Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu kuna wehu walikuwa wanamwita Putin mwendawazimu[emoji23] nikacheka sana! Ilikuwa ni swala la muda tu, Russia sio Zimbabwe yani.

Hata yule Veteran wa kimarekani alituasa mapema kuwa Russia hajaamua kutumia nguvu zake tu. Baada ya kupeleka interns wengi wa kijeshi na vifaa chakavu mwanzoni alionekana kama anatania hivi[emoji28] ila sasa Pro Ukrainians watapata somo kuwa mrusi ni mtu wa aina gani!

Kiko wapi sasa, ooh ruble haiwezi tumika blaah blaah walikaza vichwa ila siku zote boss hanuniwi! Uchumi ni viwanda na nishati ndio inaendesha viwanda, utaachaje nishati ya bei nafuu toka kwa mrusi eti upambane kisa uonekane mwamba? Ilikuwa swala la muda tu maana wenzetu kule baridi inaweza kuwaua kipindi cha winter kama watakaza ubongo.

Impact kiuchumi hamna ambaye haijamfikia mpaka kwetu huku kajamba nani bei ya petroli imedrift toka 2,400 mpaka 2,800 ghafla.
Kuna watu wao ndio wenda wazimu halaf wanamuona PUT IN ndio mwenda wazimu ila natamani MKUU T14 Armata aje atoe neno kwenye hiki kinachoendelea maana awali nilimuona kama ana waprove failure RUSSIA
Hii ishu huko KREMLIN watu walitulia sana nawakachakata maamuzi sahihi kweli kweli
Ila najiuliza tu kwamba huu unaweza ukawa mwanzo wa mwisho dollar$ kilimwengu !!!??
 
Pro nato hawawezi kuja hapa watatumia alfabeti gani wakati RUSSIA wanatumia zote wameamua kutumia ishara...😂😂😂🙌🙌🙌 Na huo mfumo marekani wanaufanyia kazi ili uku mtandaoni tuweze kuwasiliana.
Sasa ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ wamezichukua unategemea nn🤣🤣🤣🤣....
 
Mi kingeleza sijui ila najua hapa mrusi kapigwa sana Moscow mji ushakuwa jivu
Tuishi humo
Screenshot_20220423-094042_Chrome.jpg
 
Marekani yalalamika kuwa majeshi ya Russia yameteka jumla ya miji 42 mashariki ya Ukraine ndani ya wiki moja tu ya kuanza kwa phase hii ya pili ya operesheni maalumu ya kijeshi. Maafisa wa Ukraine wamekiri kupoteza umiliki wa miji hiyo 42...Naona Marekani na Zelensky wameamua kuanza kuongea ukweli wa kimachotokea field[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56]

Huu ni udhaifu mkubwa nchi kubwa kama Ukraine ambayo serikali yake imekuwa ikijitapa kushinda vita kwenye media. Pia ni fedheha kwa Marekani na washirika wake ambao wamekuwa wakiudanganya Ulimwengu kuwa Zelensky anashinda vita hivyo.

Kwa kweli kama 'kushinda vita' maana yake ni 'kupigwa mabomu, mizinga na makombora nchi nzima kila kukicha na kupoteza miji mingi namna hiyo (miji 42) ndani ya wiki moja tu'...basi bora huo ushindi aubebe Zelensky (Ukraine) na waUkraine wa Tandahimba.

View attachment 2197190
View attachment 2197189
Kivita miji inamaanisha kurudisha nyuma maadui kwa kilomita kadhaa hata Kama Ni mbili. Eneo hata dogs ambalo lilikua chini ya maadui likikombolewa huo Ni mji kivita
 
Photos from Mariupol. The men are alive and in good spirits.

Glory to #Ukraine 🇺🇦✊🏻
IMG_20220423_095408.jpg
IMG_20220423_095415.jpg
 
Miji 42 ni sawa sawa na kutoka dar hadi mwanza, na hivo hiyo miji haifiki, manaake lengo lake la kuunda nchi huru ya Donesk limesha timia tayari, hilo eneo ni kubwa 600km ni eneo kubwa nikama kutoka dar hadi Manyoni.......

