Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kivita miji inamaanisha kurudisha nyuma maadui kwa kilomita kadhaa hata Kama Ni mbili. Eneo hata dogs ambalo lilikua chini ya maadui likikombolewa huo Ni mji kivita
Mh! kaka ebu tushushe kwenye gari lako.mji ni mji tu hakuna mji wa kwenye vita na mji wa kawaida.mji ni sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na majengo na biashara.yani uwasukume maadui nyuma kilometer 3 alafu useme umechukua mji si utani uwo kaka.mji una sifa yake
 
Ni kawaida braza, tajiri wa kweli hana kelele... ila masikini mwenye vijipesa kidg ana kelele na show off nyingi. Nishati ni uti wa mgongo wa mataifa ya ulaya, pale ulaya wanategemea zaidi ya asilimia 40 ya nishati toka urusi. Nchi kama Germany ambayo ndio kinara wa uchumi pale EU anategemea 55% ya nishati ya Russia. Nord stream 2 ingekamilika walikua wanategemea zaidi ya 80% hicho ndicho US kilimchanganya. Ushawishi wake Eu ungepungua mno... ila ndio hivyo

Nuclear power could produce hydrogen, heat homes and decarbonise industry with surplus heat and electricity
images.jpeg

 
Nimecheka sana walisumbua mwanzo... sema kwenye propaganda na uongo west wanajua bhana, ila mkono hawawezi kabisa.. ni waoga mno mno.
Yah kwenye Propaganda wako vizuri, Wanajua mno tena mno... Kuna jamaa nilikuwa nachat nao, nikawaambia kua Niliitizama BBC yenu hiyo mwanzo ilikuwa inadai Russia ataishiwa chakula ndani ya siku 3 ila sasa yapata mwezi...

Majibu waliyonipa sasa [emoji23]
Screenshot_20220423-101547-01.jpg
 
The European Commission allowed payment for Russian gas in rubles, said Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev.

"We appreciate the consistency and integrity of our European partners. Especially considering that, according to the latest data from the International Monetary Fund, Europe will be able to do without our gas for no more than 6 months. But seriously, it won't even last a week," Medvedev said.
Hiyo habari mbaya sana kwa waMarekani wa Tandahimba na waUkraine wa Kantalamba...Walikuwa wakitokwa na povu kali hapa JF kuwa ati EU wana ubavu wa kususia gesi ya Russia...

Sasa badala ya kususia, EU wamefyata mikia yao na kukubali hadi kulipia gesi kwa pesa ya Russia, Ruble...

Naona Ruble inazidi kupanda thamani tu, leo 1USD =77 Ruble, toka kwenye 1USD =139 Ruble ilipokuwa imeshuka zaidi mwezi uliopita.

Screenshot_20220423-101228_Chrome.jpg
SmartSelect_20220423-101801_Chrome.jpg
 
Necessity is the Mother of all Inventions, the time for dangerous hydrocarbons is over. Welcome to the new world of renewable energy.





A new generation of nuclear reactors could help the UK cut carbon emissions by harnessing surplus energy to heat homes, produce hydrogen, and decarbonise industry, according to a report by the Royal Society.
The Nuclear cogeneration: civil nuclear energy in a low-carbon future policy briefing sets out how planned and future nuclear projects can complement renewables and help the UK meet its net-zero carbon emissions pledge by 2050.
Cogeneration gives nuclear power the flexibility to function in an energy system where a growing proportion of electricity comes from intermittent renewables. When domestic energy demand is being met by wind, solar, or other sources, cogeneration allows a nuclear plant to switch from electricity generation to cogeneration applications such as the production of hydrogen.
Small modular reactors (SMRs) are of particular interest. These are reactors producing 300Mw of energy or less, which can be built in factories and deployed in stages. This should mean lower investment costs and economies of scale in construction. It also gives greater flexibility in locating stations, and allows them to be tailored to the energy needs of regional or industrial clusters
The next generation of SMRs – known as Advanced Modular Reactors (AMRs) – are expected to generate temperatures in excess of 600°C which are required by some of the hardest to de-carbonise processes, such as chemical production. It could potentially be used in the steel making process to reduce the industry’s carbon footprint.
“This is a real opportunity for nuclear,” Professor Robin Grimes FREng FRS, the report’s lead author and a professor of materials physics at Imperial College London, said. “What cogeneration gives us is options, and frankly, we need options when facing an uncertain future.”
“It will have to be a staged process,” Professor Grimes added. “We’ve already begun the move to electrification – most clearly in cars. Then you can look at using some nuclear power to produce hydrogen with electrolysis, and for low-carbon district heating.
“The much more difficult decarbonisation, like the chemical industry, that’s where you need advanced modular reactors, because they provide very high temperature heat.
“We could demonstrate the feasibility of a high temperature AMR reactor by 2035, while SMRs could be on the grid by 2028. It would be a key component of meeting the UK’s 2050 target.”

