Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Umeandika pumba kama Russia sio kitu kwanini NATO(USA)wanaexpand kuelekea mipaka ya urusi?urusi ni taifa kubwa Sana wamarekani wanataka kutawala dunia Kwa Raha lakini Russia nchi kubwa inazuia wamarekani kufanya hivyo na warusi wanauwezo kijeshi wa kuipiga wamarekani.
Muulize marekani hii hii au nyingine? Marekani ambaye hawezi kwenda vitani bila shoga zake NATO.