D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
thread bora ya muda wote jukwaa la international: kwa nini russia iliosambaratika na dhaifu bado ni hatari kwa NATO?...Kongole kwake MALCOM LUMUMBA
Hii nayo ya kurukiarukia....
Russians so far have destroyed all Ukraine military equipment and their ability to use air defence systems that is demilitarization in progress.What happened to demilitarization and denazification.
Wanalegea sasa.
Kama Mbinguni tu kulikuwa na Vita isitoshe hapa Duniani.Venus,frankly mimi na wewe hatujui exactly what happened to the Moskva and its' crew.Nimesema kwenye vita kuna propaganda nyingi sana,kwa hiyo kuujua ukweli kwa kuwa hatupo kwenye eneo la tukio ni vigumu sana.
Hata hivyo naomba niseme nipo upande gani.Mimi nipo upande wa Urusi,kwa kuwa it is less evil,humane and rational compared to the US,ingawa sincerely sipendi vita kwa kuwa it is destructive in terms of human life and property.
Russia ni hatar hawa jamaa ni majasusu kuteka kambi nzima sio mchezo asee hawa jamaa tuwape heshima yao hawana mpinzani
Hatukurupuki na habari za kudandia....Kaaa Kwa utulivu usitikise Tako.... Endeleeni kurukia melivita vipi ...mmekosa Cha kupost !!??
Kaa Kwa utulivu sasa utavunja sindano.... Mmedandia melivita mpaka imewachosha ...hamna jipya ...tumeteka Kambi nzima na hamna la kufanya ....na kichapo tunawapa Cha kushato ...hamna la kufanya zaidi ya kuvumilia tu maumivu ....ikiuma sana chomoa uende.Hatukurupuki na habari za kudandia....
Uholanzi hawaitegemei sana gas ya mrusi! Wao wenyewe wanayo huko Groningen.... na wanasema 'wakiifungua' zaidi wanaweza wakasaidia 20% kwa Europe yote!... tatizo linakuja kwenye maamuzi tu sababu kila mwaka huwa kunatokea matetemeko ya ardhi huko Groningen na uharibifu wa nyumba za watu! Nchi masikini tu ndio zina bweka sana... ulaya 'matajari' wanaendelea kukomaa.Pole pole Russian energy itakua historia EU
⚡️Netherlands aims to stop buying Russian gas till end of 2022.
Dutch Minister of Climate and Energy Rob Jetten said his government will spend $675 million on incentives for companies to fill up gas storage facilities. About 15% of Dutch gas comes from Russia, Reuters reported.