Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yanatatuliwaje!?

Mfano hilo la watu 6 kuchota bilioni BOT tunaweza kulitatua vipi!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna sehem nimepita mekutana na haya majibu nikabaki mdomo wazi
LLnQiL_20220426_164947.jpg
TZ bila kujichetua akili unaeza ishi kwa taaabu sana... [emoji23][emoji23] Ani kila kitu hakipo sawa...

Imagine hilo jawab kapewa aliyekuwa anahoji kuhusu issue hizo hizo za matumizi mabaya ya fedha za Umma.
 
Watu wamekariri kuangalia budget ya US ilivyo kubwa kwenye ulinzi, ndipo wanakariri Russia ipo weak kisa budget😁🤣🤣🤣

Hio budget yao ya ulinzi ya Russia ni effective kama hio budget ya USA ilivyo na nikikuambia inatosha kukabiliana na USA na chenji inabaki utashangaa.

Hapa tunazungumzia masuala ya PPP, Russia ni nchi iliyojaaliwa mali asili, wana madini mbali mbali ambayo yanahitajika katika shughuli za kiviwanda za kisasa.
Russia ni nchi tajiri sana kwenye mali asili wana kila aina ya madini kama boron, bauxite, vanadium, titanium sponge, tin, tungsten, potash, sulfur, silicon, rhenium, steel, pig iron, nickel n.k n.k
Hawa jamaa wana oil na natural gas, wana madini yenye thamani kubwa kama copper, ruby, almasi, pia wana makaa ya mawe n.k n.k wana taka taka nyingi sana ya hizi mali asili ardhini.

Russia imekua ikielezwa ndio tajiri kwenye mali asili duniani, japo naweza sema ni moja ya nchi zilizobarikiwa mali asili.

Kuna wengi hawajui hili shirika ambapo founder ni Vladimir Putin mwenyewe, likiitwa Rosatom.

Rosatom ni shirika kubwa sana, hawa jamaa wana teknolojia za kisasa kabisa kwenye masuala mazima ya nuclear energy, ndio shirika linaongoza kwa kutoa huduma za kiteknolojia kwenye masuala ya nguvu za atomiki duniani, hawa jamaa wanachangia kwa 76% duniani kote kwa huduma zao.

Hawa jamaa sio tu wanajihusisha na masuala ya nguvu za nuclear bali pia wana deal na tafiti mbali mbali za kisayansi zisizohusiana na masuala ya nuclear, hawa kwenye tech usiwapimie.
Haya masuala ya nuclear medicine, kama haya masuala ya CT scan, PET scan n.k hawa ndio mambo yao sasa, hapa ni matumizi ya radioactive katika uponyaji na uchunguzaji(diagnosis) kwa ujumla wake.

Hawa jamaa wanahusika pia na nuclear fuel, urutubishaji wa uranium, uchimbaji wa uranium, kutengeneza vinu vya nuclear n.k siwezi list vyote.

Hapo 2020 hawa Rosatom waliingiza uranium hapo USA ambapo ulikuwa ni mchango wa asilimia 16 pia hawa jamaa sio kuuza tu walifanya na urutubishaji wa uranium hio hapo USA.

Nimesema kidogo kuhusu uranium kwa sababu upate picha kamili ya kwamba Russia atatumia gharama ndogo kutengeneza silaha za kisasa, uranium anayo na mpaka anaiuza, Russia anauza uranium yake kwa faida which means USA watatumia gharama kubwa kuwa na silaha ya kisasa aliyonayo Russia, hako ni ka mfano kadogo upande wa uranium tu.

Nitakuja kuelezea kwa undani zaidi, haya masuala ya gas ya Russia na ushawishi wake nilishaweka humu uzi nikaelezea haya yanayotokea hivi sasa kuhusu umuhimu wa Russia kwa nchi za Ulaya, ule uzi utafute una kichwa cha habari Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Nilizungumzia mambo mengi mengi sana humo.

Sasa kusema Russia ni nchi masikini kisa ina budget ndogo kijeshi wanakosea sana, huwezi kujiuliza kwa nini licha ya budget ya ulinzi ya USA kuwa mara 10 zaifi ya Russia lakini Russia ni nchi ya pili duniani kwa nguvu za kijeshi?🤣😁😁. China inaizidi Russia budget ya ulinzi.

