Special force ya Russia hizi wazidake zikiwa nzimaWakubwa wanavimbiana kiainaView attachment 2203229
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Zisilipuliwe.
Special force ya Russia hizi wazidake zikiwa nzimaWakubwa wanavimbiana kiainaView attachment 2203229
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Asante, ila sioni kasi. Maana Ukraine walitaka kuingia tangu miaka 14 hawakukubaliwa (wanachama wote wanahitaji kukubali). Na katika miezi kabla ya vita viongozi mbalimbali walisema haitawezekana kwa Ukraine.ni kweli walikuwa hawajajiunga, lakin kasi ile walionyeshaa kutaka kujiunga NATO na doria za marekan ukraine zilitosha kufaham matarajio yao...
tukisema Ukraine hakuna wanajeshi wa NATO tutakuwa tunajidanganya,
Ukraine hakuna NATO officially lakin wanaoperate unofficially Ukraine....
RUSSIA na NATO wanafinyana gizani kwa silaha na mchana kwa propaganda
Si wanyoshe mikono juu watoke.The UN Office for Humanitarian Affairs is creating a team to coordinate the evacuation of civilians from the Azovstal plant in Mariupol, the organization's Secretary General's office said.
“Today, Wednesday, we had discussions with the authorities in Moscow and Kyiv to develop an operational framework for the evacuation of the civilian population,” said Farhan Haq, deputy spokesman for the Secretary GeneralView attachment 2203129
furahi bac na Ujerumani kakubali.Tayari Hungary, Georgia zimeshakubali kununua kwa rabo, Austria inaelekea huko huko, upo Dunia gani
Kwa hivyo walikuwa wanafanya unyemelevu kwa njia ya bahari wametolewa nduki na papa!!??Marekani yasema setiliti zake zimeonesha Russia kamwaga jeshi lake la 🐬🐬 🐬 waweze kulinda melivita zake kutokana na kidudumtu yeyote atakayetaka kufanya mashambulizi ya kuvizia kwa kuogelea ndani ya bahari (chini ya surface ya maji ya bahari)
View attachment 2203199 View attachment 2203200
Duh hizo $43B karibu Trillion 99 za Tanzania.... Haraka haraka unalipa deni lote la taifa tunalodaiwa kwa hapa kwetu kisha wabaki na chechi inayotosha kugharamia budget nzima ya mwaka mmoja hapa TZ...
Point ya msingi kuwahi kutokea kwenye huu Uzi.kwenye jukwaa hili mimi ndo najiona sina kitu kuliko wote, nimefuatilia thread hii toka mwanzo :
nilichogundua hapa nikuwa
Russia wanapoona silaha, za Ukraine zinaongeza makali nao wanaongeza kidogo nguvu,
kwa mtazamo wangu mimi Ukraine wangemaliza hii vita kidiplomasia
huko mbelee Russia watakaza zaidi alafu wanataiharibu nchi yote,,
ila nyuma ya hii op naona kuna kitu wengi huenda hatukijui au tunakijua ila hatukielew....
maana bwana zelewesky nashindwa kumuelew kitu kimojaa..."kwani kujiunga NATO na kutojiunga mkaishi na jirani yako kwa amani shidaa iko wapo?"
kwani NATO wana faida gani kubwa ambayo inaweza kureplace maisha ya watu na miundo mbinu inayoharibiwa kila uchwao ?
au mimi ndo sijui ?
faida gani member wa NATO wanapata kinacholingana na kila Ukraine inapoteza ?
na uchumi wa dunia unatatizika kiasi hiki ?
kila siku nasikia wataalamu mbalmbl wanasema Russia ili miscalculate resistance ya Ukraine, lakin mimi nahis USA ndo ili miscalculate response ya RUSSIA kwa Ukraine kujiunga NATO,,,,
ila kwa kutumia historia tu, mimi binafsi nafikiri Russia pia hajakurupuka kwenye hili,,,, huenda hii vita ikatufikisha mahali AMBAPO sis third world countries hatukutegemea..........
wengi tunafikiri RUSSIA kakosea sana,
lakin siku chache hizi nimeona china ikitaka kuweka millitary base solomon island USA NA Australia wamekuwa wakali sana na wamesem watarespond accordingly,
ndo najiuliza kwa nn wao Ukraine hawafeel the same taste ??
jaman sisi hapa jamiiforum nahis kuna vitu hatuvijui zaidi ya yale tusumayo Google huko....ila mataifa haya yanajuana.....
kwa kifupi tu niseme dunia inahitaji Russia yenye NGUVU kuliko yenyewe inavotuhitaji kwa sababu USA akiwa kiranja wa dunia ana misuse power yake..
nadhani temeshuhudia akitumia nguvu yale kunyanyasa mataifa mengi Libya, Iraq, etc
Wataelewa tu.Hawa jamaa viazi sana. Kwani anazalisha gas ndani kwake hadi atumie hii mbinu kudiscourage importation?