Marikani na Nato wameanza kutafuta public sympathy ya kusingizia kuua raia genocide nk, lakini mwenye lawana kubwa ni Zelensky ze comedy alijua vizuri kwamba itatokea kumshida Mrusi ila kwasbb alitaka kufurahisha USA akakubali kuingia vitani na matokeo ya vita ndo hayo.

Ukraine will never be the same again as before Russia sio mjinga, na hamna nchi ya ku-stopisha Mrusi EU na Nato wame expose madhaifu yao kwamba ni wa oga wa vita na siraha zao can't outmatch Russians na hawamuwezi Mrusi militarily na economically,

Wa lidhani Economic sanction ndo kiboko yake ila zime backfire kwao lazima warudi kwenye drawing table wajipange upya wajue wana faili wapi.........wasipo angalia EU itasabaratika nchi kama Ujerumani Italiano na Balkani states zina anza ku-doubt umuhimu wa EU ambaye iwezi kuwapa gas wamegundua kwamba they can't do away without Russians gas chemical fertiliser ngano nk, kwa ufupi Russia ina umuhimu kwao kuliko ufaransa na America
Hii koment imemaliza kila kitu
Ila bado watakuja watu watakwambia UCHUMI wa RUSSIA sawa na jimbo moja pale US
Kuna baadhi ya mambo ukiyasikia kutoka kwa watu unajiuliza hawa wazima kweli ama wamekurupuka kuongea
Yaani wanaiita RUSSIA iliotolewa G7 Kisiasa baada ya kupita na CRIMEA kwamba ni maskini
Ukija tena huku unajiuliza kama RUSSIA angekaa akaamua kupiga ban energy zake zinazoelekea huko EU walau kwa miezi kama walomuekea yeye EU itakua katika hali gani kuanzia KISIASA KIUCHUMI na KIJAMII
Kuna watu hapa kina T14 Armata tulikua tukiwaambia kwamba RUSSIA ndio kaushikilia UUCHUMI wa EU wanakataa ila nashangaa mtu kama huyo anakataaje jambo lawazi kama hilo
Kuna watu walikua wanasema kwamba RUSSIA akatae kuwauzia nishati hao EU wanasahau kwamba yeye si aloanza VIKWAZO ila akiamua kueka EU haitakaa iwe sawa tena na taasisi nyingi kubwa kama EU na NATO lazima zitavunjika yani nilazima
Mwisho:-wale wanaodhania kwamba FINI na SWED watajiunga na NATO nawapa pole sana!!!!
 
⚡️UK to reopen embassy in Kyiv.

British Prime Minister Boris Johnson made the announcement at a press conference on April 22.

The embassy is set to open next week after having relocated to Ukraine’s western city of Lviv before Russia’s full-scale invasion.
 
Kama kwenye special oparation wameshindwa kumdhibiti sembuse kwenye vita halisi
Nb.
Tafauti ya military operation na full scale war ni nguvu na siraha unazo tumia, kwa mjibu wa ministry of defence wa Russia special operation eme kua kwenye level ya 35% of Russian military capability.

Wakati full scale war inakua 100% hamna cha ku save raia peacefully corridors humanitarian aid ni vita kuenda mbele.

Russia ina strategic bombers zinazo weza kufunika the entire Western Europe in 72hrs....
Kumbuka Russia ni kubwa kuliko bara lote la ulaya na sparsely populated ukilinganisha na Ulaya ya magharibi kwahiyo yenyewe itaendelea ku-survive na bombers za ulaya
Ukweli nikwamba kupigana na RUSSIA ningumu sana
Na NATO wanalijua hili yaani jamaa shida hawaimbwi na MEDIA ndio mana ila kupitia hii OP tumeiona nguvu ya RUSSIA kwenye angle mingi kuanzia KISIASA KIUCHUMI huko KIJESHI ndio kabisaaaa
 
The European Commission allowed payment for Russian gas in rubles, said Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev.

