Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Niliacha kucomment baada ya kuona wamekosa mwelekeo,yani wao wanadhani vita ni maneno mengi hapa JF,wanachosahau ni kuwa si Putin wala Zelensiky wanaojua hata kama JF ina exist Duniani.Sisi acha tuwe tunaingia na kutoka na tutakuwa tunatupa jiwe gizani tunawaacha wanahangaika kujaza tena comments.Nakuongezea tena utabiri mwingine,kwa sasa tutakula X-Mass ya 2022 panapo uzima na huu mtanange utakuwa haujaisha.Mwenye maamuzi ya hii vita kuisha ni Beberu Mkuu na NATO peke yake.Pro Putin sogeeni tena hapa mtoe povu kama kawaida yenu[emoji3]
Hahaha, ngoja tuone, tuombe uzima.
 
Inama upigwe nyembe,
Kumbe unapenda sana kuchezea nyembe? Tafadhali usijiumize!
Niongete: Nyembe za Putin zilisaidia pia maazimio ya Uswidi na Finland kutuma silaha Ukraine.

Ona: STOCKHOLM (Reuters) - Sweden will provide Ukraine with an additional 5,000 anti-tank weapons, TT news agency quoted the Swedish Defence Minister saying on Wednesday. Sweden has already sent 5,000 anti-tank weapons, along with other military materiel to Ukraine.
 
Embassies of the DPR and LPR may be opened in Moscow in the next one to two months.

RIA Novosti writes about this, citing a diplomatic source.

“We will try to [be] done in the near future, the sooner the better. We are engaged in specific work, ”said the source of the agency.
Maskini Putin! Anapaswa kuchapisha rubel tena ili kugharamia maigizo ya waajiriwa wake huko DPR na LPR kuwa na ofisi Moscow, ilhali wenyewe ni ofisi ya Moscow tu katika Ukraine...
 
Sijui unapata habari zako wapi? Nchi za EU wanaunga mkono Ukraine kwa hiari yao kabisa wakiona Urusi ya Putin ni hatari na tishio kwao. Hasa zile nchi ndogo zaidi kwenye Mashariki ya EU wanaelewa tishio (hali ya pekee ni Hungaria inayojaribu kutosimama upande ). Jumapili serikali ya Slovenia iliyoshiriki na Hungaria iliondolewa katika uchaguzi. Finland na Uswidi wanaelekea kwa hiari yao kujiunga na NATO, baada ya miaka mingi ya kutojiunga.
Ujerumani ilikataa miaka yote kuitikia madai ya Marekani (tangu Bush, Obama, Trump) kuongeza jeshi lake na kufunga bomba la gesi kutoka Urusi - imegeuka kabisa; ikaamua kuwekeza Euro bilioni 100 kwenye jeshi lake; ilibadilisha sheria yake na kutuma silaha Ukraine (Panzerfaust zake zilisaidia kuchoma vifaru vingi vya Urusi).
Wanajua kwamba vita inawaumiza, wananchi wao wanajua hata hivyo katika nchi za EU ni idadi kubwa ya wananchi wanaotaka serikali zao zisaidie Ukraine kwa kila namna.
Wengi wanaona aibu kwamba miaka 8 iliyopita wakati wa uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine walichukua hatua dhaifu tu.
Wanamwona Putin kama mhuni na mwuaji anayeleta uharibifu.
Unaandika vitu usivyo vijua
 
