Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikua nasoma BBC eti Zelensky anasema "mafanikio waliyoyapata urusi mashariki mwa Ukraine ni ya muda tu, watavirudisha nyuma vikosi vya adui hadi mpakani". Nimebaki nashangaa..

Kuna mtu humu alisema duniani hapa kuna vitu vingi tunavyoona lakini havipo kama tunavyoviona. Inawezekana kabisa Zelensky ni rais halali wa Ukraine, lakini akawa ana kazi nyingine nyeti pale Russia, inawezekana....

Maamuzi anayofanya Zelensky hata mtu aliyewahi kuugua uwendawazimu hawezi kufanya. Huwezi kuweka raia rehani kwa vitu vya mazungumzo, huwezi kukubali nchi igawanyike kwa ishu ambayo ilikua inaishia kwenye mazungumzo, tena ipo kikatiba.

Zelensky anaweza kua anatumiwa na Russia ili Russia izidi kujitanua, itakumbukwa kua Nato wanazidi kujitanua eneo la mashariki mwa ulaya na kuikaribia kabisa Russia. Katika kuona haya nadhani Russia aliona haja ya kutaka kujilinda, alianza na cremea ili kuchukua control ya black sea.

Sema hii dunia ina mambo sana, Mungu atupe uhai, tutaona mengi sana.
The irreplaceable
Wakati Putin akiishambulia Kiev, Zelensky aliomba mazungumzo,Ila Sharti lake lilikuwa,kwamba kipengele cha kuachia eneo lolote la Ukraine halizunguziki, Putin alipoona hivyo,akaamua kuoiga pale pànapouma zaidi,yaani Donbas na Mariupol,akaachia Kiev,wajinga wakasema kashindwa,sasa hivi anawaumiza balaa,alafu baadae ataelekea Kiev tena baada ya kumalizana na Donbas🇷🇺
 
Wakati Putin akiishambulia Kiev, Zelensky aliomba mazungumzo,Ila Sharti lake lilikuwa,kwamba kipengele cha kuachia eneo lolote la Ukraine halizunguziki, Putin alipoona hivyo,akaamua kuoiga pale pànapouma zaidi,yaani Donbas na Mariupol,akaachia Kiev,wajinga wakasema kashindwa,sasa hivi anawaumiza balaa,alafu baadae ataelekea Kiev tena baada ya kumalizana na Donbas🇷🇺
Mkatazeni huyo Mzee amewapiga balaa..zile story za kusema ohh majeneral 8 wamekufa saiv zimepotea kabisa....
 
Marekani yalalamika kuwa majeshi ya Russia yameteka jumla ya miji 42 mashariki ya Ukraine ndani ya wiki moja tu ya kuanza kwa phase hii ya pili ya operesheni maalumu ya kijeshi. Maafisa wa Ukraine wamekiri kupoteza umiliki wa miji hiyo 42...Naona Marekani na Zelensky wameamua kuanza kuongea ukweli wa kimachotokea field😆😆🤣🤣😇😇

Huu ni udhaifu mkubwa nchi kubwa kama Ukraine ambayo serikali yake imekuwa ikijitapa kushinda vita kwenye media. Pia ni fedheha kwa Marekani na washirika wake ambao wamekuwa wakiudanganya Ulimwengu kuwa Zelensky anashinda vita hivyo.

Kwa kweli kama 'kushinda vita' maana yake ni 'kupigwa mabomu, mizinga na makombora nchi nzima kila kukicha na kupoteza miji mingi namna hiyo (miji 42) ndani ya wiki moja tu'...basi bora huo ushindi aubebe Zelensky (Ukraine) na waUkraine wa Tandahimba.

SmartSelect_20220423-064342_Chrome.jpg

Screenshot_20220423-064653_Gallery.jpg
 
Mie pia nataka kuanzisha operation ndogo ya kuwaaibisha Neo Nazis wa JF humu[emoji28] mpaka kufikia May Mosi hamna kenge ambaye atakuwa analeta habari za kimbeya toka twitani![emoji28]
Kama na wewe una makombora ya "Iskandar", endelea, wasiwasi wangu zile "Stingers" na Javelin zitakuzamishia "meli vita" yako.
 
Wakati Putin akiishambulia Kiev, Zelensky aliomba mazungumzo,Ila Sharti lake lilikuwa,kwamba kipengele cha kuachia eneo lolote la Ukraine halizunguziki, Putin alipoona hivyo,akaamua kuoiga pale pànapouma zaidi,yaani Donbas na Mariupol,akaachia Kiev,wajinga wakasema kashindwa,sasa hivi anawaumiza balaa,alafu baadae ataelekea Kiev tena baada ya kumalizana na Donbas[emoji635]
Ukraine is no more, Putin anaamua afanye ninu saizi.
 
RUSSIA hesabu zao walizichakata vyema sanaaaa
Jamaa walikua wanajua tu kama hao wapuuzi wataruka weeeeh ila mwisho watawaangukia tuu
Nandio kinatokea muda huu sasa yaani waloiwekea RUSSIA vikwazo mpaka kushusha thamani ya sarafu yake ndio hao hao walofanya ama watakao fanya
-RUBO iwe maarufu maana wengi walikua hawaijui hata jina nikiwemo mimi ila kwanza wameipa umaarufu kupitia media zao wenyewe
-RUBO kua na thamani kinyume na matarajio yao yaani RUSSIA walijua kwakuanzisha OP dhidi ya UKRAINE watapata mtikisiko wakiuchumi wakiwango kiasi ila kwamuda mfupi ila baada ya hapo kwao kicheko nandio kinachotokea muda huu!!!!!
Mungu ambariki kiumbe anaitwa Putin!
 
Chinas coal imports from Russia have increased. Purchases more than doubled in March to 1.4 million tons. Meanwhile India is increasing its purchases of crude oil from Russia.

Multipolar world is forming before our very eyes. [emoji1128][emoji1666][emoji635][emoji1666][emoji630]

(Eurasia has entered the chat)
 
Back
Top Bottom