Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220426-182431.jpg
Screenshot_20220426-182438.jpg
 
... umeshambulia maeneo 87 ya kijeshi halafu umeua wanajeshi 500! Wastani wa wanajeshi 6 kila eneo! Jeshi la Ukraine liko imara sana!
 
... umeshambulia maeneo 87 ya kijeshi halafu umeua wanajeshi 500! Wastani wa wanajeshi 6 kila eneo! Jeshi la Ukraine liko imara sana!
Kwa mfumo wa kijeshi ni sawa kabisa....jeshin wanajeshi hawajirundiki kama kuku wanakaa point so target moja kuua wanajeshi 5 au 6 ni sawa ila kuua 50 ni ngumu sana ....labda wakiwa kwenye parade
 
Mkuu ujue wewe unaingea vitu rahisi sana,emu jaribu kufikiria Jimbo la California ambalo lilichukuliwa kimabavu ili kuunda USA Leo hii hilo Jimbo liamue kujitenga kama Nchi-halafu badaye liungane na Urusi kuunda umoja wa kujihami dhidi ya USA.

Wewe ukiwa kama Rais wa USA utachukua hatua gani??
Huo mfano wa kitoto...
 
Back
Top Bottom