Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uzi bila wadhamini haupendezi, leo tuangalie taifa linaloitwa masikini. Hii chini ni list ya Miji iliyo na Billionaire wengi duniani...

Kwa mujibu wa Forbes, Moscow imewekwa number 7... Hii ni baada mabadiliko kutoka last year ambapo ilikuwa na jumla ya Mabilionea 79... Wamepungua 26 tangu mwanzo wa hii OP ianze. Where The Richest Live: The Cities With The Most Billionaires 2022
Screenshot_20220423-110224-01.jpeg

Kwenye list nyingine ilotolewa na jarida hilo hilo juu ya Countries with Most Billionaires wameiweka Russia nafasi ya 5... Hapa tuelewane vizuri hiyo mwanzo ni List of Cities hii ya pili ni list of Countries The Countries With The Most Billionaires 2022
Screenshot_20220423-112156-01.jpeg

Haya sasa Afrika nzima sie wapo 18 na kwa hapa Tanzania tunae m1 tu yule ExChair wa Msimbazi... Ila vijana wa Mama samia wanaoutumia ARV kwa msaada wa USAID wanadai Russia makapuku. Masikini wa kutupwa....

Wanasema akili za kuambiwa changanya na zako, so kam huna akili utabaki na zile akili za kuambiwa. 🤗
 
Hawa wengi walinyimwa visa za kwenda marekani kwahio wanatoa uchungu ila wanaipenda sana USA na EU. Mimi ndo maana sina kinyongo nao, wako JF inayofadhiliwa na EU, wamevaa mitumba ya marekani, Choo chao cha USAID, Bajeti ya nchi yao imejazwa na misaada ya hao hao. Kwa ufupi hawa sio haters ni fans in denial.
Umu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio wao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukraine Ilikuwa nchi ya nne kwa jeshi kubwa duniani
Urussi imejiabisha sana kijeshi, nchi jirani kama Ukraine yenye hata top 20 duniani kijeshi haipo imewakwamisha miezi miwili. Alafu silaha NATO imewapatia ni defensive wala sio offensive. Ila mkondo wa huu vita unaweza badilika endapo watazipokea
. Google Kama hujui
 
Wanajeshi wa Urusi wameanzanza kupora matrekta na combine Harvesters vijijni Ukraine na kuvipeleka kwao Urusi walipoulizwa wanavijiji kuwa wamejuaje viko urusi ? wakasema vimefungwa GPS location vinaonyesha Viko Urusi baada ya kuporwa

Source :CNN ikiwahoji wanachi viiijini Ukraine
 
Urussi imejiabisha sana kijeshi, nchi jirani kama Ukraine yenye hata top 20 duniani kijeshi haipo imewakwamisha miezi miwili. Alafu silaha NATO imewapatia ni defensive wala sio offensive. Ila mkondo wa huu vita unaweza badilika endapo watazipokea
Acha kujitoa akili , vipi hizo silaha za kujilinda anazo pewa Ukraine je angekuwa anapewa Iraq hali ingekuwaje kwenye uwanja wa vita Marekani angeweza kumaliza vita ndani ya muda huo ulio taja?

Si Marekani na vibaraka wake wangeishia kukimbia kama walivyo kimbia Uvitenam baada ya kutandikwa na silaha ambazo Vietnam alikuwa anapewa na Usoviet?

Kulinganisha vita ya Iraq na ya sasa Ukraine ni ukosefu wa akili maana havina mlinganyo wowote.

Iraq kipindi anavamiwa alikuwa dhaifu mno maana kwanza alikuwa ameshapigana vita nyingi nguvu ya jeshi lake ilikwa imepungua mno.

Pili alikuwa na vikwazo vya kiuchumi na silaha wakati Ukraine hana vikwazo vyovyote kati ya hivyo na alikuwa na uwezo wa kununua silaha yeyote anayo itaka.

Tatu Iraq kieneo ni ndogo ukilinganisha na Ukraine kitu kilicho toa faida kwa Marekani kupigana kwenye eneo dogo ,wakati Ukraine ina eneo kubwa kitu kinacho irazimisha Urusi ipigane kwenye eneo kubwa na kwa wakati mmoja.

