mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Hii ngoma mrusi kumeza anaona chungu na kutema nako ni chungu... umeshambulia maeneo 87 ya kijeshi halafu umeua wanajeshi 500! Wastani wa wanajeshi 6 kila eneo! Jeshi la Ukraine liko imara sana!
Hii ngoma mrusi kumeza anaona chungu na kutema nako ni chungu... umeshambulia maeneo 87 ya kijeshi halafu umeua wanajeshi 500! Wastani wa wanajeshi 6 kila eneo! Jeshi la Ukraine liko imara sana!
Nchi za magharibi na hasa USA ni waoga Sana....wanaogopa Vita vya nyuklia ambapo kutakuwa hakuna mshindi isipokuwa the death of capitalism as the world's leading economic system and hence the death of the New World Order (NWO)sikuwepo enzi za mussolin,Hitler n.k
Ila naona Putin anapoelekea ni huko
Kama wasipomthibiti.
Siipendi marekani na washirika wake ila kwenye Vita hii nawaunga mkono100
Asante kwa jibu, angalau mtu mmoja anayetafuta habari kabla ya kumwaga maneno matupu!Naomba nikujibu.
Unaposema ukoloni una maana gani?
Poland haikuwahi kuivamia Urusi?
Unafahamu muungano wa Poland-Lithuania na cossacks wa zaphorozhia?
Haya Mataifa Yana historia zao, visasi vyao na chuki baina yao.
Lakini hauwezi kuuita ukoloni.
Labda tufahamishe nini maana ya ukoloni?View attachment 2201407View attachment 2201408
Bado unaendelea kulinganisha mambo ambayo si sawa. Ukraine haikujitenga na Urusi katika karne hii. Nchi hizi zilitengana (kwa makubaliano, Putin anayalilia leo) miaka 100 iliyopita (kabla Tanganyika kutengana na Uingereza).Mkuu hapo utofauti ni Time-period hata California ilikuwa huru kabla USA hajaivamia na ilatambulika kama Taifa kisheria.
Na huu mfano wa California hauna utofauti na Ukraine,jibu swali rahisi sana Leo hii Urusi akatengeneza propaganda California ikajitenga-kisha waanzishe ushirikiano na Urusi dhidi ya USA wewe ukiwa Rais wa USA utafanyaje???
Pro Russia wengi sio Realistic kabisa yaani hawashangai Waziri wao wa Ulinzi anavolia Lia Ukraine wasipelekewe Silaha...
Vita na Uchumi ni pipa na mfuniko, huwezi tenganisha... Western countries wao Wana refusha vita, Ukraine yeye Washirika waje ni mataifa Tajiri, Russia washirika wake ni Tanzania na Eritrea.
Kifaru kimoja tu ni Zaidi ya Billion 10 za Tanzania, hapo hujazungumzia makombora, na mizinga mingine... In short na wazungu wanazidi kusogeza muda wa kuachana na Mafuta na Gesi ya Urusi, baada ya miezi kadhaa Soko la Russia la Mafuta linakuwa Nchi masikini za Asia
Kaenda kuhesabu au amekusia tuHii ngoma mrusi kumeza anaona chungu na kutema nako ni chungu
Just In...
Poland wamekatiwa Gas uko wanalalama hawajapewa taarifa [emoji23]
Poland imekatiwa gesi na Russia...akili itawakaa sawa sasa
View attachment 2201737
Mpaka hii vita kuisha basi USA atakuwa katimiza kile anacho kiamini, kwani wanaamini urusi atapoteza nguvu ya kijeshi kwa asilimia kubwa.
Kama ni mtego basi Putin kajaa maana Ukraine imemfanya atumie nguvu ambayo hakutegemea ataitumia,
Then kawa exposed, ni easy kumpiga mtu kwa kufatilia mapigano yake yaliopita.
#[emoji897][emoji897][emoji897]View attachment 2201756
Urusi ipi imeshindwa hata na Ukraine from 72hrs to 64days old bado anapiga piga vibomu Ukraine. Finland na Sweeden wameshajiunga NATO urusi bado inarusha vibomu tu na operation mbuziMarekani haiwezi Russia kivita ataishia kulia lia na kupiga kelele ila hauwezi mziki wa Russia yeye size zake ni iran, iraq, libya nk nk.
Sawasawa, asante kwa taarifa! je hakuna Mrusi aliyeuawa? Kuna faida gani kutoa hapa taarifa za aina hiyo???Urusi inadai kuwaua takriban wanajeshi 500 wa Ukraine usiku wa jana.
Wizara ya ulinzi ya Urusi inadai kuwa iliwaua wanajeshi 500 wa Ukraine usiku kucha baada ya jeshi lake la anga kushambulia maeneo 87 ya kijeshi nchini Ukraine.
Maghala mawili ya silaha katika eneo la Kharkiv yanasemekana kuwa miongoni mwa shabaha zilizopigwa.
Wizara hiyo pia ilichapisha video kwenye tovuti yao inayoripotiwa kuonyesha kambi ya kuhifadhi na kukarabati wanajeshi wa Ukraine ambayo wanadai kuwa wameichukua.
Mizinga ya kijeshi na magari mengine yanaweza kuonekana kwenye video hiyo.
Inasemekana kuwa na risasi, silaha, nyaraka na vifaa vingine vya jeshi la Ukraine.
Lakini Warusi watu wazuri!! Wamesubiri hadi baridi imekwisha, sasa wapoland hawahitaji tena gesi ya heating hadi Oktoba. Kweli ni utu mkubwa kuwapa muda watafute vyanzo vipya hadi wakati ule.Just In...
Poland wamekatiwa Gas uko wanalalama hawajapewa taarifa [emoji23]
Si tuna habarika jamani, thread ipo kwa ajili ya yanayotokea huku ukraine. Ulitaka nikapost wapi sasaSawasawa
Sawasawa, asante kwa taarifa! je hakuna Mrusi aliyeuawa? Kuna faida gani kutoa hapa taarifa za aina hiyo???