Hii vita ni ya kiuchumi zaidi,na naona kabisa US atafaidika sana.Ombi la werevu ni Russia ashinde vita dunia itakua salama,mbali ya hapo Africa itatawwliwa upya na us NATO,hii haijifichi on a mfano wa mashirika makubwa duniani tasisi kubwa duniani zinavyo fyata mkia us ikitoa tamko, lakini tukumbuke vita hii imeandaliwa Kwa muda mrefu hivyo kuna mipango inaendelea,kama Israel kuzidi kujitanua pia marekani atakua Dalali mzuri baadae Wa gas.
Russofobia.Mnaona hapo chini? ni kwa wa'dutch hapo... Hilo "dude" limewekewa picha ya Putin pembezoni kuna bango linasema "Hit Putin for One Euro" View attachment 2203208So unasogea hapo unapiga Paa [emoji95] kisha unaacha Euro 1 tu....
Sasa vuta picha mhusika anavuta mpunga kiasi gani [emoji847]... Na hili linawezekana kwa mazuzu tu, sie washamba ndio ila huezi kutuchukilia ela kizembe kiasi hiki...
Dah!Putin warned that Russia would respond with lightning speed to any strategic threats should they arise:
“If someone intends to intervene in ongoing events from the outside and creates unacceptable strategic threats for Russia, they should know that our responses to oncoming strikes will be lightning fast, fast.
We have all the tools for this - such that no one can boast now. And we will not brag - we will use them if necessary. And I want everyone to know this. We have made all the decisions on this matter."View attachment 2202511
Ujerumani hailipi rubel. Wanatumia njia niliyowahi kueleza juu: wanalipa euro kwenye akaunti ya Gazprom nchini Urusi, Gazprom inabadilisha pesa kuwa rubel kwa matumizi yake.furahi bac na Ujerumani kakubali.
Tena sio kazi kidogo.The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.
“An emergency meeting of the Gas Coordinating Group took place today in view of the situation in Poland and Bulgaria. A temporary decision was made to significantly increase gas purchases from Russia through the remaining channels, which will allow Poland and Bulgaria to purchase additional volumes of gas on the European market. The EU is also working with all partners to ensure an increase in gas supplies, primarily liquefied natural gas (LNG),” the source was cited as saying.
The move is aimed to compensate for the lack of supplies to Poland and Bulgaria after Russian energy giant Gazprom announced that it would no longer deliver gas to the two countries due to their refusal to adhere to the new ruble-based gas payment mechanism. Last month, Russia demanded that buyers from “unfriendly” countries open ruble accounts in a Russian bank for the transfer of payments. The measure covers only the countries that placed sanctions on Moscow over Russia’s military operation in Ukraine.
Rt.com
===
Kazi ipo
Wazungu wenye akili walikuwepo Karne ya 17 Hadi 19 TU.EU kama EU...
[emoji95]Russia has halted Gas kwa Poland na Bulgaria kwa kugomea kulipa Gas kwa Ruble...
[emoji95]EU nations wamezidisha manunuzi ya Gas kutoka Russia ili kupata ya kufidia Bulgaria na Poland baada ya kusitishiwa huduma na Russia...
[emoji95]Kisha Poland anadai anaweza ishi bila Natural Gas ya Russia kwa kununua ile ile Gas kutoka Germany tena kwa bei ya juu zaidi...
Sasa hapa anamkomesha nani na anamnufaisha nani [emoji23][emoji23][emoji23] Viongozi wa EU wangese sana.
Kununua kwake Gas kutoka Germany ile ile inayotoka Russia haipunguzi Export volume ya Russia zaidi atawapa faida tu wa'Germany ambao watakula cha u'dalali kama faida kutoka kwenye upuuzi wao...
Atafaidika si ameshaona mazoba ya Ulaya magharibi hayajui kujitikisa yenyewe kila kitu anachosema marekani ni ewala ewala tuHii vita ni ya kiuchumi zaidi,na naona kabisa US atafaidika sana.
Dah....An excellent piece of analysis...thanks .Mkuu, kwa bahati mbaya au nzuri nilipofungua tu, nikaona hiyo mistari hapo niliyokwoti kabla sijaenda kule juu. Nikasema ngoja nimalizane na hili kwanza.
Hakuna asiyekemea uvamizi wa nchi yoyote juu ya nyingine, hasa ukiwa ni uvamizi wa kuonea tu, au kwa maslahi ya pembeni zaidi yasiyohatarisha nchi inayoivamia nyingine
Lakini inabidi pia uangalie kwa makini sana tatizo lililopo hapa kati ya Urusi na washirika wa nchi iliyovamiwa.
Ni hivi: ni kama ile vita baridi ilikuwa bado haijaisha. Hawa jamaa wa magharibi ni kama walijikuta kama vile kuna kitu hawakukimalizia kabisa ili roho zao zitulie. Urusi yenye nguvu, hata kama imejiunga katika mfumo huo huo wa kidunia unaohimizwa na hawa walioshinda vita ya baridi, bado haiwapi utulivu juu ya Urusi yenye nguvu katika eneo hilo la Ulaya.
