Miji 42 ni sawa sawa na kutoka dar hadi mwanza, na hivo hiyo miji haifiki, manaake lengo lake la kuunda nchi huru ya Donesk limesha timia tayari, hilo eneo ni kubwa 600km ni eneo kubwa nikama kutoka dar hadi Manyoni.......Marekani yalalamika kuwa majeshi ya Russia yameteka jumla ya miji 42 mashariki ya Ukraine ndani ya wiki moja tu ya kuanza kwa phase hii ya pili ya operesheni maalumu ya kijeshi. Maafisa wa Ukraine wamekiri kupoteza umiliki wa miji hiyo 42...Naona Marekani na Zelensky wameamua kuanza kuongea ukweli wa kimachotokea field[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56]
Huu ni udhaifu mkubwa nchi kubwa kama Ukraine ambayo serikali yake imekuwa ikijitapa kushinda vita kwenye media. Pia ni fedheha kwa Marekani na washirika wake ambao wamekuwa wakiudanganya Ulimwengu kuwa Zelensky anashinda vita hivyo.
Kwa kweli kama 'kushinda vita' maana yake ni 'kupigwa mabomu, mizinga na makombora nchi nzima kila kukicha na kupoteza miji mingi namna hiyo (miji 42) ndani ya wiki moja tu'...basi bora huo ushindi aubebe Zelensky (Ukraine) na waUkraine wa Tandahimba.
View attachment 2197190
View attachment 2197189
Marikani na Nato wameanza kutafuta public sympathy ya kusingizia kuua raia genocide nk, lakini mwenye lawana kubwa ni Zelensky ze comedy alijua vizuri kwamba itatokea kumshida Mrusi ila kwasbb alitaka kufurahisha USA akakubali kuingia vitani na matokeo ya vita ndo hayo.
Ukraine will never be the same again as before Russia sio mjinga, na hamna nchi ya ku-stopisha Mrusi EU na Nato wame expose madhaifu yao kwamba ni wa oga wa vita na siraha zao can't outmatch Russians na hawamuwezi Mrusi militarily na economically,
Wa lidhani Economic sanction ndo kiboko yake ila zime backfire kwao lazima warudi kwenye drawing table wajipange upya wajue wana faili wapi.........wasipo angalia EU itasabaratika nchi kama Ujerumani Italiano na Balkani states zina anza ku-doubt umuhimu wa EU ambaye iwezi kuwapa gas wamegundua kwamba they can't do away without Russians gas chemical fertiliser ngano nk, kwa ufupi Russia ina umuhimu kwao kuliko ufaransa na America