Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

UK Allows Gazprombank Gas Payments till end of May


The Treasury has issued a temporary license allowing payments for Russian gas to be made to Gazprombank - which the UK, but not the EU, has sanctioned - until the end of May.


Moscow had demanded that Russian gas buyers open ruble and foreign currency accounts with Gazprombank or face a halt in supply. April bills are due to be settled next month.


Meanwhile, the UK scolds India for buying up Russian energy. Do as I say, not...
 
Kaa Kwa utulivu sasa utavunja sindano.... Mmedandia melivita mpaka imewachosha ...hamna jipya ...tumeteka Kambi nzima na hamna la kufanya ....na kichapo tunawapa Cha kushato ...hamna la kufanya zaidi ya kuvumilia tu maumivu ....ikiuma sana chomoa uende.
Tunza kumbukumbu tu....
 
Germany can break up the alliance of Western countries against Russia to save their own economy.

The Telegraph columnist Keith Andrews writes about this.

Unlike the United States and Great Britain, Germany will not be able to impose an embargo on Russian gas supplies without serious consequences for itself, the journalist believes (55% of blue fuel to Germany comes from Russia).

According to him, due to the hesitation of the German authorities, the allies, especially Poland, Lithuania, Latvia and Estonia, are increasing pressure on the country, while the “united anti-Russian front” is weakening.

At this stage, Berlin is refusing to reach a consensus with its allies on how to engage with Moscow, Andrews writes.View attachment 2196706
Mpaka sasa naona ujerumani imeshaamua kujitoa na huo umoja wao wa kususia kiwese na gesi ya russia sema tuu kutamka rasmi ndio inapata kigugumizi.

muda utasema sijui kama siku 10mbele hawatatoa tamko rasmi la kuendelea na nishati za urusi
 
The European Commission allows payment for Russian gas in rubles, but under certain conditions, reports Reuters.

The payment method, excluding violation of sanctions, was sent by the EC to the countries of the European Union.

The scheme provides for gas recipient companies to open foreign currency accounts in a Russian bank. On them, the buyer will credit dollars or euros with their subsequent conversion into rubles to pay for fuel.

In this case, Western countries will not be able to block the payment for Russian gas. A similar payment scheme is spelled out in the decree of Vladimir Putin, according to which, from April 1, unfriendly countries must buy Russian gas for rubles.View attachment 2196705

Ndo imeisha hio hizo kelele za kutafuta alternative sijui ni kelele za wamama wa vijiweni. Rubo kama rubo soon tutaona mataifa mengine yakianza tumia sarafu zao Safi sana Putin [emoji1320]
 
hii kitu asikwambie kitu,ukiwekewa seal the zone!! Ebwana we mnaweza mkaanza kukatana makalio na kula nyama za makalio ya wenzenu !!kibaya unamuona mwenzio anakata kamba live kwa njaa/kiu sio kwa bullets ya adui Ila njaa,na kiu,hii kitu ni mbaya Sana kwenye medani ya Vita,kwanza mnaosalia mnakosa molale kabisa ya kupigana ,kifo Cha bullets ni kizuri kwa kuwa huwa kinatoa mizuka kwa pot ,Ila njaa ni kifo Cha aibu Sana kwa soldier's.
Hii ni kama vile kuanza kutumikia death sentence kwa hiari [emoji847]
 
Kaa Kwa utulivu sasa utavunja sindano.... Mmedandia melivita mpaka imewachosha ...hamna jipya ...tumeteka Kambi nzima na hamna la kufanya ....na kichapo tunawapa Cha kushato ...hamna la kufanya zaidi ya kuvumilia tu maumivu ....ikiuma sana chomoa uende.

Asichomoe atumie kilainishi kama anaumia
 
Kila wakati ambao Dunia imekuwa ikipitia ugumu fulani.. ni wakati ambao Israel ndo ilitumia kuchukua hatua kwa Palestine.. kutokana na hii vita ya Ukraine kusongwa na uongo mwingi wa vyombo vya habari hasa vya magharibi na kutengeneza "chaos" au taharuki baina ya watu.. kiasi ambacho vita ya Israel na Palestine imefunikwa hivi..

Kunauwezekano mpaka vita ya Urusi dhidi ya Ukraine inamalizika Israel itakuwa imetimiza jambo lake Palestine.. ambalo lilitakiwa kukemewa na walimwengu.
Sure, Now all eyes yapo Ukraine, ila kinachoendelea pale Palestine ni mazito mno tena Mno...[emoji25]

Jana tu nasikia kuna watu zaidi ya 30 wamekufa pale mskiti wa Al Aqsa, kiasi mpk wale medicare waliokuwa pae wanatoa huduma walikuwa wanapigwa shaba...
 
❗️Russia Expands Sanctions List - includes Vice President Harris & Zuckerberg


29 Americans have been included in a so-called “stop list” - including senior leaders, businessmen, experts and journalists over a Russophobic agenda. (Russian Foreign Ministry)


Moscow also imposed similar sanctions on 61 Canadian citizens.
Unnessesary sactions ,hadly anyone goes to Putins Moscow .
 
Uholanzi hawaitegemei sana gas ya mrusi! Wao wenyewe wanayo huko Groningen.... na wanasema 'wakiifungua' zaidi wanaweza wakasaidia 20% kwa Europe yote!... tatizo linakuja kwenye maamuzi tu sababu kila mwaka huwa kunatokea matetemeko ya ardhi huko Groningen na uharibifu wa nyumba za watu! Nchi masikini tu ndio zina bweka sana... ulaya 'matajari' wanaendelea kukomaa.
Kweli we ni kitungi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kama Mbinguni tu kulikuwa na Vita isitoshe hapa Duniani.
Mkuu mwisho wa maendeleo yoyote Yale huwa ni uhalibifu,haijalishi ni wa aina gani-angalia hata wewe unazaliwa na kupitia stage kadhaa katika maisha na mwishowe ni kufukiwa shimoni.

Hakuna ubaya wa watu kufa,maana watu wamezaliwa ili wave na kila kifo kinatokea kwa sababu.wanajeshi wa Ukraine wanakufa kwa kutetea kilicho Chao hivyo hivyo kwa wanajeshi wa Urusi.

Mungu alimpa mwanadamu maarifa,na maarifa hayo ametumia kuunda silaha za maangamizi dhidi ya Binadamu mwenzake-kama hupendi watu kufa kutakuwa na maana gani mataifa kutumia maarifa yao na resources kuunda zana za kijeshi-only destruction.Na kupitia situation kama hii akili ya mwanadamu inapanuka zaidi+na ndivyo maendeleo yanapatikana na uharibifu nao unakuwa haupo mbali.

Life is game of chance,usipokufa kwa kupigana utakufa kwa njia nyingine.So maisha na kifo vyote sawa-enjow the show brother
Hapana brother,life is not a game of chance,you plan how you will leave and die by what you eat, your belief system and confession.You are a product of what you eat,believe and confess by your mouth
 
Wafute sasa alphabet zote....🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20220422-202750.jpg
 
Back
Top Bottom