Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizi picha zina trend fb na twiter zimetoka voa, ni vifaru vya Ukuraini sehemu moja inaitwa Bucha, wa Rusi waliteketeza kambi zima na wanajeshi karibia wote
unaota wewe 😂😂😂 leta hiyo linki ya voa hapa
 
Kitu Cha kutia aibu kuhusu iyo drone hakuna kitu hata kimoja made in Russia wali ifungua ndan Kuna kamela ya canon.
Drone ya bei nafuu iliyojengwa kwa kutumia vifaa vya rafu. Lengo lote la ndege hiyo isiyo na rubani ni kutoa reconnaissance kwa makombora ya Urusi hiyo ni decoy tu.

Katika tukio kama kuwa alitekwa haitoi aina ya taarifa za intelligence kwa adui. Magharibi kwa upande mwingine hawajali kupoteza mamilioni ya dola ya ndege zisizo na rubani ambazo zimefanyiwa reverse engineering.
 
Kila wakati ambao Dunia imekuwa ikipitia ugumu fulani.. ni wakati ambao Israel ndo ilitumia kuchukua hatua kwa Palestine.. kutokana na hii vita ya Ukraine kusongwa na uongo mwingi wa vyombo vya habari hasa vya magharibi na kutengeneza "chaos" au taharuki baina ya watu.. kiasi ambacho vita ya Israel na Palestine imefunikwa hivi..

Kunauwezekano mpaka vita ya Urusi dhidi ya Ukraine inamalizika Israel itakuwa imetimiza jambo lake Palestine.. ambalo lilitakiwa kukemewa na walimwengu.
 
Kama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.

[emoji298]️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.

White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
Unataka kutuaminisha kuwa wanajeshi wa Russia wakiziona hizo ndege hawatozidungua sio?. Kuna video wanajeshi wa Russia wapo kwenye kifaru wanaiburuza bendera ya marekani kwa kutumia exhaust.
 

IMG_2604.jpg

Ngoja tuchukue ukraine yote ili wapate akili[emoji28]
 
Back
Top Bottom