Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The United States is ready for any steps to "hold Russia accountable" for the situation around Ukraine, except for a direct military confrontation, the White House said.View attachment 2196719
RUSSIA sio ZIMBABWE
Halaf kuna viwatu vinasema RUSSIA nidhaifu eti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urusi kumomonyoka kama ilivo kuwa German.Mgogoro wa waisrael na watupa mawe ulianza miaka mingi kabla ya emanuel kuzaliwa.Mgogoro wa middle east unachanganya sana vichwa makatibu wakuu wa UNO tangia 1948 mpaka leo yanga inapoongoza ligi kuu.Hivyo ni bora kushabikia urusi imomonyoke na dunia kuwa ya kidemocrasia zaidi kuliko kufuatia maudhi ya watupa mawe eti wanadai uhuru!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpunguze kuwaletea update kwenye uwanja wa vita maana kwa siku ya leo naona watakuwa wamepata na homa kabisa,maana kila baada ya saa wanasikia mji fulani warusi washachukua sasa kwa stahili iyo mnategemea watawasha data kweli

Wana ka thread kao huwa wanafarijiana
 
Sijawahi ona taifa linaloendesha mambo yake kwa Interest za Washington kisha Kiongozi wake akawa na akili timamu...

Kuna maamuzi mengine kufanya ni hadi dishi liyumbe kwanza mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So usishangae saaaaana ase...

Huwa tunasema wa'Afrika tuna maamuzi na viongozi wabovu ila me napinga, Afrika tuna viongozi wasio jiamini ila wanaweza bali hawa wanajiamini ila ni wa HOVYO sana tena sana.

Kiongozi mwenye akili timamu kwao hapendwi. Ataitwa dictator au extremist basi...
Dah kwakwel MKUU upo SAHIHI
 
Urusi kumomonyoka kama ilivo kuwa German.Mgogoro wa waisrael na watupa mawe ulianza miaka mingi kabla ya emanuel kuzaliwa.Mgogoro wa middle east unachanganya sana vichwa makatibu wakuu wa UNO tangia 1948 mpaka leo yanga inapoongoza ligi kuu.Hivyo ni bora kushabikia urusi imomonyoke na dunia kuwa ya kidemocrasia zaidi kuliko kufuatia maudhi ya watupa mawe eti wanadai uhuru!
Wewe sio Tango bali Bamia. Huna unachojua kwenye siasa za kimataifa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ila nyie life liko speed balaa...

Week ka 2 zilizopita viongozi wa EU walikuwa wanaendesha kikampeni chao cha kua No Gas No Oil from Russia so No EU money for Putin Army...

US nao wakapiga ban kivuli import ya Oil and Gas from Russia...

EU wakabisha kulipia Gas kwa Ruble wakidai haipo kwenye mkataba...

Ila hali halisi ilivo sasa

Lakini sasa kauli zimebadilika...

US 💥 Huyu bado anaendelea kununua Oil na Gas kutoka Russia tena kwa kiwango kikubwa kuliko kile cha awali...

Pentagon 💥 wanadai ati "EU should be careful with Embargo of Russian Gas, it will bring more harm to them than good... (huu ni unafiki wa kwanza ikumbukwe hawa ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye hii kampeni wakitoa na ahadi juu kua watafidia gap la Russia ikiwa EU watafanya hivo...)

IMF 💥 Europe will be able to do without Russian Gas no longer than six months...

EU wenyewe sasa... 💥 EU reportedly to allow payment for Russian gas in Rubles.

Ajabu Hawa ndio wanajiita World Leaders kutoka Ile so called International Community...

Shenzi kabisa na JoBo tumkumbushe 2022 imebaki miezi mi8 mbele. Asimamie kauli yake vizuri ya kuachana na Gas ya Russia mwisho w mwaka huu asilete visingizio.

Kwa waungwana watamwona muungwana mwenzao Russia, hana mapigano ya kike kusutana na kuvuliana nguo kishoga ka hawa jamaa wafanyavyo.

Wanamwekea vikwazo ilhali kashikilia silaha nzito dhidi yao zaidi ya Nuclear yenyewe ila katulia tuli kuwatazama na wala hageuzi biashara zake na rasilimali zake kua silaha dhidi ya washindani wake...

Russia are so powerful yet wako humble na more diplomat kuliko taifa lolote chini ya jua.
 
Hao waliozingirwa kwenye mahandaki huko mauripol na wale watata wa kivita na maustaadh mashuhuri wachechens wanajiwazia mno mana wajomba wanatembea na baby care kwenye masikio sijui wanataka wawafanye nini watoto wa watu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hivi hili suala la watu kuweka mafuta sikioni ni kweli au kuchangamsha jukwaa??
 
Ila nyie life liko speed balaa...

Week ka 2 zilizopita viongozi wa EU walikuwa wanaendesha kikampeni chao cha kua No Gas No Oil from Russia so No EU money for Putin Army...

US nao wakapiga ban kivuli import ya Oil and Gas from Russia...

EU wakabisha kulipia Gas kwa Ruble wakidai haipo kwenye mkataba...

