Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We dogo hakuna airdefense ya kumzuia Urusi atachange missile type mnafikiri Urussi ni Libya??
Je unaweza kuunda
sentensi inayoeleweka? Siyo alisema warusi wanaogopa defence ya Ukraine? Hivyo hao wageni wanaweza kusafiri jinsi wanavyotaka? Au ulitaka kusema Nini?
 
Nilichogundua kuna watu wengi sana huwa hawakuelewi kabisa Mkuu,huwa wanaparamia kujibu comment zako[emoji3][emoji3]
Unajua mkuu tatizo ni kuukana uraia wa Tanzania na watu wake ndo maana hatuelewani na baadhi ya watu humu.

Mfano Kuna Member anafurahi akishangilia na kusema, yoyote atakeyeigusa Urusi, Urusi itafungulia nyuklia na ndo utakuwa mwisho wa hiyo nchi na dunia nzima.
Sasa unabaki unajiuliza, huyu ni Mtanzania huu uzalendo kwa Urusi ameutoa wapi?

Yaani majirani wanagombana, ugomvi wao haukuhusu, Mmoja wa wanaogombana anatishia kuchoma nyumba zote mpaka ya kwako unayoishi, halafu wewe unamshangilia 😂
 
Mkuu ujue wewe unaingea vitu rahisi sana,emu jaribu kufikiria Jimbo la California ambalo lilichukuliwa kimabavu ili kuunda USA Leo hii hilo Jimbo liamue kujitenga kama Nchi-halafu badaye liungane na Urusi kuunda umoja wa kujihami dhidi ya USA.

Wewe ukiwa kama Rais wa USA utachukua hatua gani??
You can't change someone who doesn't see an "Issue" in their actions... Alisikika Galip Q akimwambia Econometrician
 
Unajua mkuu tatizo ni kuukana uraia wa Tanzania na watu wake ndo maana hatuelewani na baadhi ya watu humu.

Mfano Kuna Member anafurahi akishangilia na kusema, yoyote atakeyeigusa Urusi, Urusi itafungulia nyuklia na ndo utakuwa mwisho wa hiyo nchi na dunia nzima.
Sasa unabaki unajiuliza, huyu ni Mtanzania huu uzalendo kwa Urusi ameutoa wapi?

Yaani majirani wanagombana, ugomvi wao haukuhusu, Mmoja wa wanaogombana anatishia kuchoma nyumba zote mpaka ya kwako unayoishi, halafu wewe unamshangilia [emoji23]
Wacha wajiliwaze maana wakifikiria kuwa mzalendo Kwa nchi ambayo watu 6 wamechukua 6bln tena BOT inahitaji moyo
 
Unajua mkuu tatizo ni kuukana uraia wa Tanzania na watu wake ndo maana hatuelewani na baadhi ya watu humu.

Mfano Kuna Member anafurahi akishangilia na kusema, yoyote atakeyeigusa Urusi, Urusi itafungulia nyuklia na ndo utakuwa mwisho wa hiyo nchi na dunia nzima.
Sasa unabaki unajiuliza, huyu ni Mtanzania huu uzalendo kwa Urusi ameutoa wapi?

Yaani majirani wanagombana, ugomvi wao haukuhusu, Mmoja wa wanaogombana anatishia kuchoma nyumba zote mpaka ya kwako unayoishi, halafu wewe unamshangilia [emoji23]
Nakujua sana kwa sasa unavyowavutaga taratibu kuwaleta kwenye hoja,wakiingia kwa 18 zako unagonga penyewe,mtu anapotea harudi tena kujibu [emoji3][emoji3]
 
Mkuu ujue wewe unaingea vitu rahisi sana,emu jaribu kufikiria Jimbo la California ambalo lilichukuliwa kimabavu ili kuunda USA Leo hii hilo Jimbo liamue kujitenga kama Nchi-halafu badaye liungane na Urusi kuunda umoja wa kujihami dhidi ya USA.

Wewe ukiwa kama Rais wa USA utachukua hatua gani??
Mfano unaoleta haulingani na Ukraine hata kidogo.
Kisheria Ukraine ilikuwa nchi ya pekee tangu miaka 100 iliyojiunga katika Umoja wa Kisovyeti chini ya katika iliyoruhusu kila nchi kujitenga na kuondoka tena. Mwaka 1991 Ukraine na Urusi waliamua pamoja kuondoka katika Umoja wa Kisovyeti, kila mmoja kama nchi ya pekee. Je tuko pamoja katika historia hii??
 
