kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Jamaa ni pande la mtu
Yule juma lokole aloseme Chechnya ni tiktok worior ndo Hao apo Sasa na wanatembea na mafuta nyuma ya masikio
Jamaa ni pande la mtu
Yule juma lokole aloseme Chechnya ni tiktok worior ndo Hao apo Sasa na wanatembea na mafuta nyuma ya masikio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna ugonjwa wowote unless tungewekeana dau. Haya maneno matupu tu boss.
[emoji23][emoji23][emoji23]......asante na ukae kwa kutulia .....Wewe ndo Commander in chief wa warusi wote hapa jukwaani. salute kwakoView attachment 2197588
Kuanzia leo supermarkets za [emoji636] wamesema tutanunua mafuta ya kupikia yasizidi madumu 3 kwa kila mteja hii ni kwa sababu mafuta ya Alizeti yanatoka Ukraine na vita imetuvuruga
Hivi hatuwezi kupata toka home badala ya Tour ikawa Mafuta aupige mwingi?
Hahaha. Naona umeshika mpini, unanyanyasa tu walio upande wa makali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama tungewekeana dau bado ungeangukia pua tuu ......labda uniwekee bibie NYAMIZI hapa na nitambeba tyuu mchana kweupee ...........alafu kuna yule mkulima mtaalamu wa kubeba vifaru vya russia kwa trecta naskia vijiji vyao vimesombwa na solders boys wa russia em nipe up date mkuu za hiyo newz
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kwamba hata maeneo hayatarudi Ukraine mkuu?Wadau mkizitizama hizi picha kadhaa hapa chini nahisi linaweza toa sababu za kwanini Russia kajikita huu upande wa Mashariki na kusini mwa Ukraine...
Hii ya kwanza ni Millet (Mtama) Production,
View attachment 2197631
Hii ya pili ni Barley (Shayiri) production View attachment 2197634Na hii ya tatu ni Wheat (Ngano) production View attachment 2197637
Kwa hali inavoelekea, Ukraine huenda ikaja kua land locked country 🤗
Ushawishi wa Mrusi unapanda Kwa Kasi Sana duniani
Russia sign military deal with Cameroon
![]()
Cameroon signs Russian military deal | Africanews
Joseph Beti Assomo, Cameroon’s defence minister, made a discreet but remarkable visit to Moscow to sign a new military cooperation agreement between the two countries. This symbolic trip comes at a time when the Kremlin has relaunched its offensive in Ukraine.www.africanews.com
Nakazia.Wadau mkizitizama hizi picha kadhaa hapa chini nahisi linaweza toa sababu za kwanini Russia kajikita huu upande wa Mashariki na kusini mwa Ukraine...
Hii ya kwanza ni Millet (Mtama) Production,
View attachment 2197631
Hii ya pili ni Barley (Shayiri) production View attachment 2197634Na hii ya tatu ni Wheat (Ngano) production View attachment 2197637
Kwa hali inavoelekea, Ukraine huenda ikaja kua land locked country 🤗
Russian kawakosha mataifa mengi dunian sema tu .....woga wetu ukionekana unaisapoti russia unawekewa vikwazo na marekani au wanakutishia hiyo ndo shida .........Ushawishi wa Mrusi unapanda Kwa Kasi Sana duniani
Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo angesaini hayo.makubaliano ili Mrussi akawafute wale mamluki wa USA na RwandaUshawishi wa Mrusi unapanda Kwa Kasi Sana duniani
Propaganda za western.
Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo angesaini hayo.makubaliano ili Mrussi akawafute wale mamluki wa USA na Rwanda
Huku bongo mtapata ya kitimoto tu mkuu,hayo ndio yanapatikana kirahisi ingawa na yenyewe yalianza kupanda Bei kimtindo.
Acha kwanza Russia aoneshe makali yake kwa US+NATO (maharamia wa Dunia)...Okey, URUSI imeishinda NATO, Warusi uchumi wao unapaa na Ukraine imebaki magofu. Sasa wale tunaobishana humu nini kinafuata? Hahahaha.
Kama Mrusi aliituliza Syria,nadhani akienda Msumbiji na Kongo atatuliza hali ya hewaYah nashangaa sana kongo wanajifanya awaoni kama warusi wapo kwa kazi izo.Wagner group wanatakiwa waje kongo kupiga kazi
Hahah bahati mbaya wananchi walishawashtukia BBC na vyombo vya mabeberu,cheki wanavyowachana ukweli.
Propaganda za western.
Yaani kupitia hii OP hawa RUSSIA wamejipa heshima zaidi