Ila hali halisi ilivo sasa

Lakini sasa kauli zimebadilika...

US [emoji95] Huyu bado anaendelea kununua Oil na Gas kutoka Russia tena kwa kiwango kikubwa kuliko kile cha awali...

Pentagon [emoji95] wanadai ati "EU should be careful with Embargo of Russian Gas, it will bring more harm to them than good... (huu ni unafiki wa kwanza ikumbukwe hawa ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye hii kampeni wakitoa na ahadi juu kua watafidia gap la Russia ikiwa EU watafanya hivo...)

IMF [emoji95] Europe will be able to do without Russian Gas no longer than six months...

EU wenyewe sasa... [emoji95] EU reportedly to allow payment for Russian gas in Rubles.

Ajabu Hawa ndio wanajiita World Leaders kutoka Ile so called International Community...

Shenzi kabisa na JoBo tumkumbushe 2022 imebaki miezi mi8 mbele. Asimamie kauli yake vizuri ya kuachana na Gas ya Russia mwisho w mwaka huu asilete visingizio.

Kwa waungwana watamwona muungwana mwenzao Russia, hana mapigano ya kike kusutana na kuvuliana nguo kishoga ka hawa jamaa wafanyavyo.

Wanamwekea vikwazo ilhali kashikilia silaha nzito dhidi yao zaidi ya Nuclear yenyewe ila katulia tuli kuwatazama na wala hageuzi biashara zake na rasilimali zake kua silaha dhidi ya washindani wake...

Russia are so powerful yet wako humble na more diplomat kuliko taifa lolote chini ya jua.
RUSSIA hesabu zao walizichakata vyema sanaaaa
Jamaa walikua wanajua tu kama hao wapuuzi wataruka weeeeh ila mwisho watawaangukia tuu
Nandio kinatokea muda huu sasa yaani waloiwekea RUSSIA vikwazo mpaka kushusha thamani ya sarafu yake ndio hao hao walofanya ama watakao fanya
-RUBO iwe maarufu maana wengi walikua hawaijui hata jina nikiwemo mimi ila kwanza wameipa umaarufu kupitia media zao wenyewe
-RUBO kua na thamani kinyume na matarajio yao yaani RUSSIA walijua kwakuanzisha OP dhidi ya UKRAINE watapata mtikisiko wakiuchumi wakiwango kiasi ila kwamuda mfupi ila baada ya hapo kwao kicheko nandio kinachotokea muda huu!!!!!
 
Ila nyie life liko speed balaa...

Week ka 2 zilizopita viongozi wa EU walikuwa wanaendesha kikampeni chao cha kua No Gas No Oil from Russia so No EU money for Putin Army...

US nao wakapiga ban kivuli import ya Oil and Gas from Russia...

EU wakabisha kulipia Gas kwa Ruble wakidai haipo kwenye mkataba...

Ila hali halisi ilivo sasa

Lakini sasa kauli zimebadilika...

US 💥 Huyu bado anaendelea kununua Oil na Gas kutoka Russia tena kwa kiwango kikubwa kuliko kile cha awali...

Pentagon 💥 wanadai ati "EU should be careful with Embargo of Russian Gas, it will bring more harm to them than good... (huu ni unafiki wa kwanza ikumbukwe hawa ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye hii kampeni wakitoa na ahadi juu kua watafidia gap la Russia ikiwa EU watafanya hivo...)

IMF 💥 Europe will be able to do without Russian Gas no longer than six months...

EU wenyewe sasa... 💥 EU reportedly to allow payment for Russian gas in Rubles.

Ajabu Hawa ndio wanajiita World Leaders kutoka Ile so called International Community...

Shenzi kabisa na JoBo tumkumbushe 2022 imebaki miezi mi8 mbele. Asimamie kauli yake vizuri ya kuachana na Gas ya Russia mwisho w mwaka huu asilete visingizio.

Kwa waungwana watamwona muungwana mwenzao Russia, hana mapigano ya kike kusutana na kuvuliana nguo kishoga ka hawa jamaa wafanyavyo.

Wanamwekea vikwazo ilhali kashikilia silaha nzito dhidi yao zaidi ya Nuclear yenyewe ila katulia tuli kuwatazama na wala hageuzi biashara zake na rasilimali zake kua silaha dhidi ya washindani wake...

Russia are so powerful yet wako humble na more diplomat kuliko taifa lolote chini ya jua.
russia amewavua nguo mchana kweupeeee! tunaweza kuwa tunalichukulia hili swala poapoa tu ila ni aibu kubwa sana kwa nato kufeli kumdhibiti mrusi hasa kwenye era hii ya social networks ambayo hata mjaruo wa msoma mara taarifa za wanaojiita vilanja wa dunia "nato" kupigwa nakitu kizito kichwani zinamfikia kiganjani...
 