Mkuu kwani pale USA kuna states ngapi hazikuwa kwenye muungano wa USA??.vipi likatokea Taifa likaanza propaganda kwa kushirikiana na hizo states ambazo nazo zilichukuliwa kimabavu ili kuunda USA??.

Au ndio Mkuki kwa nguluwe kwa binadamu mchungu.
Unataka kulinganisha nini? Nisipokosei unarejelea karne ya 19 ambako ukoloni ulikuwa kawaida, wakoloniwakubwa walikuwa Uingereza (koloni za ng'ambo) halafu Urusi na Marekani (ukoloni wa nchi jirani).
Tangu miaka 100 tulipatana duniani kwamba vita isikubaliwe tena kama njia ya kubadilisha mipaka na watu watumie majadiliano na mapatano. Utaratibu huu ulianza kwenye Shirikisho la Mataifa (Nations League), ikaporomoka katika vita kuu ya pili, ikaanzishwa upya baada ya vita kuu ya pili kwa kuundwa kwa Umoja wa Mataifa (United Nations) na kuimarishwa kwa sheria ya kimataifa.
Tukiangalia kipindi hiki kipya -ambacho ni lazima kutokana na kuwepo kwa silaha kali za nyuklia na uwezo wa kuangamiza binadamu yote- unajua vita ngapi ambako nchi moja ilijaribu kushambulia nchi yingine kwa shabaha ya kuimeza au kumeza sehem ya eneo lake? Mimi namkumbuka sasa Saddam Hussein tu jinsi alivyotangaza Kuweit si nchi halisi na kuvamia. Halafu Putin aliyetangaza Ukraine si nchi halisi na kuvamia. Nani tena?
 
*RUSSIA INFORMS AT A MEETING OF THE UN SECURITY COUNCIL THE LOCATION OF US LABORATORIES DEVELOPING BIOWEAPONS IN 36 COUNTRIES AND AFFIRMING THAT THE CURRENT VIRUS WAS DEVELOPED BY THE US.
BEFORE US DENIAL, CHINA CHALLENGES YOU TO ACCEPT AN INTERNATIONAL INVESTIGATION OF ITS LABORATORIES!
THE MASK OF THE "EVIL EMPIRE" IS BEING TAKEN OFF!*

BIRDS OF MASSIVE DESTRUCTION, NEW WEAPON OF THE PENTAGON

Urgent message from Ignacio Ramonet about biological warfare made in the USA – Reality is more brutal than the worst of nightmares – Imperialism is terrorism
Beatriz Talegón - 03.30.22 - resist.info

“Urgent” is how journalist Ignacio Ramonet, director of Le Monde Diplomatique, begins to explain what happened in the UN Security Council. Here's what it says:
In a noisy UN Security Council meeting, held at the request of Russia, on the development of US biological weapons inside Ukraine, the following became evident:
1- The Russian delegate delivered documents and evidence to be recorded in the minutes of the session, which confirm the following:
• Official funding from the Pentagon for an “apparent” biological weapons program in Ukraine
• Names of US persons and companies specializing in the evidence and documents involved in this program
• The location of the laboratories in Ukraine and the attempts made so far to hide the evidence.
2- Another surprise from the Russian representative was announcing the locations of US laboratories that manufacture and test biological weapons in 36 countries around the world (an increase of 12 countries in relation to the previous session).
3- The Russian delegate specified the diseases and epidemics, the means for their release, the countries in which they are being tested and when and where the experiments were carried out with or without the knowledge of the governments of these countries.
4- The Russian delegate publicly confirmed that among the experiments and the effects is the virus responsible for the current pandemic and the large number of bats used to transmit this virus.
5- The United States denies it. In France and in Great Britain, its allies, the reflex between their peoples is very violent.
6- The World Health Organization denies having knowledge of the existence of biological experiments in Ukraine and says: All our information is that they are medical research laboratories to fight diseases (and Russia proves, with evidence, regular correspondence and visits by experts from WHO to suspected US laboratories around the world).
7- China attacks everyone and says to the US delegate: “If you deny and are sure of your innocence, why do you desperately refuse to allow an investigation by experts to be carried out in order to find out the truth, especially with documents and hard evidence?”
For those who want to know what the numbered birds are... and how the United States kills the world without a single shot... I leave the information here:
Birds of Mass Destruction
Russia did not expect to discover, as part of its military campaign in Ukraine, numbered birds produced by biological and bacteriological laboratories in Ukraine financed and supervised by the US.
But what are the numbered birds?!
After studying the migration of birds and observing them throughout the seasons, environmental specialists and zoologists will be able to know the path these birds take each year on their seasonal journey, including those that travel from one country to another and even from one continent to others.
Here comes the role of the intelligence services of the parties that carry out a malevolent plan. A group of these migratory birds are “detained”, digitized and provided with a capsule of germs that carry a chip to be controlled through computers. They are then released again to join migratory birds in countries where damage is planned.
These birds are known to take a route from the Baltic Sea and the Caspian Sea to the African continent and Southeast Asia, as well as two other flights from Canada to Latin America in spring and autumn. During its long flight, its movement is monitored step by step by means of satellites and its exact location is determined. If they want, for example, to harm Syria or Egypt, the chip is destroyed when the bird is in their skies. Kill the bird that falls carrying the epidemic. Thus, diseases spread in this or that country. In this way, the enemy country is harmed at no military, economic and political cost.
The numbering of migratory birds is considered a crime by international law, because they are birds that penetrate the sky and air of other countries. If you supply them with germs, then this bird becomes a weapon of mass destruction. Therefore, in international law, it is considered prohibited to use birds to launch deadly attacks against an opponent. Anyone who commits such an immoral and inhumane act is punished. The US does not tremble at any punishment, for no one dares to punish it. But they tremble before the stigma that will accompany their life and their complete exclusion as a credible country, even before their allies.
The Russians have a strong pressure card when they say they captured the birds. This means that the Americans were caught with their hands in the dough, with all the details contained that prove the decisive condemnation. This forces us to think about the possibility that all the viruses that have infected humans in this century, especially the last ones, such as the Ebola that affected Africa, anthrax, swine and avian flu, and currently Covid-19, all come from funded laboratories. and administered by the US. And this is what prompted China to submit an urgent, serious and strict request to carry out an international investigation into the sudden emergence of the coronavirus. It is very likely that the United States used migratory birds to kill Chinese citizens.
The serious thing is that the US scandals are on the rise.

