NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Nuclear war is unacceptable, this is Moscow's principled position, Lavrov said.
Ninasoma.comment zao nabaki kucheka tu,tulisema tangu awali si rahisi ki hivyo kwenda kuvamia kwa mwenzio tena ambaye yuko tayati kufa kwa ajili ya kulinda Nchi yake na hawakutuelewa.Kwa sasa wamegeuka kuwa wataalamu wa kuchambua ubora wa missiles na wakielemewa wanakuletea picha za majengo yaliyoharibiwa.Wapi Morogoro kaskazini Mzee wa Kyiv majivu ndani ya masaa kadhaa yajayo[emoji3]Jamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
Naona Putin ameshafaulu kuwaonyesha nyembe zake hivyo msimamo wao umebadilika. Nusu mwaka uuliopita idadi kubwa ya wananchi wa Finland na Uswidi ilipinga NATO, sasa idadi kubwa inaona heri kujiunga. Katika nchi hizo (zote mbili zina historis ndefu ya kusimama dhidi ya Marekani, kumbuka Uswidi wakati wa vita ya Vietnam na baadaye) demokrasia ina nguvu sana, viongozi hawawezi kupuuza wananchi wao.
Nakubali: Tutulie, tuone.
Tena kama yule mjuaji wa kila kitu,kuanzia maswala ya Uchumi,siasa na medani za kivita,yani yeye anajionaga ni full package na ndiyo alikuwa analeta huu upuuzi wa uchaguzi wa France na matokeo alikuwa nayo.Nimetulia nisome tangu nilipoishia mpaka hapa napocomment naona amemute utadhani siyo yeye aliyekuwa anatujazia hizi blah blah hapa [emoji3][emoji3]Yaani humu ndani most of Pro Putin ni watu wasiokuwa na Rational thinking... Yaani hadi matokeo ya Urais wa Ufaransa walikuwa nayo, Wanajua mipango ya Putin ambayo UK na USA hawajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliacha kucomment baada ya kuona wamekosa mwelekeo,yani wao wanadhani vita ni maneno mengi hapa JF,wanachosahau ni kuwa si Putin wala Zelensiky wanaojua hata kama JF ina exist Duniani.Sisi acha tuwe tunaingia na kutoka na tutakuwa tunatupa jiwe gizani tunawaacha wanahangaika kujaza tena comments.Nakuongezea tena utabiri mwingine,kwa sasa tutakula X-Mass ya 2022 panapo uzima na huu mtanange utakuwa haujaisha.Mwenye maamuzi ya hii vita kuisha ni Beberu Mkuu na NATO peke yake.Pro Putin sogeeni tena hapa mtoe povu kama kawaida yenu[emoji3][emoji2] Hilo lilinipita mkuu. Huenda ni sababu ya kuruka ruka, unaingia unakuta page nyingi unaamua kuacha.
Mara ya mwisho niliingia nikakuta hakuna mtetezi wa NATO wamebaki warusi tupu nikawauliza sawa mmeshinda kwa hiyo kinachofata humu ni nn? Wakaniambia wanasherekea, nikawatakia kila la heri.
Baada ya siku mbili nikarudi kutupa jiwe gizani nikasema mara ya mwisho kuingia humu Urusi alikuwa kashinda, Ukraine majivu na EU wanatumia Rubble nikakaa kimya nisubiri jibu, ikawa kimya.
😆😆 Wacha blaa blaa wewe,Kazi iko huku 👇Niliacha kucomment baada ya kuona wamekosa mwelekeo,yani wao wanadhani vita ni maneno mengi hapa JF,wanachosahau ni kuwa si Putin wala Zelensiky wanaojua hata kama JF ina exist Duniani.Sisi acha tuwe tunaingia na kutoka na tutakuwa tunatupa jiwe gizani tunawaacha wanahangaika kujaza tena comments.Nakuongezea tena utabiri mwingine,kwa sasa tutakula X-Mass ya 2022 panapo uzima na huu mtanange utakuwa haujaisha.Mwenye maamuzi ya hii vita kuisha ni Beberu Mkuu na NATO peke yake.Pro Putin sogeeni tena hapa mtoe povu kama kawaida yenu[emoji3]
Tayari mtu mzima anapiga yowe [emoji3]