Nne Iraq eneo lake kubwa ni jangwa kwa hiyo na ina miji mchache na midogo kwa maana hiyo mapigano mengi yalikuwa kwenye sehumu ya wazi jambo ambalo liliipa faida ya Marekani kuvishambulia kirahisi vikosi vya Iraq kutoka angani, wakati Ukraine ina utitiri wa miji kitu kinacho fanya vita ya ardhini kuwa ngumu kutokana na kwamba wanajeshi wa Ukraine wanaweza kujikinga kirahisi na mashambulizi kwa kujificha kwenye majengo na kufanya ambush za kudhutukiza.

Tano Irak alipigana na zaidi ya mataifa zaidi ya 20 tena yenye nguvu kubwa wakati yeye akiwa peke yake bila msaada wowote,wakati Ukraine anapigana vita na taifa moja huku yeye akipokea silaha kutoka mataifa 30.

Sasa unawezaje kulinganisha vita hii mbili kama sio upungufu wa akili?
 
Wanajeshi wa Urusi wameanzanza kupora matrekta na combine Harvesters vijijni Ukraine na kuvipeleka kwao Urusi walipoulizwa wanavijiji kuwa wamejuaje viko urusi ? wakasema vimefungwa GPS location vinaonyesha Viko Urusi baada ya kuporwa

Source :CNN ikiwahoji wanachi viiijini Ukraine
Aise, mbona hata Mabeberu kila siku wanapora boti za kifahari , majumba ya kifahari na fedha za Warusi. Na Wala sisi Warusi hatupigi kelele
Nyie tutreacta tu mnaanzisha uzi. Alaaa
 
Aise, mbona hata Mabeberu kila siku wanapora boti za kifahari , majumba ya kifahari na fedha za Warusi. Na Wala sisi Warusi hatupigi kelele
Nyie tutreacta tu mnaanzisha uzi. Alaaa
Nchi za Magharibi zinachukua mali za watoa maamuzi ya vita Russia walioko serikalini na bungeni na washirika wao wagharimiaji sio maskini wakulima wa urusi
 
Umu unafiki umejaa alfu siku CCM wakiwaibia kura mnaomba hao hao marekani wawasaidie.

Ivi mtu anaweza kunitajia kiongozi ata mmoja wa Russian mwenye hasiri ya Afrika au mweusi

Wafrika kwa unafiki ndio mana atuenderei.
ivi putin anatofauti gani na mwenda zake .
alfu ukiwakuta kwenye nyuzi Za Siasa wanavyo bwabwaja kujifanya wanaijua Demokrasia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwamba sisi hatulimi? Fala wewe libya alipovamiwa hakuwa sehemu ya africa? Hao mabwana zenu mwisho wao huj
 
One of the scenarios of provocations that the West plans to use in Ukraine to accuse Russia could be the open use of weapons of mass destruction in the cities of Slavyansk and Kramatorsk, said Igor Kirillov, head of the radiation, chemical and biological defense forces of the RF Armed Forces.
20220421_083919.png
 
The US and NATO are preparing provocations to accuse the Russian military of using chemical, biological or nuclear weapons in Ukraine.

What else did the head of the Russian troops of the RKhBZ Igor Kirillov say:

- the first US scenario is a "staged incident under a false flag." A provocation is possible at the Zaporozhye NPP. So, on April 21, a convoy of 10 vehicles with dangerous goods was stopped at a checkpoint;

- Kyiv can strike at the storage of radioactive waste in Kamensky, Dnepropetrovsk region. The Ministry of Defense has a document confirming the critical state of the storages and the misappropriation of funds sent there by the EU;

- the second option - "the most covert use of weapons of mass destruction in small volumes." The scenario was considered at the Azovstal enterprise, but it was thwarted by the cancellation of the storming of the plant by the RF Armed Forces;

- the third - "open use of weapons of mass destruction on the battlefield." It is considered for Slavyansk and Kramatorsk, turned into fortress cities;

- The probability of staging is confirmed by the supply of poisonous antidotes to Ukraine. In 2022 alone, more than 220 thousand ampoules were brought from the USA;

— provocations are needed, among other things, to put pressure on India and China and force them to impose sanctions against Russia;

- On April 21, a container with ampoules was dropped from a drone on the position of Russian troops, which was supposed to cause an explosion, the contents are now being analyzed.
20220421_083919.png
 
Back
Top Bottom