhani temeshuhudia akitumia nguvu yale kunyanyasa mataifa mengi Libya, Iraq, etc
Blackmail wakati waliigomea gas.Ulaya vilio kila kona baada ya Bulgaria na Poland kukatiwa gesi na Russia kwa kukaidi kwao kufanya malipo ya gesi kwa kutumia sarafu ya ruble
View attachment 2202817
Duh hizo $43B karibu Trillion 99 za Tanzania.... Haraka haraka unalipa deni lote la taifa tunalodaiwa kwa hapa kwetu kisha wabaki na chechi inayotosha kugharamia budget nzima ya mwaka mmoja hapa TZ...Pamoja na sanctions zote walizowekewa Russia kwny Hii quarter ya kwanza tu corporate tax wanapata zaidi ya $43bil.Hio Ni corporate tax tu bado makodi mengine kibao,Na wapuuzi wanakwambia hio Ni nchi maskini sana
Hawa jamaa viazi sana. Kwani anazalisha gas ndani kwake hadi atumie hii mbinu kudiscourage importation?Tulikua tunasema Africa ina viongozi wa hovyo ila hawa wa EU ndo wamezid kama hawa wa Poland sasa hizo duties zikiongezwa atakaethirika si importer?? Anajua Economics vzr? Ukiongeza duties exporter anaongeza bei
Tupo pamoja.Kula Tano mwanangu... Unbiased ... Totally faceted... Open-minded..... Barikiwa dingi....
Hahahahah walikwenda kufanya nini huko naona kuna spy wao kashaliwa kichwa na Dolphin wa Putin😅Marekani yasema setiliti zake zimeonesha Russia kamwaga jeshi lake la 🐬🐬 🐬 waweze kulinda melivita zake kutokana na kidudumtu yeyote atakayetaka kufanya mashambulizi ya kuvizia kwa kuogelea ndani ya bahari (chini ya surface ya maji ya bahari)
View attachment 2203199 View attachment 2203200