Taifa la pili duniani kwa nguvu za kijeshi na ambalo linaongoza duniani kwa kumiliki silaha za nuclear unakuja ku comment kabisa eti watapigwa na Ukraine🤣🤣🤣

Nitakuja na uzi wenye facts tupu kuhusiana na huu mgogoro na tutajadili na members humu.

Asante.
 
Kuna tofauti ya Umoja wa kiuchumi na umoja wa Kijeshi.

Je, NATO ni umoja wa Kiuchumi kama sivyo, unaufananaishaje na Jumuiya ya afrika mashariki ambayo ni umoja wa kikanda kwenye masuala ya uchumi ukiutolea mfano wako wa DRC.

Duniani kote hakuna himaya isiyojitanua kwa kutumia mabavu ya Kijeshi.

Sio wachina, Warusi au Wamarekani.
Unafikiri kwa nini Marekani walipinga na wataendelea kupinga kuanzishwa kwa jeshi la umoja wa Ulaya.

Dunia imebadilika ambapo Sasa maendeleo ya sayansi na Teknolojia yamefanya Mataifa kuja na hybrid warfare.

1) VIKWAZO
Nani hajui kwamba vikwazo vya kiuchumi vinatumia na Mataifa ya Magharibi dhidi ya maadui zake hivyo kufanya economic war.

2)Mbinu za ujasusi za Maandamano na kupindua.

Nani hajui Maandamano mengi, huandaliwa na Mashirika ya majasusi ya kigenibili waweze kupitisha sera zao, au kupindua serikari iliyopo madarakani ili waweke watu wao.
Mfano Venezuela, Egypt, Kazakhstan

3) Mapinduzi ya Kijeshi (coup' d tat)
Haya tumeyaaona kwa in service ambao wapo kwenye Mataifa mbalimbali kupindua kwa ajili ya maslahi ya Mataifa ya kigeni na maslai yao

Mfano afrika ya Magharibi na kinachoendelea kufanywa na Wafaransa.

4) Kuanzishwa kwa vikundi vya waasi na kuvipa siraha na nyenzo nyingine za kifedha.

Sina haja ya kukielezea hilo, maana kila mtu analijua

5)Vita halisi (Actual war)
Naona amejaribu kidogo kuchambua kwamba wanajitanua bila uwanja wa vita,

Ukiangalia ameangalia tu bara la Ulaya,
Je wanavyojitanua Mashariki ya kati bila vita, Amerika ya kusini bila vita.

Tukiacha kuwa wanafiki, USA anatumia mbinu zote mpaka vitisho.
Tuendelee na kuchambua wakulungwa
Unafahamu kuwa EU Wana clause ya Mutual Defence?

You can not protect your political or economical ideology without any form of Defence.

Mfano AU au EAC sio military alliance lakini mara nyingi wamekuwa na military forces kusaidia Ulinzi kwenye mipaka yake
 
Kutokana na matusi na ujinga uliojaa humu, nimeamua kujiondoa kutoka kwa huu Uzi.
We sema tu umeona ngoma ngumu ukaamua usepe huna lolote tutakuona hapa ukisikia sijui kuna kamlipuko cha mchongo kwa warusi wenzetu mbioo tutakuona haya tusalimie na kwa ufupi tu siku ukirudi humu utakuta tushakamata vimji vyote vya ukraine yako.
 
Hili hawaliongelei kabisa kwa sasa,tangu lini mwenye njaa akachagua chakula,kwa sasa Pro Putin wamekuwa kama chombo kilichokosa mwelekeo baharini,walisharukia hadi uchaguzi wa France na matokeo walikuwa nayo mfukoni mwao[emoji3][emoji3],uhalisia umekuja kuonekana,wamekaa kimya kama siyo wao
Pro Russia wengi sio Realistic kabisa yaani hawashangai Waziri wao wa Ulinzi anavolia Lia Ukraine wasipelekewe Silaha...

Vita na Uchumi ni pipa na mfuniko, huwezi tenganisha... Western countries wao Wana refusha vita, Ukraine yeye Washirika waje ni mataifa Tajiri, Russia washirika wake ni Tanzania na Eritrea.