"We appreciate the consistency and integrity of our European partners. Especially considering that, according to the latest data from the International Monetary Fund, Europe will be able to do without our gas for no more than 6 months. But seriously, it won't even last a week," Medvedev said.
Sema medvedev anakauli zakishujaa sana huyu mwamba
Ukimfatilia huyu hata PUT IN anangojea mbali sanaa
Kwasasa RUSSIA yenye vikwazo zaidi ya 7000+ RAIA wake wanaishi kwausalama na amani zaidi ya US na EU wote
 
Hii koment imemaliza kila kitu
Ila bado watakuja watu watakwambia UCHUMI wa RUSSIA sawa na jimbo moja pale US
Kuna baadhi ya mambo ukiyasikia kutoka kwa watu unajiuliza hawa wazima kweli ama wamekurupuka kuongea
Yaani wanaiita RUSSIA iliotolewa G7 Kisiasa baada ya kupita na CRIMEA kwamba ni maskini
Ukija tena huku unajiuliza kama RUSSIA angekaa akaamua kupiga ban energy zake zinazoelekea huko EU walau kwa miezi kama walomuekea yeye EU itakua katika hali gani kuanzia KISIASA KIUCHUMI na KIJAMII
Kuna watu hapa kina T14 Armata tulikua tukiwaambia kwamba RUSSIA ndio kaushikilia UUCHUMI wa EU wanakataa ila nashangaa mtu kama huyo anakataaje jambo lawazi kama hilo
Kuna watu walikua wanasema kwamba RUSSIA akatae kuwauzia nishati hao EU wanasahau kwamba yeye si aloanza VIKWAZO ila akiamua kueka EU haitakaa iwe sawa tena na taasisi nyingi kubwa kama EU na NATO lazima zitavunjika yani nilazima
Mwisho:-wale wanaodhania kwamba FINI na SWED watajiunga na NATO nawapa pole sana!!!!
Ni kawaida braza, tajiri wa kweli hana kelele... ila masikini mwenye vijipesa kidg ana kelele na show off nyingi. Nishati ni uti wa mgongo wa mataifa ya ulaya, pale ulaya wanategemea zaidi ya asilimia 40 ya nishati toka urusi. Nchi kama Germany ambayo ndio kinara wa uchumi pale EU anategemea 55% ya nishati ya Russia. Nord stream 2 ingekamilika walikua wanategemea zaidi ya 80% hicho ndicho US kilimchanganya. Ushawishi wake Eu ungepungua mno... ila ndio hivyo
 
Ukweli nikwamba kupigana na RUSSIA ningumu sana
Na NATO wanalijua hili yaani jamaa shida hawaimbwi na MEDIA ndio mana ila kupitia hii OP tumeiona nguvu ya RUSSIA kwenye angle mingi kuanzia KISIASA KIUCHUMI huko KIJESHI ndio kabisaaaa
Ukraine peke yake imewatoa kinyesi. Wakati marekani inapigana na Iraq, mwezi mmoja kazi imeisha. Wakati huo Iraq ilikua dola kubwa yenye uwezo wa kuvamia jirani zake kina Kuwait na Iran. Hizi losses marekani hajapata tangia ww2
IMG_20220423_100509.jpg
 
Ni kawaida braza, tajiri wa kweli hana kelele... ila masikini mwenye vijipesa kidg ana kelele na show off nyingi. Nishati ni uti wa mgongo wa mataifa ya ulaya, pale ulaya wanategemea zaidi ya asilimia 40 ya nishati toka urusi. Nchi kama Germany ambayo ndio kinara wa uchumi pale EU anategemea 55% ya nishati ya Russia. Nord stream 2 ingekamilika walikua wanategemea zaidi ya 80% hicho ndicho US kilimchanganya. Ushawishi wake Eu ungepungua mno... ila ndio hivyo
Kabisa
Ila ushawishi wa US utaondoka tu kupitia hii OP nisuala la muda tuuu!!!!!
 
Back
Top Bottom