CNN kama CNN [emoji847][emoji847][emoji847] Full of BS
20220426_083029.jpg
 
Brother usipige ramli rather fanya research uje utusaidie hapa tupate kuelewa vizuri, mirahaba ya kinyonyaji haitokei kwa bahati mbaya kuna source nyingi hata hao unaowaza wanaweza kutoa mirahaba mikubwa hawawezi kutoa. Natural resources without intellectual resources are nothing, tatizo sisi tunapenda kulalamika wakati uwezo mdogo, beberu sio mjinga aje na mtaji wake na technology yake harafu akupe mrahaba mkubwa hata china hawezi kufanya huo ujinga, rejea issue za bandari ya bagamoyo. Tukubari tu sisi waafrica uwezo wetu umeishia kwenye vitu vichache mambo makubwa hatuwezi. Hapa tz kuna vitu tunaanzisha bila plan eti kiongozi anataka ufahari. Achana na mabeberu yako mbali yale
Mabeberu ndiyo yametufikisha hapa mkuu, wao ndiyo waliendesha operations nyingi za kuangamiza kizazi kipya cha wasomi na wazalendo wa kweli na kutuwekea viongozi wajinga,walafi na wabinafsi kibaya zaidi hao viongozi wameweka ndugu na jamaa zao sehemu muhimu za maamuzi matokeo yake sehemu muhimu wale decision makers ni wajinga na wapumbavu ndiyo chanzo cha matatizo haya yote
 
Kumbe unapenda sana kuchezea nyembe? Tafadhali usijiumize!
Niongete: Nyembe za Putin zilisaidia pia maazimio ya Uswidi na Finland kutuma silaha Ukraine.

Ona: STOCKHOLM (Reuters) - Sweden will provide Ukraine with an additional 5,000 anti-tank weapons, TT news agency quoted the Swedish Defence Minister saying on Wednesday. Sweden has already sent 5,000 anti-tank weapons, along with other military materiel to Ukraine.

Hizo weapons zimesaidia nini mpaka sasa?? Kama tunaendelea kujichukulia miji kila siku?? Acha mahaba kijana
 
Embassies of the DPR and LPR may be opened in Moscow in the next one to two months.

RIA Novosti writes about this, citing a diplomatic source.

“We will try to [be] done in the near future, the sooner the better. We are engaged in specific work, ”said the source of the agency.
 
Marekani anataman sana kupeleka silaha za kisasa ukraine ila sasa ana ogopa zitamtia aibu. Anaogopa kupeleka Mabati yake Patriot na Thaad ila anamtaka turkey apeleke S-400 ya Mrussi.

Kwanini asipeleke Ndege za kivita za kisasa kama raphale, F series nk. Yote anajua haziwezi kumsumbua Mrussi zitaishia kutia aibu silaha zinazopelekwa ni za kingese kweli ambazo zinaishia kuharibiwa na kuchukuliwa na Russia.

Russia amewaambia watume silaha za kisasa na sio hzo Javelina hazina impact kwa Russia. Hichi ndo kipindi ambacho marekani ilibidi atangaze silaha zake kwa navyo mjua mpenda sifa ingekua nchi nyingine kama libya angekua kashapeleka muda.

Anaogopa kupeleka Ukraine ataishia kupewa aibu tu na hii Operation inamsumbua sana anataman sana iishe lakin aibu duniani coz ishajulikana ni Russia vs USA & NATO. Nchi 30 zenye nguvu mnasumbuliwa na Taifa moja [emoji635] ambalo ni maskini?? Sasa Russia+China+India+NK mtaweza mziki wao ikianza WW3??
 
Ukraine peke yake imewatoa kinyesi. Wakati marekani inapigana na Iraq, mwezi mmoja kazi imeisha. Wakati huo Iraq ilikua dola kubwa yenye uwezo wa kuvamia jirani zake kina Kuwait na Iran. Hizi losses marekani hajapata tangia ww2View attachment 2197367
Ww kweli huna akili iraki ambayo ilikua Haina mshirika hata mmoja vikwazo vyote mpaka vya anga marekani alikua anatokea pande zote za majirani wa iraki unatobolea wapi
 
Hizo weapons zimesaidia nini mpaka sasa?? Kama tunaendelea kujichukulia miji kila siku?? Acha mahaba kijana
Silaha hizo zimeshasaidia kumfukuza Putin Kyiv. Jambo hapa si silaha, jambo ni dai lako eti Finland na Uswidi wataogopa kujiunga na NATO wka sababu ya kuhofia "nyembe za Putin".
Nyembe hizo ni sababu zao kubadilisha msimamo na kujadili NATO, pamoja na kutuma silaha Ukraine.
Maana sawa na nchi nyingine za Ulaya, wanamwona Putin sasa kama tishio. Wanaamini kunyamaza ni kosa baya, sawa na hali ya 1938 ambako mataifa ya Ulaya hayakumpinga Hitler aliyeanza kuvamia nchi jirani kama Austria na Chekoslovakia.
Putin alikadiria vibaya, pamoja na hali ya jeshi lake . . .
 