Kifaru kimoja tu ni Zaidi ya Billion 10 za Tanzania, hapo hujazungumzia makombora, na mizinga mingine... In short na wazungu wanazidi kusogeza muda wa kuachana na Mafuta na Gesi ya Urusi, baada ya miezi kadhaa Soko la Russia la Mafuta linakuwa Nchi masikini za Asia
 
Urusi inadai kuwaua takriban wanajeshi 500 wa Ukraine usiku wa jana.

Wizara ya ulinzi ya Urusi inadai kuwa iliwaua wanajeshi 500 wa Ukraine usiku kucha baada ya jeshi lake la anga kushambulia maeneo 87 ya kijeshi nchini Ukraine.

Maghala mawili ya silaha katika eneo la Kharkiv yanasemekana kuwa miongoni mwa shabaha zilizopigwa.

Wizara hiyo pia ilichapisha video kwenye tovuti yao inayoripotiwa kuonyesha kambi ya kuhifadhi na kukarabati wanajeshi wa Ukraine ambayo wanadai kuwa wameichukua.

Mizinga ya kijeshi na magari mengine yanaweza kuonekana kwenye video hiyo.

Inasemekana kuwa na risasi, silaha, nyaraka na vifaa vingine vya jeshi la Ukraine.
 
Ila ukiwa Mmarekani unayatatua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii theory yako ni ya wale wa Kanitupia kinyesi nikakidaka nikamtupia.

Utimu ndo kinyesi, unakirusha mwenzio anakidaka anakirusha mnatapakaa mavi. Katafute mmarekani umrushie mm nakukwepa.
 
Do Moldova now.