hii kitu asikwambie kitu,ukiwekewa seal the zone!! Ebwana we mnaweza mkaanza kukatana makalio na kula nyama za makalio ya wenzenu !!kibaya unamuona mwenzio anakata kamba live kwa njaa/kiu sio kwa bullets ya adui Ila njaa,na kiu,hii kitu ni mbaya Sana kwenye medani ya Vita,kwanza mnaosalia mnakosa molale kabisa ya kupigana ,kifo Cha bullets ni kizuri kwa kuwa huwa kinatoa mizuka kwa pot ,Ila njaa ni kifo Cha aibu Sana kwa soldier's.
''Seal the Soldiers zone'' ndio sababu kubwa ya Wajeda kuuana na kujiua
 
Mimi ninavyojua kila kinachotokea ni mungu kapanga, ukiona shoga mungu kapanga, ukiona Vita mungu kapanga Kwa kuwa duniani hakuna kitu kinaweza kutokea bila mungu kuamuru kitu hicho kitokee,

Yaani siku ukijikuta peponi mungu ndiye kapanga na siku ukijikuta Moroni mungu ndiye kapanga
Anzisheni thread nyingine ya kuhusu huyo Mungu maana hayupo na hana msaada katika maisha ya mwanadamu.

Mkimaliza mwalikeni na Kiranga, wengine tupate kusoma
 
Ila nyie life liko speed balaa...

Week ka 2 zilizopita viongozi wa EU walikuwa wanaendesha kikampeni chao cha kua No Gas No Oil from Russia so No EU money for Putin Army...

US nao wakapiga ban kivuli import ya Oil and Gas from Russia...

EU wakabisha kulipia Gas kwa Ruble wakidai haipo kwenye mkataba...

Ila hali halisi ilivo sasa

Lakini sasa kauli zimebadilika...

US 💥 Huyu bado anaendelea kununua Oil na Gas kutoka Russia tena kwa kiwango kikubwa kuliko kile cha awali...

Pentagon 💥 wanadai ati "EU should be careful with Embargo of Russian Gas, it will bring more harm to them than good... (huu ni unafiki wa kwanza ikumbukwe hawa ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye hii kampeni wakitoa na ahadi juu kua watafidia gap la Russia ikiwa EU watafanya hivo...)

IMF 💥 Europe will be able to do without Russian Gas no longer than six months...

EU wenyewe sasa... 💥 EU reportedly to allow payment for Russian gas in Rubles.

Ajabu Hawa ndio wanajiita World Leaders kutoka Ile so called International Community...

Shenzi kabisa na JoBo tumkumbushe 2022 imebaki miezi mi8 mbele. Asimamie kauli yake vizuri ya kuachana na Gas ya Russia mwisho w mwaka huu asilete visingizio.

Kwa waungwana watamwona muungwana mwenzao Russia, hana mapigano ya kike kusutana na kuvuliana nguo kishoga ka hawa jamaa wafanyavyo.

Wanamwekea vikwazo ilhali kashikilia silaha nzito dhidi yao zaidi ya Nuclear yenyewe ila katulia tuli kuwatazama na wala hageuzi biashara zake na rasilimali zake kua silaha dhidi ya washindani wake...

Russia are so powerful yet wako humble na more diplomat kuliko taifa lolote chini ya jua.
Halafu kuna kenge walikuwa wanamuita Putin chizi😅😅😅
 
RUSSIA hesabu zao walizichakata vyema sanaaaa
Jamaa walikua wanajua tu kama hao wapuuzi wataruka weeeeh ila mwisho watawaangukia tuu
Nandio kinatokea muda huu sasa yaani waloiwekea RUSSIA vikwazo mpaka kushusha thamani ya sarafu yake ndio hao hao walofanya ama watakao fanya
-RUBO iwe maarufu maana wengi walikua hawaijui hata jina nikiwemo mimi ila kwanza wameipa umaarufu kupitia media zao wenyewe
-RUBO kua na thamani kinyume na matarajio yao yaani RUSSIA walijua kwakuanzisha OP dhidi ya UKRAINE watapata mtikisiko wakiuchumi wakiwango kiasi ila kwamuda mfupi ila baada ya hapo kwao kicheko nandio kinachotokea muda huu!!!!!
Halafu kuna wehu walikuwa wanamwita Putin mwendawazimu😂 nikacheka sana! Ilikuwa ni swala la muda tu, Russia sio Zimbabwe yani.

Hata yule Veteran wa kimarekani alituasa mapema kuwa Russia hajaamua kutumia nguvu zake tu. Baada ya kupeleka interns wengi wa kijeshi na vifaa chakavu mwanzoni alionekana kama anatania hivi😅 ila sasa Pro Ukrainians watapata somo kuwa mrusi ni mtu wa aina gani!

Kiko wapi sasa, ooh ruble haiwezi tumika blaah blaah walikaza vichwa ila siku zote boss hanuniwi! Uchumi ni viwanda na nishati ndio inaendesha viwanda, utaachaje nishati ya bei nafuu toka kwa mrusi eti upambane kisa uonekane mwamba? Ilikuwa swala la muda tu maana wenzetu kule baridi inaweza kuwaua kipindi cha winter kama watakaza ubongo.

Impact kiuchumi hamna ambaye haijamfikia mpaka kwetu huku kajamba nani bei ya petroli imedrift toka 2,400 mpaka 2,800 ghafla.
 
Back
Top Bottom