Bado hawa wakubwa wa Ulaya, wakiongozwa na mkuu wao, wanakuwa na wasiwasi na hili li-nchi kubwa la Urusi lenye nguvu, na ambalo pamoja na lenyewe kukubali kuendesha shughuli zake kama zinavyoendeshwa huko Magharibi, bado hawana utulivu wa moyo juu yake (kuhusu usalama wao, baadae, sijui?); lakini wanaliogopa sana li-nchi hili.
Zaidi ya hayo, huyu mkubwa kabisa aliyebaki kama kinara wa dunia, hata yeye hataki hadhi yake hiyo itiliwe mashaka. Isihojiwe na yeyote awaye. Akikataa jambo, kila mtu aingie mstarini. Ni hulka ya kibinaadam hiyo. Urusi yenye nguvu kila mara itakuwa upande wa pili. Unaikumbuka ilivyokuwa Syria? Au hukufuatilia sinema hiyo.
Nisiende mbali sana na jambo hili, lakini wewe jiulize. Vita Baridi wamekwishashinda. Mpinzani wao mkuu amekwishasambaratika. Kuna haja gani tena ya kwenda kumbanabana kwa kujitanua mpaka mlangoni kwake? Anawaomba 'guarantee' ya usalama wake, mnamzungusha kiujanjaujanja na uongo mwingi.
Jamaa kaweka mstari mwekundu chini, usiuvuke, wao wanadhani anatania!
Halafu ona sasa wanavyozidi kumchochea huyu kibaraka waliyemtoa kama sadaka. Watu wake wanaumizwa, wao wanazidi kuchochea kuni hao watu waumizwe zaidi kwa kutoa silaha na kumpa matumaini kibaraka yasiyokuwepo, kiasi kwamba hata mazungumzo ya kusitisha vita anakuwa hana msimamo wake thabiti wa kuwahurumia raia zake.
Mrusi anapigania usalama wake. Wanambanabana hadi wamtoe roho? Walijaribu kuihadaa Chrchinia, wakakwama, sasa wanatafuta njia za kuesndelea kulegeza mrusi kwa wasiwasi wao tu usiokuwa na msingi.
Ni hayo tu mkuu, ngoja nikasome huko juu.
Kwa hisani ya Kalamu1 nadhani vijana wa pro NATO na US kuna kitu mnaweza kujiongezea hapa.
Wakubwa wanavimbiana kiainaView attachment 2203229
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Habari ni nusu kweli tu. Nchi za Ulaya hawalipi rubel. Badiliko pekee ni wanalipa €$ kwenye benki iliyopo Urusi, badala ya kwenye akaunti za benki katika EU. Wakitumia Benki ya GAZPROM wanalipa €$ na Gazprom inauza pesa ya kigeni kwa benki kuu kununua ruble. Ni mbinu unaoruhusu Urusi kutunza thamani ya ruble na kuruhusu nchi za EU kulipa kwa $€ bila kupita benki kuu iliyo chini ya vikwazo.The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.
“An emergency meeting of the Gas Coordinating Group took place today in view of the situation in Poland and Bulgaria. A temporary decision was made to significantly increase gas purchases from Russia through the remaining channels, which will allow Poland and Bulgaria to purchase additional volumes of gas on the European market. The EU is also working with all partners to ensure an increase in gas supplies, primarily liquefied natural gas (LNG),” the source was cited as saying.
The move is aimed to compensate for the lack of supplies to Poland and Bulgaria after Russian energy giant Gazprom announced that it would no longer deliver gas to the two countries due to their refusal to adhere to the new ruble-based gas payment mechanism. Last month, Russia demanded that buyers from “unfriendly” countries open ruble accounts in a Russian bank for the transfer of payments. The measure covers only the countries that placed sanctions on Moscow over Russia’s military operation in Ukraine.
Rt.com
===
Kazi ipo
Hebu elezea hii kwa mustakabali wa currency risk.Habari ni nusu kweli tu. Nchi za Ulaya hawalipi rubel. Badiliko pekee ni wanalipa €$ kwenye benki iliyopo Urusi, badala ya kwenye akaunti za benki katika EU. Wakitumia Benki ya GAZPROM wanalipa €$ na Gazprom inauza pesa ya kigeni kwa benki kuu kununua ruble. Ni mbinu unaoruhusu Urusi kutunza thamani ya ruble na kuruhusu nchi za EU kulipa kwa $€ bila kupita benki kuu iliyo chini ya vikwazo.
Poland ilikataa kutumia benki ya GAZPROM (sijui labda mkataba wao unataja benki fulani katika Poland?).
Urusi inapiga debe ya propaganda, na watu wa Eu vilevile.
Hali halisi ni njia ya panya yenye unafiki pande zote mbili.