Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahaha. Shangwe lingependeza kama pangekuwa na direct impact inayotuhusu moja kwa moja.

Mkuu siku imeanza vizuri kwa kikao kifupi cha ofisi, nikatoka nikasema niingie hapa kijiweni kabla ya kwenda kwenye vikao vyetu vya wazee vya whisky vya kuanza weekend nikakuta mmebaki warusi humu ndo swali likaja kama Urusi imeshinda nini kinafuata kwetu sisi? Ndo mwisho wa huu uzi au?
Basi tuu mkuu kila mtu anasheherekea ushindi wa kile ambacho alikuwa anakishabikia[emoji3][emoji3][emoji3] .......ila pro NATO ni huzuni na kusaga meno...NYAMIZI wangu sijui umemse pesha wapi......kakimbia humu alafu akirudi humu ......utamtetea eti alikuwa bize na shughuli zake .....[emoji23][emoji23][emoji23]

....haingii akilini hata siku moja eti ukapigane na litaifa likubwa kama RUSSIA lenye kumiliki NUCKE'S ni ujinga usio na kipimo au tanzania ikapigane na marekani alafu unategemea kutoka kidedea ........wakati mwenzako anakaa angani anashusha vyuma vizito vinageuza ardhi juu chini bado unapiga kelele tutashindaaa ....labda muumba wa mbingu na nchi aingilie kati ......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ripoti zinaonyesha mzee mfupi Putin alipatwa na stroke. Cheki alivyokamatia meza na mgongo ameumkwamisha kwa kiti.
IMG_20220423_132212.jpg
 
Basi tuu mkuu kila mtu anasheherekea ushindi wa kile ambacho alikuwa anakishabikia[emoji3][emoji3][emoji3] .......ila pro NATO ni huzuni na kusaga meno...NYAMIZI wangu sijui umemse pesha wapi......kakimbia humu alafu akirudi humu ......utamtetea eti alikuwa bize na shughuli zake .....[emoji23][emoji23][emoji23]

....haingii akilini hata siku moja eti ukapigane na litaifa likubwa kama RUSSIA lenye kumiliki NUCKE'S ni ujinga usio na kipimo au tanzania ikapigane na marekani alafu unategemea kutoka kidedea ........wakati mwenzako anakaa angani anashusha vyuma vizito vinageuza ardhi juu chini bado unapiga kelele tutashindaaa ....labda muumba wa mbingu na nchi aingilie kati ......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hahaha haya bana mkuu. Endeleeni na sherehe na wa kusaga meno tuyasage.
 
Hahaha. Shangwe lingependeza kama pangekuwa na direct impact inayotuhusu moja kwa moja.

Mkuu siku imeanza vizuri kwa kikao kifupi cha ofisi, nikatoka nikasema niingie hapa kijiweni kabla ya kwenda kwenye vikao vyetu vya wazee vya whisky vya kuanza weekend nikakuta mmebaki warusi humu ndo swali likaja kama Urusi imeshinda nini kinafuata kwetu sisi? Ndo mwisho wa huu uzi au?
Afu hii ishu inatuhusu na sisi huku we huoni misosi imepanda bei petroli nayo juu mpaka wale wamiliki wa usafiri nao wanataka kupandisha NAULI za mabasi na daladala zao

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujitoa akili , vipi hizo silaha za kujilinda anazo pewa Ukraine je angekuwa anapewa Iraq hali ingekuwaje kwenye uwanja wa vita Marekani angeweza kumaliza vita ndani ya muda huo ulio taja?

Si Marekani na vibaraka wake wangeishia kukimbia kama walivyo kimbia Uvitenam baada ya kutandikwa na silaha ambazo Vietnam alikuwa anapewa na Usoviet?

Kulinganisha vita ya Iraq na ya sasa Ukraine ni ukosefu wa akili maana havina mlinganyo wowote.

Iraq kipindi anavamiwa alikuwa dhaifu mno maana kwanza alikuwa ameshapigana vita nyingi nguvu ya jeshi lake ilikwa imepungua mno.

Pili alikuwa na vikwazo vya kiuchumi na silaha wakati Ukraine hana vikwazo vyovyote kati ya hivyo na alikuwa na uwezo wa kununua silaha yeyote anayo itaka.

Tatu Iraq kieneo ni ndogo ukilinganisha na Ukraine kitu kilicho toa faida kwa Marekani kupigana kwenye eneo dogo ,wakati Ukraine ina eneo kubwa kitu kinacho irazimisha Urusi ipigane kwenye eneo kubwa na kwa wakati mmoja.

Nne Iraq eneo lake kubwa ni jangwa kwa hiyo na ina miji mchache na midogo kwa maana hiyo mapigano mengi yalikuwa kwenye sehumu ya wazi jambo ambalo liliipa faida ya Marekani kuvishambulia kirahisi vikosi vya Iraq kutoka angani, wakati Ukraine ina utitiri wa miji kitu kinacho fanya vita ya ardhini kuwa ngumu kutokana na kwamba wanajeshi wa Ukraine wanaweza kujikinga kirahisi na mashambulizi kwa kujificha kwenye majengo na kufanya ambush za kudhutukiza.

Tano Irak alipigana na zaidi ya mataifa zaidi ya 20 tena yenye nguvu kubwa wakati yeye akiwa peke yake bila msaada wowote,wakati Ukraine anapigana vita na taifa moja huku yeye akipokea silaha kutoka mataifa 30.

Sasa unawezaje kulinganisha vita hii mbili kama sio upungufu wa akili?
Wanajifariji mkuu, mdomo uliwaponza.. hawajiulizi kwann US amekimbia vita Syria baada ya urusi kuingia.
 
Afu hii ishu inatuhusu na sisi huku we huoni misosi imepanda bei petroli nayo juu mpaka wale wamiliki wa usafiri nao wanataka kupandisha NAULI za mabasi na daladala zao

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Hata mm hili la mafuta limenigusa moja kwa moja.
 
Ndo maana nataka afeli tu [emoji2] ila ndo hvyo..
[emoji1787][emoji1787] mkuu unachemka utapata ugonjwa wa moyo kitaalamu unaoitwa VLADMIRPUTIN au kwa jina lingine huu ugonjwa unaitwa... DIMITRI MEDVERDEV ....bure ukajifia [emoji18][emoji18][emoji18]..we kubali tu kuwa RUSSIA sio RWANDA .....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom