😀😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa mchonganish huyu...
Me nilikuwa ndotoni tu mzee [emoji847] kwani nimesemaje eti [emoji18]
😀😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa mchonganish huyu...
Me nilikuwa ndotoni tu mzee [emoji847] kwani nimesemaje eti [emoji18]
Mkuu hapo utofauti ni Time-period hata California ilikuwa huru kabla USA hajaivamia na ilatambulika kama Taifa kisheria.Mfano unaoleta haulingani na Ukraine hata kidogo.
Kisheria Ukraine ilikuwa nchi ya pekee tangu miaka 100 iliyojiunga katika Umoja wa Kisovyeti chini ya katika iliyoruhusu kila nchi kujitenga na kuondoka tena. Mwaka 1991 Ukraine na Urusi waliamua pamoja kuondoka katika Umoja wa Kisovyeti, kila mmoja kama nchi ya pekee. Je tuko pamoja katika historia hii??
Bora ulivyo jiondoa, Tumshukuru MunguKutokana na matusi na ujinga uliojaa humu, nimeamua kujiondoa kutoka kwa huu Uzi.
mkuu hao watu ni matusi tu na mipasho ndio wanaelewa, vipi kwanza EU wameshanza kulipa kwa ruble? maana mwsho ilikua march 31Niliacha kucomment baada ya kuona wamekosa mwelekeo,yani wao wanadhani vita ni maneno mengi hapa JF,wanachosahau ni kuwa si Putin wala Zelensiky w
dah mkuu yamekushinda? ila sijui kwann wanatukana hiviKutokana na matusi na ujinga uliojaa humu, nimeamua kujiondoa kutoka kwa huu Uzi.
Naomba nikujibu.Kaka ulijaribu kupinga hoja yangu kwamba mataifa ya Ulaya wana sababu zao kushikamana na Ukraine. Maana yana historia na Urusi inayotangulia kuundwa kwa NATO na Marekani kuonekana huko Ulaya. Kama historia yako inaanza kwenye vita baridi (au kwenye hatua za nchi za Ulaya Mashariki-Kati kujiunga na NATO), historia ya mataifa ya Ulaya na Urusi ni ndefu zaidi. Finland, Poland na nchi za Baltiki zinajua jinsi zilivyovamiwa na kufanywa kuwa koloni za moja kwa moja tangu karne ya 18 na 19.
Poland (1939, 1945) Chekoslovakia (1946, 1968) na wengine wanajua jinsi walivyolazimishwa kupokea ukomunisti wa Urusi na kuwa nusu koloni hadi 1990.
NATO yenyewe haikuundwa kama umoja wa kushambulia Urusi, iliundwa kama jibu la upanuzi wa himaya ya Urusi baada ya 1945 na uvamizi wa nchi za mashariki.
Wakati wa kuporomoka kwa himaya ya ukoloni ya Urusi (=Umoja wa Kisyoveti) mnamo 1990 hakuna aliyetaka kupanusha NATO.
Lakini mataifa yaliyoondoka katika ukoloni wake walipanga foleni kwa hiari yao kujiunga.
Ukipenda kujionyesha kama mtu anayejua historia na mandharinyume, si vibaya ukujaribu kunyosha elimu yako kidogo, sivyo?
Maarifa hayo yote yameingia katika maazimio na mabadiliko yaliyotokea sasa katika Ujerumani, Uswidi na Finland, ambazo zilikuwa imara sana dhidi ya madai ya Marekani hadi Machi 2022, walipoona Putin haaminiki .
Tena moyo mpana SANA...Wacha wajiliwaze maana wakifikiria kuwa mzalendo Kwa nchi ambayo watu 6 wamechukua 6bln tena BOT inahitaji moyo
Russia is expelling three Swedish diplomats in a tit-for-tat response to the expulsion of its diplomatic staff by Stockholm, the country’s foreign ministry has announced.
Swedish Foreign Minister Ann Linde later said Russia had decided to expel four Swedish diplomats – three from the embassy in Moscow and another at the Swedish consulate in Saint Petersburg – and denounced the move as “unmotivated and disproportionate”.
Alafu kuna kamtu humu kanasema Sweeden anaumogopa Russia
Sometimes kuwa serious sweeden wa kumsumbua Russia?? Au unataka tucheke mzee? Endelea kutupa vichekesho thread ichangamke.
Hili hawaliongelei kabisa kwa sasa,tangu lini mwenye njaa akachagua chakula,kwa sasa Pro Putin wamekuwa kama chombo kilichokosa mwelekeo baharini,walisharukia hadi uchaguzi wa France na matokeo walikuwa nayo mfukoni mwao[emoji3][emoji3],uhalisia umekuja kuonekana,wamekaa kimya kama siyo waomkuu hao watu ni matusi tu na mipasho ndio wanaelewa, vipi kwanza EU wameshanza kulipa kwa ruble? maana mwsho ilikua march 31
Urusi hawezi pigana na Sweden kwasasa,
Urusi haina uwezo wa kuendesha vita na nchi nyingine hapo ulaya, atachakazwa vibaya sanaa....
Akijaribu hivyo, tunampa miezi 4 kwisha habari yake...
Ndo mana Finland, sweden wana kiburi cha kujiunga Nato sasa, wakijua Urusi hawezi fanya chochote kwa sasa na muda waliokua nao ni sasa....
Kwani kwa sasa Urusi anaendesha vita wapi??Urusi hawezi pigana na Sweden kwasasa,
Urusi haina uwezo wa kuendesha vita na nchi nyingine hapo ulaya, atachakazwa vibaya sanaa....
Akijaribu hivyo, tunampa miezi 4 kwisha habari yake...
Ndo mana Finland, sweden wana kiburi cha kujiunga Nato sasa, wakijua Urusi hawezi fanya chochote kwa sasa na muda waliokua nao ni sasa....
mkuu hao watu ni matusi tu na mipasho ndio wanaelewa, vipi kwanza EU wameshanza kulipa kwa ruble? maana mwsho ilikua march 31
Kuna tofauti ya Umoja wa kiuchumi na umoja wa Kijeshi.Asante, ila naona tofauti ambayo si ndogo.
Kwanza sijapinga upanuzi wa himaya ya Urusi (kuna faida gani kupinga historia??) lakini ninasema: maarifa ya mataifa ya Ulaya na Urusi inatosha kuona kwamba wanaona Urusi kama tishio, na wana sababu nzuri.
Pili nilidokeza hali halisi kwamba Urusi ilipanusha himaya yake kwa njia ya vita na uvamizi wa kijeshi.
Tatu ninaona upanuzi wa NATO haikutokea kwa njia ya uvamizi wala vita bali kwa njia ya maazimio ya nchi zilizopata uhuru zikaamua vile kwa hiari yao.
Je unakubali nchi ina haki ya kuamua ushirikiano wake ya wengine au la? Je DRC ilikuwa na haki kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki? Je Sudan Kusini ilikuwa na haki hiyo??
Mataifa ya Ulaya pamoja Urusi yalikubaliana mwaka 1975 kila nchi ina haki kuchagua siasa yake. (Helsinki Accords)
Halali NYETO waweke vikao maana silaha zinateketezwa bila kufika kwa mlengwa. Tunachotaka NATO waingie ulingoni tujue moja