See also:
Fox News: Washington has been funding laboratories in Ukraine for the investigation of "lethal pathogens" since at least 14 years
The original can be found at diario16.com/el-mensaje-urgente-de-ignacio-ramonet-le-monde-sobre-la-reunion-del-consejo-de-seguridad-de-la-onu-y-las- birds-of-destruction-massive/

C&P
 
Baada ya kumalizika kwa vita baridi Urusi ilionesha nia ya dhati kumaliza uadui lakini Marekani na washirika walikataa.

Ilifikia hatua Urusi iliomba kuwa mwachama wa Nato ili wawe kitu kimoja kitu ambacho kingemaliza uadui kati ya pande hizo ,lakini Marekani alikataa maana alijua Ulaya ikipatana na Urusi basi soko lake la silaha litakuwa limekufa rasimi maana ana tegemea kuitumia Urusi kuitisha Ulaya ili wanunue silaha zake.

Na hii michezo ana ifanya sana huko mashariki ya kati na kwenye rasi ya Korea.

Mm nikimuona mtu fulani anapinga siasa za kujitanua za Urusi wakati huo akiunga mkono siasa za kujitanua za Marekani huwa namuona kama punguani na mnafiki.
Sielewi vema jinsi unvyojaribu kuchanganya mambo.
Kuhusu Urusi na NATO - haikupata kibali cha wanachama wote kujiunga jinsi ilivyo lazima. Marekani haikutaka Urusi ndani ya NATO. sawa.
Hayo yote haibadilishi kitu kwamba Urusi ilivamia nchi mbalimbali za Ulaya tangu 1945 na kuzilazimisha kukaa chini yake hadi 1990. (Habari za Afghanistan tuache kando sasa).
Vivyo hivyo hakuna nchi hata 1 iliyolazimishwa na NATO kujiunga nayo, kinyume nchi mbalimbali waliomba kujiunga, wengine walikubaliwa, wengine walikataliwa, mfano Ukraine.
 
1650975713605.png
 
*RUSSIA INFORMS AT A MEETING OF THE UN SECURITY COUNCIL THE LOCATION OF US LABORATORIES DEVELOPING BIOWEAPONS IN 36 COUNTRIES AND AFFIRMING THAT THE CURRENT VIRUS WAS DEVELOPED BY THE US.
BEFORE US DENIAL, CHINA CHALLENGES YOU TO ACCEPT AN INTERNATIONAL INVESTIGATION OF ITS LABORATORIES!
THE MASK OF THE "EVIL EMPIRE" IS BEING TAKEN OFF!*