Unaandika vitu usivyo vijua
Labda unionyeshe kwamba sijui vitu? Mataifa ya Ulaya wamejifunza kwamba Putin ni hatari, ndiye kiongozi anayepuuza ahadi na mikataba. Ni tayari kuua watu kwa michezo yake ya kisiasa. Haheshimu haki za mataifa.
Tafadhali unionyehsa ambacho sijui.
 
Marekani anataman sana kupeleka silaha za kisasa ukraine ila sasa ana ogopa zitamtia aibu. Anaogopa kupeleka Mabati yake Patriot na Thaad ila anamtaka turkey apeleke S-400 ya Mrussi.

Kwanini asipeleke Ndege za kivita za kisasa kama raphale, F series nk. Yote anajua haziwezi kumsumbua Mrussi zitaishia kutia aibu silaha zinazopelekwa ni za kingese kweli ambazo zinaishia kuharibiwa na kuchukuliwa na Russia.

Russia amewaambia watume silaha za kisasa na sio hzo Javelina hazina impact kwa Russia. Hichi ndo kipindi ambacho marekani ilibidi atangaze silaha zake kwa navyo mjua mpenda sifa ingekua nchi nyingine kama libya angekua kashapeleka muda.

Anaogopa kupeleka Ukraine ataishia kupewa aibu tu na hii Operation inamsumbua sana anataman sana iishe lakin aibu duniani coz ishajulikana ni Russia vs USA & NATO. Nchi 30 zenye nguvu mnasumbuliwa na Taifa moja [emoji635] ambalo ni maskini?? Sasa Russia+China+India+NK mtaweza mziki wao ikianza WW3??
Kama huyu Chalii aliwakalisha tuliii wakaishia kubwabwaja... Seuze Russia
images-10.jpg
Wale waeandelee kuji'mwambafy Hollywood wakituonesha Mjeda mmoja anapigana na na watu buku bila mkwaruzo [emoji847]
 
Ww kweli huna akili iraki ambayo ilikua Haina mshirika hata mmoja vikwazo vyote mpaka vya anga marekani alikua anatokea pande zote za majirani wa iraki unatobolea wapi
Kaka tafadhali ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Vita ya Iraki - majirani yenye mipaka mirefu ya Iraki ni Iran na Syria. Marekani haikuweza kutumia maeneo yao. Kwa hiyo si kweli kwamba "alikua anatokea pande zote za majirani wa iraki" jinsi ulivyoandika.
 
Tena kama yule mjuaji wa kila kitu,kuanzia maswala ya Uchumi,siasa na medani za kivita,yani yeye anajionaga ni full package na ndiyo alikuwa analeta huu upuuzi wa uchaguzi wa France na matokeo alikuwa nayo.Nimetulia nisome tangu nilipoishia mpaka hapa napocomment naona amemute utadhani siyo yeye aliyekuwa anatujazia hizi blah blah hapa [emoji3][emoji3]
Kuna mtu Humu ndani nimeona anasema Finland imeshaghairi kujiunga na NATO wakati last week Bunge lao lilikaa kujadili hili jambo na Wanatarajia May 16 waanze hatua Rasmi za kujiunga na NATO...

Ila Hawa watu wa Putin wanamtia aibu Mzee wao.

Kuna siku walisema Western countries haitaweza kutuma tena Silaha Ukraine, Jana Waziri wao analalamika USA anapeleka Silaha nyingi sana Ukraine 😂😂😂
 
Back
Top Bottom