Cogeneration in the UK​

Previous nuclear projects have shown the benefits of locating industry alongside nuclear stations. The Wylfa Magnox station on Anglesey, until recently the intended site for a Hitachi-built nuclear station, provided cheap electricity for Anglesey Aluminium’s smelting operation until 2009.
While there are no current nuclear cogeneration projects in the UK, there are options for future use:

District heating​

District heating has been identified by the UK government as a key area to reduce carbon emissions and heating costs. However, most UK homes are heated with natural gas, accounting for 18% of all UK carbon dioxide emissions in 2018. District heating currently provides just 2% of heat demand in the UK but several countries already use nuclear cogeneration for district heating in colder climates, and in China, SMRs are being built solely to provide district heating.
Analysis suggests there are potentially 50 conurbations in the UK where SMR-powered district heating could work. One study identified a network centred on Hartlepool as having potential. Public opinion and acceptance of nuclear reactors being sited close to population centres would need to be examined.
 
Wanamueza sema hawakutaka vita ya 3 ya dunia. Wangeingia wote ingekuwa hasara kwa ulaya nzima na dunia
Kumueza kivipi ?!!! Sijui kama unajua maana ya vita ya 3 ya dunia kwa jinsi ulivyo sema , maana vita ya tatu ya dunia siyo russia dhidi ya nato tu ni russia + china +kiduku + venezuela +cuba vs nato + USA
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16] Nyie ma-ant Ameicans na ant-NATO mna maneno Sana..Mambo yanaweza kubadilika kwa comedian kugeuza kibao[emoji23][emoji23]
Russia ..putin kaagiza wanasayansi wake kufanya kazi usiku na mchana kutengeneza siraha kali zaidi kila mwezi mtaona tunazindua kitu kipya
 
Hiyo move itafanya Russia kua na more reserve ya dollor kuliko nchi yoyote manaake sanction zote hazitakua na maana yoyote
Siyo dollars tu bali watalazimika kununua gesi na mafuta kwa dhahabu kwa sababu russia kafriziwa dollar awezi kuitumia duniani kirahisi hivyo kazi ya jinsi gani ulaya watapata pesa ya russia ili kununua gesi na mafuta ni juu yao ulaya.
Urusi hataki dola kwa sababu nato wamefrizi dola kwa urusi sasa urusi itakuwa na RESERVE KUBWA YA DHAHABU KWA SABABU NCHI ZA NATO WATALAZIMIKA KUTUMIA DHAHABU KUNUNUA MAFUTA NA GESI YA RUSSIA
 
Ila nyie life liko speed balaa...

Week ka 2 zilizopita viongozi wa EU walikuwa wanaendesha kikampeni chao cha kua No Gas No Oil from Russia so No EU money for Putin Army...

US nao wakapiga ban kivuli import ya Oil and Gas from Russia...

EU wakabisha kulipia Gas kwa Ruble wakidai haipo kwenye mkataba...

Ila hali halisi ilivo sasa

Lakini sasa kauli zimebadilika...

US 💥 Huyu bado anaendelea kununua Oil na Gas kutoka Russia tena kwa kiwango kikubwa kuliko kile cha awali...

Pentagon 💥 wanadai ati "EU should be careful with Embargo of Russian Gas, it will bring more harm to them than good... (huu ni unafiki wa kwanza ikumbukwe hawa ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye hii kampeni wakitoa na ahadi juu kua watafidia gap la Russia ikiwa EU watafanya hivo...)

IMF 💥 Europe will be able to do without Russian Gas no longer than six months...

EU wenyewe sasa... 💥 EU reportedly to allow payment for Russian gas in Rubles.

Ajabu Hawa ndio wanajiita World Leaders kutoka Ile so called International Community...

Shenzi kabisa na JoBo tumkumbushe 2022 imebaki miezi mi8 mbele. Asimamie kauli yake vizuri ya kuachana na Gas ya Russia mwisho w mwaka huu asilete visingizio.

Kwa waungwana watamwona muungwana mwenzao Russia, hana mapigano ya kike kusutana na kuvuliana nguo kishoga ka hawa jamaa wafanyavyo.

Wanamwekea vikwazo ilhali kashikilia silaha nzito dhidi yao zaidi ya Nuclear yenyewe ila katulia tuli kuwatazama na wala hageuzi biashara zake na rasilimali zake kua silaha dhidi ya washindani wake...

Russia are so powerful yet wako humble na more diplomat kuliko taifa lolote chini ya jua.
Da nimelipenda sana andiko lako.
Lina logic sana
 
Ukraine peke yake imewatoa kinyesi. Wakati marekani inapigana na Iraq, mwezi mmoja kazi imeisha. Wakati huo Iraq ilikua dola kubwa yenye uwezo wa kuvamia jirani zake kina Kuwait na Iran. Hizi losses marekani hajapata tangia ww2View attachment 2197367
Mtataufuta pa kutokea wenzako tayar wameomba walipe kwa rubles
 
Back
Top Bottom