Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...

Yaani wameteka kambi kubwa zaidi (kwa mkoa wa Kharkiv) yenye silaha kibao zikiwemo silaha zilizotumwa na Marekani na washirika wake kwenda kuisaidia Ukraine...Karibu tani 1,000 (kilogram 1,000,000) za silaha zimetekwa, na kambi hiyo iliyotekwa ina eneo lenye ukubwa zaidi ya hekta 350...

Asante sana Putin

View attachment 2196553
View attachment 2196552

Russia ni hatar hawa jamaa ni majasusu kuteka kambi nzima sio mchezo asee hawa jamaa tuwape heshima yao hawana mpinzani
 
Russia yajiandaa kuchukua sehemu yote ya kusini mwa Ukraine.

Wapiganaji wa Chechen ndo wanoendesha operesheni maalum na mida hii wafanya doria kwenye mji wa Mariupol.

Kinoendelea mida hii ni kuhakikisha Mariopol ipo chini ya Russia kikamilifu.

Lengo la Russia ni kutengeneza njia ya kuunganisha jimbo la Donbas na Crimea.

Kisha baada ya hapo huko baadae ni kuunganisha na nchi ndogo ya Moldova.

Hii vita si ya kwisha leo hadi Russia itapotimiza lengo lake la kutawala maliasili yote iloyopo ndani ya eneo la Donbas na bahari nyeusi ikiwemo gesi na madini mengine.

Maliasili hizi ndio chanzo halisi cha mafahali wa dunia Russia na Marekani kugombania eneo hilo wakiitumia Ukraine yaani Proxy War.
 
Kila wakati ambao Dunia imekuwa ikipitia ugumu fulani.. ni wakati ambao Israel ndo ilitumia kuchukua hatua kwa Palestine.. kutokana na hii vita ya Ukraine kusongwa na uongo mwingi wa vyombo vya habari hasa vya magharibi na kutengeneza "chaos" au taharuki baina ya watu.. kiasi ambacho vita ya Israel na Palestine imefunikwa hivi..

Kunauwezekano mpaka vita ya Urusi dhidi ya Ukraine inamalizika Israel itakuwa imetimiza jambo lake Palestine.. ambalo lilitakiwa kukemewa na walimwengu.
Israeli naye anataka kuanzisha operation ndogo ya kung'oa vikundi vidogo vidogo vya kihalifu.
 
Unataka kutuaminisha kuwa wanajeshi wa Russia wakiziona hizo ndege hawatozidungua sio?. Kuna video wanajeshi wa Russia wapo kwenye kifaru wanaiburuza bendera ya marekani kwa kutumia exhaust.
Hata wewe ukiamua unaweza hata kuichoma
 
What happened to demilitarization and denazification

So, the Russian war’s new “official” goals:
1. Full control of Donbas
2. A land connection between Russia and Crimea
3. Full control of Southern Ukraine and a land access to the Transnistria (where “Russian-speaking population is being oppressed”)
Code red for Moldova 🚨
 
Pole pole Russian energy itakua historia EU

⚡️Netherlands aims to stop buying Russian gas till end of 2022.

Dutch Minister of Climate and Energy Rob Jetten said his government will spend $675 million on incentives for companies to fill up gas storage facilities. About 15% of Dutch gas comes from Russia, Reuters reported.
 
⚡️France to send heavy artillery to Ukraine.

French President Emmanuel Macron told local newspaper Ouest-France that his country would provide Ukraine with Milan anti-tank missiles and Caesar self-propelled howitzers. He said France would continue “on this route.”
 


Russian Spetsnaz destroys a Ukrainian unit & its hardware in a night ambush. The use of Special Forces and night hunting has been extensive by Russia. We basically have 2 footages a day… and those are only the ones that get released.
 
Screenshot_20220422-191231.jpg
 
What happened to demilitarization and denazification

So, the Russian war’s new “official” goals:
1. Full control of Donbas
2. A land connection between Russia and Crimea
3. Full control of Southern Ukraine and a land access to the Transnistria (where “Russian-speaking population is being oppressed”)
Code red for Moldova 🚨
"Military planners" wa Russia wameishapiga mahesabu.

Weka alama kama ya msalaba na uione kulia kwenda kushoto ni maili kama 300 pande zote mbili.

Hivyo ukianzia Kramatorsk kwenda kusini Donbas ni maili 300 na kutoka Donbas hadi Transnistria ambao ni mji mkuu wa Moldova ni maili 300 pia.

Hivyo mahesabu yashapigwa mapema.

Cha muhimu kuzingatia ni kwamba sasa hivi Russia ameweka "buffer Zone" hivyo wako wafuatulia kila kitu (shehena za silaha kwenda Ukraine|) chini , juu na baharini mzigo ukishuka wao waulipua kwa makombora.
 
🛢 U.S. Treasury Cautions EU On Russian Oil Ban: 'More Harm Than Good'


A full EU ban on Russian crude oil and gas imports could have unintended economic consequences for the United States and its Western allies, U.S. Treasury Secretary Janet Yellen told reporters in Washington on Thursday. The Treasury Secretary added that such a ban could do more harm than good.


A full and immediate ban in the EU on Russian energy would cut off more than 4 million bpd of Russian oil and send crude oil prices to $185 per barrel. The EU and the European Commission has been discussing an embargo on Russian crude oil, but the group is divided on the issue, with countries such as Germany strongly opposed.


Yellen agreed that a European energy ban would raise oil prices, "and, counterintuitively, it could actually have very little negative impact on Russia" because while Russia could end up exporting less oil, the price it would get for each barrel could also go up.


Subscribe to: @RussiaUSA
 
"Military planners" wa Russia wameishapiga mahesabu.

Weka alama kama ya msalaba na uione kulia kwenda kushoto ni maili kama 300 pande zote mbili.

Hivyo ukianzia Kramatorsk kwenda kusini Donbas ni maili 300 na kutoka Donbas hadi Transnistria ambao ni mji mkuu wa Moldova ni maili 300 pia.

Hivyo mahesabu yashapigwa mapema.

Cha muhimu kuzingatia ni kwamba sasa hivi Russia ameweka "buffer Zone" hivyo wako wafuatulia kila kitu (shehena za silaha kwenda Ukraine|) chini , juu na baharini mzigo ukishuka wao waulipua kwa makombora.
What happened to demilitarization and denazification.
 
In the Afghan province of Kunduz, an explosion at a mosque killed 33 people and injured 43.

This was stated by the representative of the Taliban*.

The explosion occurred during a religious ceremony for school students at the mosque. No one has yet claimed responsibility for the attack.

* "Taliban" - the organization is under UN sanctions for terrorist activities.
20220421_083919.png
 
Back
Top Bottom