Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Acha Kumhusisha mungu na Upumbavu wa MashogaKwa wale mliokuwa mkiiombea Ukraine kushinda vita Mungu kajibu anasema kama ile meli ya vita ya urusi ilivyozama ndivyo jeshi la urusi litazama.Mungu kama alivyozamisha jeshi la Farao lote kwenye bahari ya Shamu walipowafuatilia wayahudi ndivyo itakavyotokea kwa Jeshi la Urusi
Msiangalie uwingi wa Jeshi lake wala mivifaa take ya kijeshi .Farao aliwazidi wayahudi kijeshi kwenye kila kitu kijeshi lakini Mungu akazamisha Jeshi lote na mi vifaa yao ndicho kinaenda kulikuta Jeshi la urusi
Anzeni kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo ambao Mungu anaenda kuwashindia Ukraine
Mungu yupi kawaruhusu Mfanye Ushenzi!
Mrusi kaleta Heshima nchi 30+ dhidi ya Taifa 1 Mnalia lia
Mtaongea Yote simmeanza Kujua Mungu yupo