Ni kwamba mzigo ushaingia Ukraine.Wakubwa wanavimbiana kiainaView attachment 2203229
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mikataba yote inataja bei kwa $€. Urusi ilitaka malipo yafike kwenye akaunti ya benki ya Kirusi, maana hapo wanapokea pesa kwa uhakika. Kabla ya vita malipo mengi yaliingia kwenye akaunti za GAZPROM katika nchi za EU, na hapo asili mojawapo ya pesa za Urusi zinazoshikwa sasa kutokana na vikwazo vilivyoanzishwa tangu vita kuanza.Hebu elezea hii kwa mustakabali wa currency risk.
Nini russia anakwepa kwanini alipwe Kwenye benki yak
Unatumia Energy nyingi sana kuwatetea watu wa upindeMikataba yote inataja bei kwa $€. Urusi ilitaka malipo yafike kwenye akaunti ya benki ya Kirusi, maana hapo wanapokea pesa kwa uhakika. Kabla ya vita malipo mengi yaliingia kwenye akaunti za GAZPROM katika nchi za EU, na hapo asili mojawapo ya pesa za Urusi zinazoshikwa sasa kutokana na vikwazo vilivyoanzishwa tangu vita kuanza.
EU walisamehe benki chache za Urusi katika mfumo wa vikwazo kwa sababu walijua wanahitaji njia ya kulipa gesi / mafuta.
Urusi imefaulu kwa sasa kuhifadhi thamani ya rubel kwa
a) kulazimisha makampuni yake kuuza $€ kwa benki kuu
b) kusimamisha biashara huru ya $€ ndani ya Urusi
c) kuzuia wawekezaji wa nje walionunua hisia za makampuni ndani ya Urusi kuuza na kupeleka pesa nje
Hakuna nchi ya Ulaya ilikubali kununua Gas kwa RublesPoland inataka kuwakomoa other EU members ambao wamekubali kununua Gas kwa Rubles.
Sidhani Kama hii proposal wataikubali.
Kifupi amefanikiwa kulinda pesa yake dhidi ya unfriendly countries.Mikataba yote inataja bei kwa $€. Urusi ilitaka malipo yafike kwenye akaunti ya benki ya Kirusi, maana hapo wanapokea pesa kwa uhakika. Kabla ya vita malipo mengi yaliingia kwenye akaunti za GAZPROM katika nchi za EU, na hapo asili mojawapo ya pesa za Urusi zinazoshikwa sasa kutokana na vikwazo vilivyoanzishwa tangu vita kuanza.
EU walisamehe benki chache za Urusi katika mfumo wa vikwazo kwa sababu walijua wanahitaji njia ya kulipa gesi / mafuta.
Urusi imefaulu kwa sasa kuhifadhi thamani ya rubel kwa
a) kulazimisha makampuni yake kuuza $€ kwa benki kuu
b) kusimamisha biashara huru ya $€ ndani ya Urusi
c) kuzuia wawekezaji wa nje walionunua hisia za makampuni ndani ya Urusi kuuza na kupeleka pesa nje
Kwani kiongozi unasubir zikifika zifanyiwe Parade? Mbona Javelin na NLAW mnazionaa. Zitaonekana pale ambapo wenyewe wataamua kuzioneshaYani kila siku silaha zinaonyeshwa kuwa zinapakiwa zinaenda ukraine ila cha kushangaa sijui sinakwama wapi maana hazifiki tuzione kwenye uwanja wa vita
Makelele ya rubel ni propganda tu pande zote mbiliKifupi amefanikiwa kulinda pesa yake dhidi ya unfriendly countries.
Hivyo ukiweza kufungua account kwake ukalipa kwa pesa yeyote hakuna shida.
Hii issue ya wamekubali Rubble au wamekataa haina tena mashiko.
nishati mbadala kaka, umemenuru, ni bure!Unatumia Energy nyingi sana kuwatetea watu wa upinde
Hii Vita bado ni ndefu sana. Na nachoona mbele itakua na athari mbaya kabisa kuwahi kutokea. Ifike kipinde wafanye mchakato wa amani tu.Ni kwamba mzigo ushaingia Ukraine.
Hii vita haitaisha kamwe.
Kama Urusi anajiweza ampige Marekani
Kwa mbinu huo na kwa muda. Kadri hao wa Eu wanafaulu kupata vyanzo mbadala mapato ya Urusi yatashuka. Ni mwanzo tu.Kifupi amefanikiwa kulinda pesa yake dhidi ya unfriendly countries.
...
Naona unakaza FUVU mzee .....Kwa mbinu huo na kwa muda. Kadri hao wa Eu wanafaulu kupata vyanzo mbadala mapato ya Urusi yatashuka. Ni mwanzo tu.
Shida Putin hajaamini 72hrs imechukua more than 60days hajaweza ku achieve chochote ikiwepo kuindoa serikali madarakani.Sasa anataka sehemu ya nchi which you can not get it by war kuna sheria za kimataifa za kugawa nchi sio kwa vita na mashinikizo.Yaani sikujua Putin mjinga hivyo kwa kweli mpaka nime mdharau kabisa bogusHii Vita bado ni ndefu sana. Na nachoona mbele itakua na athari mbaya kabisa kuwahi kutokea. Ifike kipinde wafanye mchakato wa amani tu.
Wakati huo Russia kalala usingizi wa pono!!!?Kwa mbinu huo na kwa muda. Kadri hao wa Eu wanafaulu kupata vyanzo mbadala mapato ya Urusi yatashuka. Ni mwanzo tu.
Kama Marekani anajiweza kwanini asimpige Urusi kumaliza mambo haraka (kuirejesha amani duniani)?Ni kwamba mzigo ushaingia Ukraine.
Hii vita haitaisha kamwe.
Kama Urusi anajiweza ampige Marekani
Transitria kuna nini huko mkuu?Tumeanza kutekenya Transnitria (kama Luhansk na Donesk Hawa nao ni Russian Natives) ... maldova wameomba msaada Romania... Hii op itabadilisha sana siasa za ulimwengu....
Naona unakaza FUVU mzee .....
Wanaoitetea urusi katika mzozo huu wako vizuri sana kwa hoja compared to watetezi wa NATO/Ukraine/USA.John Issa kama John Issa... Proud kuona kuna watu wana mitizamo kwa upana kama wewe.
Adhibitiwe kivovote,🤣🤣🤣Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app