Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,617
- 10,524
" Kazi iendelee".. eti kazi iendelee!!!!Nawasalimu kwa jina la RUSSIA.
Viva putin!
" Kazi iendelee".. eti kazi iendelee!!!!Nawasalimu kwa jina la RUSSIA.
Wewe unamwamini Yesu au Musa?Wewee, mbona ktk bible Kuna thread nyingi Mungu anawasaidia Waisrael ktk vita
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Akili za watoto mliokulia maziwa ya mbuzi mnazijuaga wenyeweHadi sasa Urusi kashindwa vita na hii vita itampa hasara kubwa
Aisee hii kali.....Kwa wale mliokuwa mkiiombea Ukraine kushinda vita Mungu kajibu anasema kama ile meli ya vita ya urusi ilivyozama ndivyo jeshi la urusi litazama.Mungu kama alivyozamisha jeshi la Farao lote kwenye bahari ya Shamu walipowafuatilia wayahudi ndivyo itakavyotokea kwa Jeshi la Urusi
Msiangalie uwingi wa Jeshi lake wala mivifaa take ya kijeshi .Farao aliwazidi wayahudi kijeshi kwenye kila kitu kijeshi lakini Mungu akazamisha Jeshi lote na mi vifaa yao ndicho kinaenda kulikuta Jeshi la urusi
Anzeni kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo ambao Mungu anaenda kuwashindia Ukraine
Ukichanganya Mungu na vita unamkosea heshima kubwa sana.
Kwa hiyo Mungu anasapoti upande gani? Na wewe umejuaje?
Venus,frankly mimi na wewe hatujui exactly what happened to the Moskva and its' crew.Nimesema kwenye vita kuna propaganda nyingi sana,kwa hiyo kuujua ukweli kwa kuwa hatupo kwenye eneo la tukio ni vigumu sana.Mzee meli izamishwe watu wote watoke salama. Duh!!!
Venus,frankly mimi na wewe hatujui exactly what happened to the Moskva and its' crew.Nimesema kwenye vita kuna propaganda nyingi sana,kwa hiyo kuujua ukweli kwa kuwa hatupo kwenye tukio ni vigumu sana.
Hata hivyo naomba ni declare allegiance yangu.Nipo upande wa Urusi kwa kuwa it is less evil,humane and rational compared to the US,ingawa sincerely sipendi vita kwa kuwa it is destructive in terms of human life and property.
Sawa gwajimaKwa wale mliokuwa mkiiombea Ukraine kushinda vita Mungu kajibu anasema kama ile meli ya vita ya urusi ilivyozama ndivyo jeshi la urusi litazama.Mungu kama alivyozamisha jeshi la Farao lote kwenye bahari ya Shamu walipowafuatilia wayahudi ndivyo itakavyotokea kwa Jeshi la Urusi
Msiangalie uwingi wa Jeshi lake wala mivifaa take ya kijeshi .Farao aliwazidi wayahudi kijeshi kwenye kila kitu kijeshi lakini Mungu akazamisha Jeshi lote na mi vifaa yao ndicho kinaenda kulikuta Jeshi la urusi
Anzeni kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo ambao Mungu anaenda kuwashindia Ukraine
Na putin ashatoa order kwa wajeda wake wasiruhusu hata nzi kutoka wala kuingia ndani ya eneo hilo walilojificha hao nguchiro.
Na hii kauli ukiitazama kwa jicho la ki intelijensia utagundua anacho manisha jasusi mbobevu.
Hakuna komando wala field marshal anaeweza kushindana na njaa wala maji, putin anajua wazi kabisa chakula na maji waliyo nayo hawawezi kuendelea kujificha kwa muda hata wa wiki moja bali itafikia sehemu watatoka wenyewe tu huku wakiwa wamelegea kama walevi wa ulanzi.
Na ndo maana akatoa order ya kutoruhusu hata nzi kupaa paa maeneo hayo ili wasipate hata kipande cha mhogo cha kusogezea siku za kuendelea kujichimbia.
Putin ni mtu smart sana ndugu zangu.
Labda Mungu huyo awe babu Biden. Yaani Mungu aliwaangamiza watu wa Sodoma na Gomora kwa uchafu waliokuwa wanaufanya,halafu leo awakomboe watendao uchafu huo na kuutangaza kisa tuu wewe umesema!!!Kwa wale mliokuwa mkiiombea Ukraine kushinda vita Mungu kajibu anasema kama ile meli ya vita ya urusi ilivyozama ndivyo jeshi la urusi litazama.Mungu kama alivyozamisha jeshi la Farao lote kwenye bahari ya Shamu walipowafuatilia wayahudi ndivyo itakavyotokea kwa Jeshi la Urusi
Msiangalie uwingi wa Jeshi lake wala mivifaa take ya kijeshi .Farao aliwazidi wayahudi kijeshi kwenye kila kitu kijeshi lakini Mungu akazamisha Jeshi lote na mi vifaa yao ndicho kinaenda kulikuta Jeshi la urusi
Anzeni kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo ambao Mungu anaenda kuwashindia Ukraine
Unaweza kuona kuwa kumbe Kuna watu walikua hawapumui kuwa chini ya Serikali ya Ukraine.View attachment 2195641
The residents of Donetsk greet the fighters of the "Somalia" battalion from Mariupol with shouts of "Hurrah!"
Soldiers of the "Somalia" battalion marched victoriously to Donetsk, where they were greeted with flowers and flags. The guys successfully completed the tasks of liberating the city from Ukrainian nationalists, playing a key role in the offensive operation of the NM DPR and the RF Armed Forces.
Well done💪