BIRDS OF MASSIVE DESTRUCTION, NEW WEAPON OF THE PENTAGON

Urgent message from Ignacio Ramonet about biological warfare made in the USA – Reality is more brutal than the worst of nightmares – Imperialism is terrorism
Beatriz Talegón - 03.30.22 - resist.info

“Urgent” is how journalist Ignacio Ramonet, director of Le Monde Diplomatique, begins to explain what happened in the UN Security Council. Here's what it says:
In a noisy UN Security Council meeting, held at the request of Russia, on the development of US biological weapons inside Ukraine, the following became evident:
1- The Russian delegate delivered documents and evidence to be recorded in the minutes of the session, which confirm the following:
• Official funding from the Pentagon for an “apparent” biological weapons program in Ukraine
• Names of US persons and companies specializing in the evidence and documents involved in this program
• The location of the laboratories in Ukraine and the attempts made so far to hide the evidence.
2- Another surprise from the Russian representative was announcing the locations of US laboratories that manufacture and test biological weapons in 36 countries around the world (an increase of 12 countries in relation to the previous session).
3- The Russian delegate specified the diseases and epidemics, the means for their release, the countries in which they are being tested and when and where the experiments were carried out with or without the knowledge of the governments of these countries.
4- The Russian delegate publicly confirmed that among the experiments and the effects is the virus responsible for the current pandemic and the large number of bats used to transmit this virus.
5- The United States denies it. In France and in Great Britain, its allies, the reflex between their peoples is very violent.
6- The World Health Organization denies having knowledge of the existence of biological experiments in Ukraine and says: All our information is that they are medical research laboratories to fight diseases (and Russia proves, with evidence, regular correspondence and visits by experts from WHO to suspected US laboratories around the world).
7- China attacks everyone and says to the US delegate: “If you deny and are sure of your innocence, why do you desperately refuse to allow an investigation by experts to be carried out in order to find out the truth, especially with documents and hard evidence?”
For those who want to know what the numbered birds are... and how the United States kills the world without a single shot... I leave the information here:
Birds of Mass Destruction
Russia did not expect to discover, as part of its military campaign in Ukraine, numbered birds produced by biological and bacteriological laboratories in Ukraine financed and supervised by the US.
But what are the numbered birds?!
After studying the migration of birds and observing them throughout the seasons, environmental specialists and zoologists will be able to know the path these birds take each year on their seasonal journey, including those that travel from one country to another and even from one continent to others.
Here comes the role of the intelligence services of the parties that carry out a malevolent plan. A group of these migratory birds are “detained”, digitized and provided with a capsule of germs that carry a chip to be controlled through computers. They are then released again to join migratory birds in countries where damage is planned.
These birds are known to take a route from the Baltic Sea and the Caspian Sea to the African continent and Southeast Asia, as well as two other flights from Canada to Latin America in spring and autumn. During its long flight, its movement is monitored step by step by means of satellites and its exact location is determined. If they want, for example, to harm Syria or Egypt, the chip is destroyed when the bird is in their skies. Kill the bird that falls carrying the epidemic. Thus, diseases spread in this or that country. In this way, the enemy country is harmed at no military, economic and political cost.
The numbering of migratory birds is considered a crime by international law, because they are birds that penetrate the sky and air of other countries. If you supply them with germs, then this bird becomes a weapon of mass destruction. Therefore, in international law, it is considered prohibited to use birds to launch deadly attacks against an opponent. Anyone who commits such an immoral and inhumane act is punished. The US does not tremble at any punishment, for no one dares to punish it. But they tremble before the stigma that will accompany their life and their complete exclusion as a credible country, even before their allies.
The Russians have a strong pressure card when they say they captured the birds. This means that the Americans were caught with their hands in the dough, with all the details contained that prove the decisive condemnation. This forces us to think about the possibility that all the viruses that have infected humans in this century, especially the last ones, such as the Ebola that affected Africa, anthrax, swine and avian flu, and currently Covid-19, all come from funded laboratories. and administered by the US. And this is what prompted China to submit an urgent, serious and strict request to carry out an international investigation into the sudden emergence of the coronavirus. It is very likely that the United States used migratory birds to kill Chinese citizens.
The serious thing is that the US scandals are on the rise.

See also:
Fox News: Washington has been funding laboratories in Ukraine for the investigation of "lethal pathogens" since at least 14 years
The original can be found at diario16.com/el-mensaje-urgente-de-ignacio-ramonet-le-monde-sobre-la-reunion-del-consejo-de-seguridad-de-la-onu-y-las- birds-of-destruction-massive/

C&P
Unaleta habari zilizotafuniwa mara ngapi hapa?
 
Back
Top Bottom