Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mamia ya waEthiopia wafurika ubalozi wa Russia nchini Ethiopia wakitaka kujitolea kwenda Ukraine kupigana upande wa Russia...

Wanasema wao ni ndugu na Russia, udugu wao ni wa miaka mingi...lazima wakawanyooshe waUkraine

View attachment 2196435

View attachment 2196436
View attachment 2196439
Wachumia tumbo tu hao,even History does not prove their claim.Labda watuambie wanaisaidia Russia as a gesture of good will kwa kuwa the NWO Cabal led by Klaus Schwab(WEF) inaionea Urusi.Hapo tutawaelewa.
 
Hiyo banker hata warushe mabomu gani haibomoki kamwe
Samahani ndugu,sitaki kukuita Muongo,inawezekana hujui TU.
USA ana makombora yanaitwa "bunker busters".
Aliyatumia sana Iraq.
Sasa kama USA anayo mambomu ya namna hiyo kweli Urusi akosw kua nayo?
Hata hivyo jeshi la Urusi lilipanga kuangamiza kabisa mahandaki hayo baada ya kuweka deadline,lakini Putin akabadili mawazo,maana pengine Kuna watu wema wameshikiliwa mateka kama ngao.
Kwa hivyo,kwa kutaka kuyalipua maana yake mabomu ya kuyalipua wanayo.
Baba ikumbukwe kua Urusi ni mabingwa wa makombora na mabomu.
Wakati USA ana Mother of all bombs,
Urusi ana Father of all bombs.
Makombora ya kutifua mahandaki hayo Urusi anayo ya kutifua nchi kama Ufaransa nzima na kuifuta katika uso wa Dunia.
 
SmartSelect_20220422-161558_Twitter.jpg
 
Aisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...

Yaani wameteka kambi kubwa zaidi (kwa mkoa wa Kharkiv) yenye silaha kibao zikiwemo silaha zilizotumwa na Marekani na washirika wake kwenda kuisaidia Ukraine...Karibu tani 1,000 (kilogram 1,000,000) za silaha zimetekwa, na kambi hiyo iliyotekwa ina eneo lenye ukubwa zaidi ya hekta 350...

Asante sana Putin

SmartSelect_20220422-162728_Chrome.jpg

Screenshot_20220422-162910_Chrome.jpg
 
Naona sasa vikosi vya Ukraine pumzi imekata
Aisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...

Yaani wameteka kambi kubwa zaidi (kwa mkoa wa Kharkiv) yenye silaha kibao zikiwemo silaha zilizotumwa na Marekani na washirika wake kwenda kuisaidia Ukraine...Karibu tani 1,000 (kilogram 1,000,000) za silaha zimetekwa, na kambi hiyo iliyotekwa ina eneo lenye ukubwa zaidi ya hekta 350...

Asante sana Putin

View attachment 2196553
View attachment 2196552
 
Kwani mmeshinda nini? Mariupol penyewe hadi sasa mmeshindwa zama ground
hujawahi kuwinda wewe!!panya umembana kakimbilia shimoni ,huna haja ya kuingia ndani,we kaa nje kila akitaka kutoa kichwa anakutana na mlio wa bullets ,anarudisha kichwa ndani,mwishoni atatoa kichwa Tena kwa kukata tamaa ya kuishi na akiwa hoi kwa njaa na kiu,Sasa hapo hupigi bullets ,muache atoke halafu unakwenda kumdaka kwa mikono ,halafu utachagua nn Cha kumfanya !!!! hiyo battlerion iliyo jichimbia mashimoni itaomba poo yenyewe ,wababe wako nje wanapunga upepo,wakimaubiri panya wao ajilete mwenyewe nje !!
 


Putin orders Russian troops not to storm Mariupol's Azovstal steel plant; 'seal the zone' completely​

hii kitu asikwambie kitu,ukiwekewa seal the zone!! Ebwana we mnaweza mkaanza kukatana makalio na kula nyama za makalio ya wenzenu !!kibaya unamuona mwenzio anakata kamba live kwa njaa/kiu sio kwa bullets ya adui Ila njaa,na kiu,hii kitu ni mbaya Sana kwenye medani ya Vita,kwanza mnaosalia mnakosa molale kabisa ya kupigana ,kifo Cha bullets ni kizuri kwa kuwa huwa kinatoa mizuka kwa pot ,Ila njaa ni kifo Cha aibu Sana kwa soldier's.
 
Aisee hiyo waliyofanya Russia ni kufuru...

Yaani wameteka kambi kubwa zaidi (kwa mkoa wa Kharkiv) yenye silaha kibao zikiwemo silaha zilizotumwa na Marekani na washirika wake kwenda kuisaidia Ukraine...Karibu tani 1,000 (kilogram 1,000,000) za silaha zimetekwa, na kambi hiyo iliyotekwa ina eneo lenye ukubwa zaidi ya hekta 350...

Asante sana Putin

View attachment 2196553
View attachment 2196552
hilo ni kambi kubwa kwelikweli nahisi new front ya warusi itakuwa ni kharkiv
 
hujawahi kuwinda wewe!!panya umembana kakimbilia shimoni ,huna haja ya kuingia ndani,we kaa nje kila akitaka kutoa kichwa anakutana na mlio wa bullets ,anarudisha kichwa ndani,mwishoni atatoa kichwa Tena kwa kukata tamaa ya kuishi na akiwa hoi kwa njaa na kiu,Sasa hapo hupigi bullets ,muache atoke halafu unakwenda kumdaka kwa mikono ,halafu utachagua nn Cha kumfanya !!!! hiyo battlerion iliyo jichimbia mashimoni itaomba poo yenyewe ,wababe wako nje wanapunga upepo,wakimaubiri panya wao ajilete mwenyewe nje !!
Panya wanaoweza kuchimba chini kwa chini wakatokea baharini halafu wanasepa wewe unasubiri huku nje mpaka atakaporudi masihi
 
Back
Top Bottom