Did NATO sink the MOSKVA, or was it Western sabotage from within?​

moskvasinkingmeme-1024x573.jpg
Neither NATO nor Russia is telling us what really happened with the Moskva, the legendary admiral ship of the Black Sea fleet.
NATO because in theory, they know. Moscow, for its part, made it clear they are not saying anything until they can be sure what happened.
One thing is certain. If the Russian Ministry of Defense finds out that NATO did it, they will let loose all the dogs from Hell on NATO, as in “asymmetrical, lethal and fast”.
On Moskva’s location: it was positioned near one of 3 drilling rigs, used for monitoring a whole sector of the Black Sea with hydrophones and NEVA-BS radar, the most westward one, BK-2 Odessa, approximately 66 km northeast from Snake Island. The whole thing was integrated in the regional monitoring systems. As in everything, literally, was monitored: ships, low flying targets, smaller echoes, even the bobbing head of an unsuspecting swimmer.
So there was a quite slim chance that anything – not to mention subsonic Neptune missiles and Bayraktar drones – could have slipped through this aerial net.
So what could have possibly happened?
It could have been some kind of underwater drone, released either from some sneaky sub, or by a SBS team, coming from the western coast, with a stopover at Snake Island. Then that drone somehow managed to drill itself through the Moskva’s hull from below – and exploded its payload inside.
What follows comes from a top source in Brussels: serious, trustworthy, proven record spanning nearly two decades. Yet he may be just spreading disinformation. Or bragging. Or that may be rock solid intel.
Before we start, we should point out it’s hard to believe the Neptune/Bayraktar fairytale angle. After all, as we’ve seen, the Russian fleet had established a multidimensional surveillance/defense layer in the direction of Odessa.
The Moskva was near Odessa, closer to Romania. A year ago, the source maintains, a new phased array locator was installed on it: the illumination range is 500 km. According to the standard Ukrainian narrative, first the Moskva was hit by a drone, and the locators and antennas were smashed. The Moskva was half blind.
Then – according to the Ukrainian narrative – they launched two Neptune cruise missiles from the shore. Guidance was carried out by NATO’s Orion, which was hanging over Romania. The missiles zoomed in on the ship with the homing heads turned off, so that the radiation beam would not be detected.
So we have guidance by NATO’s Orion, transmitting the exact coordinates, leading to two hits, and subsequent detonation of ammunition (that’s the part acknowledged by the Russian Ministry of Defense).
A strategic hit
The Moskva was on combat duty 100-120 km away from Odessa – controlling the airspace within a radius of 250-300 km. So in fact it was ensuring the overlap of the southern half of Moldova, the space from Izmail to Odessa and part of Romania (including the port of Constanta).
Its positioning could not be more strategic. Moskva was interfering with NATO’s covert transfer of military aircraft (helicopters and fighter jets) from Romania to Ukraine. It was being watched 24/7. NATO air reconnaissance was totally on it.
As the Moskva “killer”, NATO may have not chosen the Neptune, as spread by Ukrainian propaganda; the source points to the fifth-generation NSM PKR (Naval Strike Missile, with a range of 185 km, developed by Norway and the Americans.)
He describes the NSM as “able to reach the target along a programmed route thanks to the GPS-adjusted INS, independently find the target by flying up to it at an altitude of 3-5 meters. When reaching the target, the NSM maneuvers and deploys electronic interference. A highly sensitive thermal imager is used as a homing system, which independently determines the most vulnerable places of the target ship.”
As a direct consequence of hitting the Moskva, NATO managed to reopen an air corridor for the transfer of aircraft to the airfields of Chernivtsi, Transcarpathian and Ivano-Frankivsk regions.
In parallel, after the destruction of the Moskva, the Black Sea Fleet, according to the source, “no longer seems to have a ship equipped with a long-range anti-aircraft missile system”. Of course a three-band radar Sky-M system remains in play in Crimea, capable of tracking all air targets at a range of up to 600 km. One wonders whether this is enough for all Russian purposes.
So what do we really have here? Fantasy or reality? There was only one way to know.
I ran the info past the inestimable Andrei Martyanov, who knew the Moskva “as Slava in 1981 when she was afloat in the Northern Bay of Sevastopol and my class which was at first summer practice on board of old cruiser Dzerzhinsky was given an extensive introduction to her. So, she was an old lady and it is too bad that she had to finish her long life this way and at this time.”
Martyanov, once again, was the consummate professional, stressing no one, at this stage, really knows what happened. But he made some crucial points: “Per NSM (if we accept this version), even with its Low Observability and GPS guidance under normal (that is sea up to state 5-6) and normal radio-permeability, even the Moskva’s old frigate radar would have seen those missiles in distances of tens of kilometers, somewhere between 15-20 for sure. NSM, as any NATO anti-shipping missile, are subsonic, with their velocity roughly 300 meters per second. That leaves, even in a 15 kilometer range, 45 seconds to detect track and develop a firing solution for whatever ‘on duty’ AD complex. More than enough reaction time.”
Martyanov also stresses, “it is impossible to hide the external impact of the anti-shipping missile – one will immediately know what hit the ship. Moreover, to hit and sink such a target as the Moskva one has to launch a salvo and not only two missiles, likely 3-4 at least. In this case, Russia would know who attacked Moskva. Does NATO know? I am positive this event has NATO written all over it, if it is not an internal sabotage which absolutely cannot be excluded at this stage. I am sure if Nebo was operational it would have seen the salvo.”
Which brings us to the inevitable clincher: “If NATO was involved, I am sure we will see some retaliation, after all, as I am on record all the time, US bases in Middle East and elsewhere are nothing more than fat prestigious targets.”
So get ready: something lethally “asymmetrical” may be about to pop up.
___
The Moskva Riddle
 
Wanachapika sana Ukraine.. Alafu aliyewaponza bado kafyata mkia hathubutu kufanya chochote wakati aliahidi atamsaidia kwa hali na mali..

Safi sana Russia, hapa unacreate heshima kwa dunia kwa kubalance power. Kuanzia sasa hakuna nchi kuonewa onewa ovyo sababu tu wamegoma kuwa controlled na hao USA..​
 
Pro Russia wengi sio Realistic kabisa yaani hawashangai Waziri wao wa Ulinzi anavolia Lia Ukraine wasipelekewe Silaha...

Vita na Uchumi ni pipa na mfuniko, huwezi tenganisha... Western countries wao Wana refusha vita, Ukraine yeye Washirika waje ni mataifa Tajiri, Russia washirika wake ni Tanzania na Eritrea.

Kifaru kimoja tu ni Zaidi ya Billion 10 za Tanzania, hapo hujazungumzia makombora, na mizinga mingine... In short na wazungu wanazidi kusogeza muda wa kuachana na Mafuta na Gesi ya Urusi, baada ya miezi kadhaa Soko la Russia la Mafuta linakuwa Nchi masikini za Asia
Analia!??? ama anatoa warning!!
ma ELGBT akili zao huwa ni fupi sana?
 
Back
Top Bottom